ryaniza
Member
- May 4, 2021
- 9
- 12
Asilimia kubwa ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza vyuo vikuu ambao ni wanufaika wa mikopo ya serikali.
Yaani wanategemea mikopo ya serikali wanapita kwenye wakati mgumu wakipewa ahadi za kuingiziwa hela bila mafanikio yoyote, HESLB pamoja na serikali iliangalie hiki suala natumaini wao pia ni watu wazima na wamesoma wanaelewa mwanafunzi ambae wazazi wake wana kipato cha Hali ya chini
Ametoka nyumbani kwao wazazi wanafahamu mkopo wa serikali utakidhi nahitaji yake lakni serikali inaonekana kama haina taarifa na mateso wanayopitia Hawa watoto wengine ni watoto wa kike jamani.
Isije ikapelekea wakaingia kwenye vishawishi kwasababu ya hali ngumu ya kifedha.