Suphian Star tv leo 3:30 usiku na Chifu Odemba

Suphian Juma

Senior Member
Apr 2, 2019
133
546
SUPHIAN STAR TV LEO 3:30 USIKU NA CHIFU ODEMBA

Leo Jumamosi saa 3:30 usiku nitakuwa LIVE Star TV studio za Dar es Salaam Kipindi cha Medani za Siasa na Mtangazaji wa Kimataifa Chief Odemba ambapo nitahojiwa juu ya harakati zangu za Siasa, na namna ninavyoutafsiri Uongozi na Siasa karim za Rais Dkt Samia.

Tutakuwa mubashara pia kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo YouTube Star TV.

KAA CHONJO!!

IMG_20231125_191808.jpg
 
View attachment 2824987
Odemba anafanya Mahojiano na ma Bwabwa ?
 
Ha afu we sufiam
Nlikua sijaelewa
Unawasha utuangalie au tuwashe sisi?
 
Ujibu pia kama Gerson Msigwa alishakuomba radhi juu ya zile tuhuma za kuwa wewe ulikuwa chakula ya Ayatollah na Marehemu enzi uko ACT Wazalendo. Ila kusema kweli pozi zako zimekaa kihasara sana
JamiiForums1438962745.jpg
JamiiForums1049284733.jpg
 
Sawa sawa nchi itasimama
Watu kukuangalia na kukufutilia
Mzee ukiwa live

Ova
 
Back
Top Bottom