Hi, am a new member!

nashukuru sana kwa kujiungana jf kwani ni muda mrefu nimejaribu nikashindwa pia mimi ni mpenzi sana wa kusoma jf:mad2:
 
Hi JF, it is a presious time that I have joined you to day.
May I congraturate your effort of establishing great thinkers forum and all the contributions so far done at this outset,
Hoping to get warmly welcome on this angle, it is my hope that I will try my level best to cope.

THANK YOU ALL and HODI!
 
kwa pamoja tunaweza kujenga Tanzania imara kiuchumi na kijamii kwa kuchagua viongozi thabiti na sio ambao wanataka kupata ajira za udiwani, ubunge na Urais.
Tunahitaji viongozi wa wito na si wanaotaka madaraka kwa manufaa yao binafsi si Watanzania
 
Pamoja na yote nakukubaliana nanyi members jwa views zenu juu ya suala zima la uchaguzi safari hii kweli watu watatona roho mana huju kwetu madiwani washashikana mashati usiku wakigombea kuingia nyumba ya mjumbe mmoja ambaye hana upande wowote.............! After saying so my Comrades am Abdul Fakih a new mwmber of JF so kindly i request for your acceptance as known togethe we can but alone never you'll be wish all of you g9t
 
jamani kwani nini maana ya kugraduate? na msichanganye na maana ya kuhitimu. kugraduate ni kuhitimu mafunzo ya degree dipolma, na kuhitimu ni kumaliza mafunzo yoyote yale. na joho ni vazi tu, haimaanishi kwamba majoho wanavaa watu wenye shahada tu. wenye shahada watabaki na heshima zao za shahada. waache watoto wafurahie mavazi bwanaaaaaaaaaaaa.
 
hodi hodi wana jf!
mimi ni mwanachama mpya wa jf nimefuatilia mijadala mbalimbali iliyojadiliwa na kugundua ni ya maana sana kwa maendeleo ya taifa letu.hivyo,nimependa kuungana na ninyi ili na mimi niweze kutoa maoni yangu kwa mijadala ya siku zijazo.
Nashukuru sana!!
 
Thank you Jamii Forum, hope this forum is really a forum for Society and and difficulties of our society are deeply discussed here. I'm glad that I have privilege to share my views here and hope senior members of the forum will assist me while i'm growing.
I hope to get great experience through this forum.
thank u very much:A S 8:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom