Hi, am a new member!

Ikulu kuna biashara. Wanaoigombania wanaweza ujasiriamali?
Wanapotoa fedha kwa prospective voters naona ni kama investment fund au capital. Ishu ni wameipataje hiyo fund hata wale wanaomchangia vimilioni?
 
Hallow
Jamii forum nimefurahi sana leo nimeweza kujiunga, lakini nashindwa kuweka picha kwenye use name yangu nifanyeje nahisi uelewa wangu mdogo. Mwisho nawapa Big up kwa blog hii wenu Djunior.THANKS
 
Hallow
Jamii forum nimefurahi sana leo nimeweza kujiunga, lakini nashindwa kuweka picha kwenye use name yangu nifanyeje nahisi uelewa wangu mdogo. Mwisho nawapa Big up kwa blog hii wenu Djunior.THANKS
Angalia hapo juu mkono wa kulia wa Browser yako utaona SETTING bonyeza hapo kisha ikifunguka angalia mkono wa kushoto utaona MY SETTINGS chini yake utaona EDIT MY AVATAR bonyeza hapo na endelea na zoezi la kuweka picha yako. Ukishindwa ni PM nikusaidie zaidi. Goodluck
 
Jamii forum help to build new social network all over the world,to be current on different issues.
 
Thanks for the reminder JF. I greet each and every member and wellwisher of JF, knowing that Greetings is a way of appreciating the humanity in us, so God bless us. I must have lost gold for not joining JF earlier. I hope there is still silver to win. JF is great if used wisely. i will contribute my best. Rgds. Mzee Maposeo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom