Hi, am a new member!

Jamani mi ndo naingia kwenye uwanja wa wanajamiiforum naomba mapokezi yenu mliotangulia.
 
Wakuu,hapa ndo mara ya kwanza kuingia na kuandika ndani ya jamii forum.Nimekuwa nafuatilia sana mada zinazotolewa na wanajamii forum. Hakika kuna hekima na busara nyingi. Naomba kukaribishwa ili nami niweze kutoa mawazo yangu bila hiana. Nawaahidi tutakuwa pamoja daima.
Ahsante sana!
 
Ukweli unafahamika! Nani asiyejua dili lililosukwa Vatican na Mwakyembe ili Lowasa ang'atuke Uwaziri! Apewe mkatoliki! Nani asiyejua safari hii wakristo wamechukia kuona waislamu wanapata! Fursa na mengine mengi ambayo walikuwa hawapewi kwa muda mrefu!
 
MATANGAZO YAMEZIDI KWESE SIMU

Hii tabia ya kutumiwa matangazo za "promotion" mbalimbali na sasa "kampeni" itaendelea mpaka lini? Ni usumbufu usio kifani kutumiwa ujumbe mfupi wa maneno(sms) bila hata ridhaa ya mtumiaji. Binafsi naona hawa hawa wamiliki wa hii mitandao wakubali kuweka makubaliano maalumu ili mtumiaji akubali/ kukataa kupokea matangazo haya.
Acheni kutulazimisha kusikiliza kampenizenu wakati tunajua ndivyosivyo za manenoyenu huko majukwaani.
 
Thanks kwa kunipokea jamii forum nieleze namna ya kuingiza picha yangu katika web hii:smile-big:
 
hello eyery one,

my name is paren and i am an LL.B graduate from tumaini university, iringa university college, and it is my first time to be a member of the jamii forum. i would like to be an active member of the forum and contribute to the community.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom