Heche na Nape katika kipindi cha medani za siasa na uchumi cha star tv

Pro-Chadema-jf, mna upofu kila jambo la Chadema kweni ni zuri, sasa huyu Heche anaongea nini cha maana

Kwa level yako ni kweli kabisa haongei cha maana. Ni level tu mkuu uliyonayo. Ndio maana tunajitahidi sana ili angalau uelewa uwe juu kidogo ndipo mabadiliko makubwa yatakapotokea.
 
kwa nini madiwani wengi sio wasomi?
Heche Bavicha wanasimamia hilo kupitia Chaso shirikisho lao la vyuo vikuu
Nape: kusolve tatizo kazi za madiwani zianinishwe na maslahi yao yaongezwe, suala la kamati ni lazima zihoji na kuangalia sheria za kutungwa ndo maana kuna kamati ya bunge, sheria zipo utashi hamna. Mama yaaangu kagusia RICHMOND na kusema ndo mfano mzuri wa kazi na mamlaka ya Bunge
 
kipindi kimeanza Nape na Heche ndani ya nyumb
Swali: budget ina msingi upi wa maendeleo?
 
Heche anasema, "Serikali iliopo inajigeuza dola la kipolisi" nani kamuelewa huyu Heche?
 
Heche anasema, "Serikali iliopo inajigeuza dola la kipolisi" nani kamuelewa huyu Heche?

ndugu usanii mbaya sana! Umesikia wapi maneno ayo? Labda tv yako inafanya ukarimani! Naangalia apa wala sijasikia ayo!
 
Mada imefika mwisho, wanaagana,kipindi,medani za siasa na uchumi by Angelo Mwoleka,star tv. Whether recorded or live,that is what was presented by Heche and Nape. Goodday.
 
Kipindi huwa ni recorded hicho.

ok ndugu,kwa sisi ambao hatukuona live hatukuwa na info izo. Hata ivo Star tv hawajasema wala kuandika popote kama live au recorded kama wafanyavyo kwa kuandka LIVE au RECORDED. All in all tulikuwa tunafuatilia ujumbe na si muda. Anyway Thanks.
 
ndugu usanii mbaya sana! Umesikia wapi maneno ayo? Labda tv yako inafanya ukarimani! Naangalia apa wala sijasikia ayo!
Kweli ndugu yangu mapenzi na Chadema mpaka yamekupa upofu, kweli Heche ajasema hivyo?
 
Hoja gani mkuu, maandamano kila siku anayosema Heche?

ndugu unajua unataka aidha kukera au kukejeli ktk majadiliano ya msingi,ivi ktk mada ya leo kuna mtu yeyote awe nape au Heche amegusia maandamano? Kuna wakati unaleta upuuzi ambao unakera ndugu. Leteni jambo la msingi ila si kejeli ndugu!
 
Heche kanikumbusha enzi za Chacha Wangwe zakusimamia anachokiamini tuvute subira soon tutakuwa na Wangwe mwingine.
 
Kweli ndugu yangu mapenzi na Chadema mpaka yamekupa upofu, kweli Heche ajasema hivyo?

ndugu hapa hamna cha cdm wala chama gani,ila tatizo lako ni la kisaikolojia,kila anayekosoa unamuona chadema. Si wewe tu mko wengi ambao wakati mwingne badala ya kuona mada ni ya kipinzani nyie mnaiita chadema. Cdm mnaipa ukuu ambao hata wakati mwingne mnaibambikia. Ivi kweli unaweza ukamweleza mtu aliyesikiliza vizuri kuwa wameongelea maandamano au iyo usemayo serikali imejigeuza kanda ya kipolisi? Kwanza utaoneka mtoto wa std2 bure,kwa kusema serikali imejigeuza kanda ya kipoli wakati polisi ni kijisehemu kinachounda serikali,iweje urejee kauli yako? Mkuu si kujibizana hali mradi!
 
Hongera sana Heche, tumeamini una hoja makini. Nape kagaragazwa kwisha habari yake. Degree za India shida tupu.
 
ndugu unajua unataka aidha kukera au kukejeli ktk majadiliano ya msingi,ivi ktk mada ya leo kuna mtu yeyote awe nape au Heche amegusia maandamano? Kuna wakati unaleta upuuzi ambao unakera ndugu. Leteni jambo la msingi ila si kejeli ndugu!
Mkuu, mimi sitaki Argumentation ya aina yoyote na wewe mimi nimeangalia kipindi chote nachokiandika ndicho nilichokisikia sijui mwenzangu kama umeangalia kipindi chote, narudia tena Heche kasema hivi wataendelea na maandamano ata ikibidi kila siku wataandamana, na hayo maneno unayopinga aliyasema pia, ushauri wangu kama unaona mimi naleta kejeli jaribu ku-PM Chadema mwenzako umuulize
 
Mkuu Nape (a.k.a Mzee wa Vinazungumzika) ni Kiongozi wa CCM, na huu mjadala nadhani utakuwa uemangaliwa na watu wengi sana. Sasa nikuulize ni Kitu ambach Nape ( Mzee wa Vinazungumzika) amekipresent kinaweza kuwa Kimewafanya sasa wananchi waanze Kurudiwa na Imani na CCM?
 
Back
Top Bottom