HESLB Wanavyotafuna Mikopo na Uchunguzi wa Bodi 2011

Nakandamiza Kibara,
Hawatajibu ng'o.Hiyo misumari iliyopigiliwa na Mwanakijiji ni mwisho.Saa hizi wanatafutana vibaya.
 
Do you think Kikwete don't know about this? This is not a rocket science Physics, he knows about this staff. Do you think other people in Tanzania don't nothing about this? You must be kidding me! they know, but what is the problem, they scare to blow out the truth. However i can understand the normal citizen to stay kimya, but how about Kikwete cabinet? Give me a break, i need it. Mwanakijiji good job, We will keep pushing through meadia until the end of the day. You know what i like about JF? they can't shut it down, they don't even know how internet works. From this article i support MK, the whole cabinet need to go......
 
Hivi AUDITORs wa serikali hakuna,maana hii issue inaweza kumalizwa kwa kufanya auditing tuu...au sheria zinasemaje?
 
Serikali imekuwa ikidai vijana hawa walijiondokea wenyewe na serikali haikuhusika kwa namna yoyote ile katika kuondoka kwao. Na tena wanasema serikali iliwashauri wasiende wakakataa.....

finally, the proof!!!!

Mikononi mwangu nina barua ambayo ilitumwa kwenda Ubalozi wa Ukraine mjini Nairobi ya tarehe 3/12/2005 ikiwaomba Ubalozi huo ukubalie maombo ya vijana karibu 200 ambao walikuwa wamekubaliwa masomo kwenye vyuo mbalimbali nchini Ukraine. Majina ya vijana hao pia yameambatanishwa na miongoni mwao ni majina ya vijana WOTE 29. Barua hiyo iliyosainiwa na Afiwa wa Bodi hiyo Ndg. Rutasingwa ina kumbukumbu namba REf: DA. 43/x/x/x (numbers purposely omitted). Barua hii inadhihirisha mambo mawili, bodi iliwatambua vijana hawa na pili bodi imesema kabisa kuwa ndio itakuwa inahusika na "financial responsibility" ya masomo ya vijana hawa nchini humo.

Ukiwa ni mkesha wa hotuba ya Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Elimu ya juu, ni matumaini yangu kuwa hatimaye serikali yetu itageuka na licha ya matatizo ya vijana hawa au watu wachache kwenye bodi basi itawaingiza vijana hawa kwenye bajeti ya mwaka huu ili waendelee na mwaka wa pili wa masomo, na kulipia deni lao la mwaka uliopita. Katika hilo serikali itakuwa imeshinda, na vijana watakuwa wameshinda, na mimi hatimaye nitalala usingizi mnono ambapo naweza kusoma "bwana wamruhusu mtumishi wako aende kwa amani"...
 
Nyani.. if I do that I'll compromise some of my sources kwani ina "identifiable" marks itakuwa inatoka wapi... for now I'll hold on to it..
 
Jamani kwa wenye taarifa,
Hayo mapendekezo ya kambi ya ushindani kwa ajili kuunda tume/kamati ya uchunguzi wa swala hili la wanafunzi wa ukrane yamekubaliwa ama..?
 
Let us hope someone will have enough sense to end this saga soon. It must be 'hell' for those young fellows to have gone through all this.

By the way, is it beneath a president's prestege to order a surbodinate like Msolwa to conclude an issue such as this, and in private? What does the govt. or the president loose if he does that?
Forget the bigman, may be egos do not allow this; how about a prime minister, saying to Msolwa - I want that issue concluded immediately. Otherwise, explain to me clearly the compelling reasons why these younger bongolanders should continue suffering?

Okay, someone may come with an excuse for standing for a 'principle' even when you're proved to be in error, this is especially true for govts everywhere. They do not want to be seen or admit being wrong - never! Remember Mr. Kichaka and his Iraq war? Or Mr Kichakas 'poodle' from across the pond, he swears being right all through to his kung'atuka!

So, I am saying, supposing Kikwete himself wakes up one good morning and being in very good spirits, as when Taifa Stars swept away Bukinabes, and declares: waTanzania wenzangu, hili swala la hawa vijana wetu kule Ukraine kwa kweli linaninyima raha kwa kuona vijana wetu wanavyohangaika kutafuta elimu. Wizara wamethibitisha kabisa (even when it is a naked lie) kuwa hawa vijana hawakufuata taratibu zote zilizohitajika. Kwa maana hiyo, Wizara haina wajibu wowote wa kuwasaidia hawa wananchi. Na kama mnavyojua ndugu zangu mipango ya matumizi ya serikali yakishapangwa hayapanguliwi kiurahisi tu ili kukidhi mahitaji yanayojitokeza kama hili. Kwa hiyo, wananchi wenzangu nawaomba, kila mmoja wetu kwa uwezo alio nao tujitolee sote hawa vijana waendelee na masomo. Tunahitaji tupate kiasi (00000000) katika muda huu (miezi miwili?)

Pamoja na haya yote, napenda pia kuchukua nafasi hii kutoa tahadhari, hasa kwa vijana wetu mbalimbali wanaohaha na kutafuta ujenzi wa maisha yao ya baadae, iwe kwa hapa nchini au ng'ambo, epukeni taratibu ambazo zinaonekana kuwa ni za mkato mno, au zisizo na uhakika halisi. tambueni kuwa serikali na nchi yenu kwa ujumla haiwezi au haina uwezo wa kuwaokoa majanga yanapowatokea huko kwenye harakati zenu. Kila mara chukueni tahadhari zote kabla ya kujiingiza kichwa kichwa katika mabo hayo yote.

What would be a problem with that? In my view, he would be a very caring president!
 
Mimi nadhani solution ni kuwalipia hawa vijana na kudeal(kuwatoa mhanga) na waliohusika kufanya hii blunder. Kwanza JK ana pakutokea hapa maana yeye hakuwa kwenye usukani wakati huo ingawa vitu kama hivi vilimsaidia kupata baadhi ya kura kwani serikali ilikuwa inaonyesha kuwa ipo makini katika nia yake ya kuwasomesha vijana wake.

ama sivyo hiki kimeo kitawacost kisiasa na kiimani.

Tanzanianjema
 
Kutoka India, Wana JF pokeeni salam na pole kwa mapambano motomoto yanayoendelea naam,mapambano ya fikra katika kujaribu kutoa mawazo mbadala ya kulisaidia taifa letu na Mtanzania mwenzetu katika kujikwamua kimaendeleo na kuishi maisha yanayoendana na kusudio la Mwenyezi Mungu kwani naamini si mapenzi ya Mungu kwa watanzania walio wengi kuishi maisha haya tunayoyaona na kuyasikia leo hii.Tumuombe Mungu aendelee kutupa nguvu na ujasiri wa kila namna ktk kutimiza njozi zetu.

Kuna taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari wiki kadhaa zilizopita ziliwakariri baadhi ya maofisa wa bodi ya mikopo elimu ya juu wakisema wanafunzi ambao wanatarajiwa kuanza masomo mwaka huu watawahi kupata hela zao mapema kwa hiyo wasiwe na wasiwasi kwani hata waliokwisha anza masomo walioko nje ya nchi hela zao tayari zimetumwa,hali kadhalika kwenye gazeti la mtazania Daima walizungumzia jambo hilo jana.

SASA HUKU INDIA MAMBO NI TOFAUTI KABISA kwani ni miezi zaidi ya miwili sasa tangia tuanze muhula wa masomo huku Tuition fees,Accomodation,stationery,hela za afya na field hazijatumwa.Pia mara kadhaa tumewasiliana na watu wa Bodi wakasema hela zimetumwa ilihali huku ubalozini wanasema hela hazijafika.Hili jambo limezua taabu nyingi kwa wanafunzi ambao hata dola 5 hawawezi kupata kwa wazazi wao kwani wengi ni watoto wa wakulima.Wakati mwingine unaweza kupiga simu bodi kujua mustakabalui wa fedha zetu lakini watakachofanya ni kuzima simu au wakijua zinatoka India wanakata.Sasa hapa hatuji kama wanafanya vile kwa kuwa tuko mbali na hatuwezi kuwashinikiza kwa njia yoyote au ni vipi.

Sasa huko nyumbani wazazi,ndugu na jamaa wakifanikiwa kusoma hizo habari kwenye magazeti huko nyumbani wanaamini kuwa watoto wao wanasoma bila tabu ilihali mambo ni tofauti kabisa huku ugenini,tabu na ukandamizaji wa hali ya juu kitu ambacho kimekua kero hata kuathiri hali ya kimasomo.
Hata last year mambo yalikua hivi hivi hela zikaja mwezi Novemba baada ya watu kupata taabu na kukopa mavyuoni jambo ambalo ni udhalilishaji mkubwa huku ugenini na ni aibu kubwa kwa serikali.Katika kujitetea kwao bodi walisema barua kutoka vyuoni zilichelewa kufika,mwaka huu tulivishauri vyuo kutuma hizo barua mapema na walifanya hivyo but still it seems as if the game will be the same.

Safari hiii hatuko tayari kuteseka,kudhalilika au kuchukua hatua zitakazoliaibisha taifa letu kwa sababu za madhaifu ya watu wachache wasio na huruma,wasiojali haki,wasiotekeleza wajibu wao au wanaopotosha uma na kuendekeza dharau dhidi ya raia waliowapa dhamana ammbazo walipaswa kuzisimamia kwa kufuata viapo vyao vya kazi na dhamira zao za kibinadamu.

Aidha hatuoni sababu ya bodi na wizara kushindwa kuwa wakweli kwenye suala hili.Hebu fikiria
-Bodi waseme hela zimeshatumwa huku ubalozi waseme hawajaziona.
Sasa tujiulize maswali
1.Je kwanini bodi wadanganye?
2.Je ubalozi ulipaswa kufanya nini baada ya kusikia wanafunzi wakilalamika?
3.Wanafunzi kwa sababu wapo nje ya nchi wafanye nini ili kupata suluhisho muafaka wa tatizo hili kwani wanafunzi wengi wamechoka sana na sioni sababu ya Kuchukua hatua kali ambazo matokeo yake ni kuidhalilisha tena serikali.

kwa kweli wanafunzi wapo tayari kwa lolote kwani watu wamefika mwisho sasa.Tunaapa kuitetea haki yetu ya msingi inayotakiwa kutolewa kwa muda muafaka.Wanayotufanyia bodi ni udhalilishaji mkubwa.Sasa bodi ya mkopo isipende kufanya kazi kwa shinikizo.Huku tuko ugenini lakini katika kudai haki wajue kuwa hakuna litakaloshindikana.Mungu atupe nguvu!

"Justice delayed is justice denied"

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Admin sorry naomba ufute thread kama hii kule kwenye forum ya kupiga kura.Kumradhi sana!
 
Ben hii Helsb iko wapi?

Mambo ya scholarship za serikali ni magumu sana (kama ni scholarship kweli).

Hapa wananchi na serikali wanatakiwa wawe wawazi, hasa kuhusu taratibu za ufadhili/mkopo wa nje.watoto hao walienda kwa njia ipi

inabidi wazazi wahakikishe watoto wao ambao wanaenda nje kusoma wanamkataba unaoeleweka na serikali kama pesa ikachelewa kufika wanafunzi wawe na 'option' za kupata pesa kutoka ubalozi au wazazi wawe tayari kujazia kipindi hela zinapokwama.

sisi serikali ilivyochelewa kutuma hela wajina yetu yalibandikwa kwenye kampasi ya 'university na college' kuwa serikali yetu haijatuma hela hivyo mwezi huo ulikuwa wa mwisho n.k

mimi binfsi nawapa pole,
kwa kipindi ambacho mimi nilipita india, hatukulipwa hela ya field, wala vitabu wala nini, tukaambiwa tuje tudai wizarani. tumefatilia wizarani hadi tukachoka.
 
hili ni tatizo la kiutendaji sijui litakwisha lini,hivi na wabunge nao ucheleweshewa posho zao kweli.halafu tunapofika mahala pa kuulizia haki ya mnyonge kila mtu hukaa pembeni kana kwamba hii issue huwa aziwausu.
Tatizo la malipo limekuwa na matatizo pale wausika wanapokuwa hawana maslahi nayo tu.
 
Kasana,
Hii HELSB ni hiyo hiyo ya Bongo.Watu walienda chini ya bodi kupitia wizara ya Elimu ya juu sayansi na teknolojia.Sasa hapa linashindwa kueleweka walikurupuka au ni vipi.

Katibu Tarafa,
Makosa ya kiutendaji yanatokana na uzembe tu kwani walijigamba wameimprove mwaka huu.Sasa unashangaa wanavyotangaza kwenye magazeti huku tukiwapigia wanaleta mchezo wa kuigiza
 
hii mada ipelekwe elimu kule, tuchangie nini kifanyike ktk kukopesha wanafunzi elimu ya juu
 
Kimsingi kama admin ataona hivyo basi hakuna shida ili isilete maneno lakini kama ingekaa kwa muda ili kupata attention ya watu wenye uchungu na wanafunzi hao na kutoa msasada wa nini cha kufanya pia tungeshukuru.Ila nasisizitiza kanuni ni za muhimu kufuatwa au kuridhia ya wengi
 
Ben,
Tatizo ni kwamba ukiingia JF the only forum ambayo huwa ina wasomaji wengi sana ni hapa kwenye jukwaa la siasa, kwa hiyo mtu anapokuwa na issue yake ambayo anataka watu waisome na kutoa maoni yao, basi hukimbilia kutundika hapa bila kujali kwamba ameiweka mahala pasipohusika.

Kama ulivyoshauri ni bora admin akawa anaacha topic kama hizi for some hrs then anazihamishia kunakohusika ili kuondoa confusion, maana watu tukija hapa tunajua ni issues za politics sasa ukifungua thread unakuta ni mambo mengine kabisa, ina disappoint kwa kiasi fulani!
 
poleni sana ndugu nina mdogo wangu analalamika mpaka sasa hawajapata posho zao na chuo kinafunguliwa kesho. na anasema hawezi kwenda maana hana nauli na matumizi mengine akifika huko na zaidi anakaa nyumba ya kupanga maana hostels chache yani wanapasua watu vichwa sana hawa helsb. they are so inefficient sasa kama wanyumbani hawajapata posho hadi sasa sijui nyie wa india itakuwa lini? i really feel sorry for you! at least hao wa bongo watagoma muda si mrefu halafu ndo wawekewe sasa nyie sijui itakuwa vipi
 
Back
Top Bottom