Hi, am a new member!

hay guys, i would like to make hi to those active members in the jamiiforums by saiying i luv u all, hv a gud deal n tchaoooooooooo.+
 
nawapenda wote na nawakumbusha kwenda kujitokeza kupiga kura since itz our right inaanza kwako na inakwenda kwa mwenzio mpoki alisema ardhi haukomoi kwa kuikanyaga hivyo basi maendeleo ya kweli yanaletwa na siye ok.
 
taaluma ni kigezo kikubwa sana katika kuatumikia wananchi kama mbunge lakin wapo wabunge wengi sana ambao wana taluma nzuri tu tena katika masuala ya kijamii likini wameshindwa kuwaletea maendeleo wananchi wao. pamoja na nia yako njema katika kuwatumikia wananchi wa Kinondoni ni vema pia ukajikumbusha vema kazi za mbunge. wasiwasi wangu ni kwamba unaweza usipate support kubwa sana kutoka kwa wadau wengine hasa serikali itakayo kuwa madarakani ikakukwamisha ili ionekane kwamba umeshindwa kufanya chochote ijaopkuwa nia yako inaweza ikwa njema kabisa. hata hivyo nakutia moyo. kapambane mzee kwani tanzania ya leo inawahtaji sana.
 
karibu sana katika uwanja huu. tumia hekima yako ili ulijenge taifa lako la tanzania. nami ndo kwanza kinda katika busati hili ambalo limekuwa mstari wa mbele kupambanua issue kadhaa za kijamii, kisiasa n.k
 
ni kweli twendeni tukapige kura ili tulete mabadiriko nchini. lakini bado nina wasiwasi kwani tunakwenda kupiga kura huku tukiwa hatuna tume huru ya uchaguzi. hawa mabosi wa tume ya uchaguzi wameteuliwa na mkuu wa nchi ambaye chama chake pia kiko kwenye kinyang'anyiro. je yale ya akina Kivuitu wa Kenya hayatakuwepo hapa kwetu Bongo? tena sisi wabongo ndo tunaogopewa kwa umaridadi wa kuiba kura na kuratibu matokeo? eti nasikia tetesi kwamba wabongo ndo huwa wanakwenda katika baadhi ya nchi za afrika kupiga tafu ili kufoji kura. wadau mnasemaje?
 
i even thought that the hotel was demolished, so it was the fence. anyway the fence of the hotel is part of the hotel, so the hotel was demolished coz the fence gave the hotel its scenery. i agree with u that we should use this blog constructively.
 
Hodi jamii forums,nawapenda wote na tuombeane kheri uchaguzi huu manake hayo mandege huko angani duuh!
 
I am very glad to be on board. Stay tuned for my valuable amd interesting contributions
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom