Heche na Nape katika kipindi cha medani za siasa na uchumi cha star tv

Mkuu Nape (a.k.a Mzee wa Vinazungumzika) ni Kiongozi wa CCM, na huu mjadala nadhani utakuwa uemangaliwa na watu wengi sana. Sasa nikuulize ni Kitu ambach Nape ( Mzee wa Vinazungumzika) amekipresent kinaweza kuwa Kimewafanya sasa wananchi waanze Kurudiwa na Imani na CCM?
Mkuu mbona unadandia pipe kwa mbele nani kakwambia mimi CCM? Pro-Chadema-JF, yoyote anapingana na hoja zao basi ni CCM mnakosea mimi ni Independent Thinker, mambo ya CCM kamuulize Nape
 
Wapi Nimekwambia wewe ni CCM Pro?
 
Ebu angalieni akili ya huyu Jamaa! inaweza kutupa picha CCM ina hali gani kwasasa: -

Toa muda wa uhakika, saizi asubuhi saa mbili STAR TV, tuongee asubuhi wapo kina Mbatia
Hapa ni pale aliposikia kuwa Heche na nape leo wanapambana kwa hoja live TV show.

Nisaidie mkuu, " Saa 4 nafikiri na nusu hivi", huu ni muda gani? mimi mwinyi
Hapa anajifanya hajaelewa muda uliosemwa na hivyo ana kebei hiyo taarifa!

saa 4 na nusu hivi,
nusu ya 4 ni 2,
so chukua 4+2 unapata 6 (tupilia mbali mda wa "nafikiri")
kwa hiyo basi;-
"saa 4 nafikiri na nusi hivi" ina maanisha saa 6 (au zaidi ya saa6 ukiongoza "nafikiri")

Ridhiwani umeelewa?
Hapa JF member anajaribu kumpa ufafanuzi wa huo muda alioukebei kwa stahili ya mjibu kwa kadri ya uwezo wake! huyu member anamtambuwa kuwa yeye ni Ridhiwani!

Mkuu huyo anaweza kuwa Ridhiwani kweli ana akili ndogo hivyo? sidhani!
Hapa mimi nashangaa kujuwa kuwa ndiye Ridhiwani mwenye akili robo kiasi hicho kutokana na majibu ya Member aliyetangulia 'Speaker'

Arafat wewe akili yako ni Disability kabisa
Hapa ananijibu mimi kusema kuwa akili yangu ndio 'Disability' sijui hilo neno alilitumia akiwa na maana gani ila mimi naona halifit hapo, ingawa hoja kuu hapa ni kuwa yeye ni Ridhiwani lakini hakuipinga hata kidogo!

Nilikuwa sijawahi kumuona huyu Heche, kumbe ni pumba hivi eti anaongelea uchumi hana lolote ananyoosha mikono hovyo na magwanda yake
Hapa anachangia hoja na kwa muono wake yeye anaona Heche ni pumba tupu na kuwa alikuwa hajawai kumuona, Jamaani picha za Heche baada ya Uchaguzi wa BAVICHA ziliwekwa hapa JF na huyu jamaa pia alikuwa anatoa michango yake ila hapa akili za panzi anasema halikuwa hajawai kumuona eti leo ndio siku ya kwanza!

Pro-Chadema-jf, mna upofu kila jambo la Chadema kweni ni zuri, sasa huyu Heche anaongea nini cha maana
Hapa anasema kila anayesema Heche kamwaga Nondo ni Pro-CDM kwasababu yeye haoni kilichoongelewa na Heche!

Heche anasema, "Serikali iliopo inajigeuza dola la kipolisi" nani kamuelewa huyu Heche?
Anauliza kama kuna mtu anamuelewa Heche maana yeye anajibambanuwa kutomuelewa kabisa!

Hoja gani mkuu, maandamano kila siku anayosema Heche?

Anaendelea kusisitiza kuwa Heche hana hoja!

Kweli ndugu yangu mapenzi na Chadema mpaka yamekupa upofu, kweli Heche ajasema hivyo?
Anajaribu ku-attach member mwingine kuwa ana mapenzi makubwa na Chadema hadi kawa kipofu!

Mkuu Nape (a.k.a Mzee wa Vinazungumzika) ni Kiongozi wa CCM, na huu mjadala nadhani utakuwa uemangaliwa na watu wengi sana. Sasa nikuulize ni Kitu ambach Nape ( Mzee wa Vinazungumzika) amekipresent kinaweza kuwa Kimewafanya sasa wananchi waanze Kurudiwa na Imani na CCM?
Hapa anaulizwa na Albedo kama kuna kitu ambacho yeye anaona Nape amechangia cha maana ambacho siyo Pumba!

Mkuu mbona unadandia pipe kwa mbele nani kakwambia mimi CCM? Pro-Chadema-JF, yoyote anapingana na hoja zao basi ni CCM mnakosea mimi ni Independent Thinker, mambo ya CCM kamuulize Nape
Hapa anaruka kwanini aulizwe hilo kuwa Pro-CDM hapa JF yeyote anayepingana na hoja zao ni CCM, anajifanya yeye siyo CCM, kuwa hilo swali aulizwe Nape!

Sijajuwa kwanini yeyote anayeunga mkono hoja za CCM hasiwe CCM? akili ya ajabu sana! yeye hapo juu anasema kila anayeona Heche kapiga Nondo ni CDM hii logic ya ajabu sana maana anataka iwe biased kwa CDM tu! maana kulingana na hii logic yake basi kila anayeona Nape ndiye kapiga Nondo na awe CCM!

Wapi Nimekwambia wewe ni CCM Pro?
Hapa Albedo anamuuliza kwanini anakimbilia vyama wakati hakuna alipoambiwa kuwa yeye ni CCM na wala hakuna Albedo alipojitambulisha kuwa yeye ni Chadema!

Na kwa nini uniulize mimi habari za Nape??
Hapa anangaka kwanini aulizwe habari za Nape?

Amesahau kuwa alikuwa anatetea hoja za Nape tokea mwanzo wa mjadala na hapo alitakiwa tu! atoe tathimini yake juu ya hizo hoja anazotetea! ina maana alikuwa anatetea kitu hasichokijua au ni kichaa huyu Jamani?

Mty: Kama CCM inasubiri kutetewa na watu kama hawa ijiangalie mara dufu, kama ambavyo viongozi wengi wa CCM wameonyesha uwezo finyu katika kutambua na kutetea maslahi ya Taifa letu ndivyo hata mashabiki wa CCM kama huyu ritz amabavyo walivyo hawawezi lolote na wala si chochote.

Nape hawa uliowatuma wameshindwa kazi kabisa Jaribu mbinu nyingine sasa, au kama kuna wengine lete hawa hakuna kitu vichwani mwao.
 
Ebu angalieni akili ya huyu Jamaa! inaweza kutupa picha CCM ina hali gani kwasasa: - Hapa ni pale aliposikia kuwa Heche na nape leo wanapambana kwa hoja live TV show. Hapa anajifanya hajaelewa muda uliosemwa na hivyo ana kebei hiyo taarifa! Hapa JF member anajaribu kumpa ufafanuzi wa huo muda alioukebei kwa stahili ya mjibu kwa kadri ya uwezo wake! huyu member anamtambuwa kuwa yeye ni Ridhiwani!Hapa mimi nashangaa kujuwa kuwa ndiye Ridhiwani mwenye akili robo kiasi hicho kutokana na majibu ya Member aliyetangulia 'Speaker' Hapa ananijibu mimi kusema kuwa akili yangu ndio 'Disability' sijui hilo neno alilitumia akiwa na maana gani ila mimi naona halifit hapo, ingawa hoja kuu hapa ni kuwa yeye ni Ridhiwani lakini hakuipinga hata kidogo! Hapa anachangia hoja na kwa muono wake yeye anaona Heche ni pumba tupu na kuwa alikuwa hajawai kumuona, Jamaani picha za Heche baada ya Uchaguzi wa BAVICHA ziliwekwa hapa JF na huyu jamaa pia alikuwa anatoa michango yake ila hapa akili za panzi anasema halikuwa hajawai kumuona eti leo ndio siku ya kwanza! Hapa anasema kila anayesema Heche kamwaga Nondo ni Pro-CDM kwasababu yeye haoni kilichoongelewa na Heche!Anauliza kama kuna mtu anamuelewa Heche maana yeye anajibambanuwa kutomuelewa kabisa!Anaendelea kusisitiza kuwa Heche hana hoja! Anajaribu ku-attach member mwingine kuwa ana mapenzi makubwa na Chadema hadi kawa kipofu! Hapa anaulizwa na Albedo kama kuna kitu ambacho yeye anaona Nape amechangia cha maana ambacho siyo Pumba! Hapa anaruka kwanini aulizwe hilo kuwa Pro-CDM hapa JF yeyote anayepingana na hoja zao ni CCM, anajifanya yeye siyo CCM, kuwa hilo swali aulizwe Nape! Sijajuwa kwanini yeyote anayeunga mkono hoja za CCM hasiwe CCM? akili ya ajabu sana! yeye hapo juu anasema kila anayeona Heche kapiga Nondo ni CDM hii logic ya ajabu sana maana anataka iwe biased kwa CDM tu! maana kulingana na hii logic yake basi kila anayeona Nape ndiye kapiga Nondo na awe CCM! Hapa Albedo anamuuliza kwanini anakimbilia vyama wakati hakuna alipoambiwa kuwa yeye ni CCM na wala hakuna Albedo alipojitambulisha kuwa yeye ni Chadema!Hapa anangaka kwanini aulizwe habari za Nape? Amesahau kuwa alikuwa anatetea hoja za Nape tokea mwanzo wa mjadala na hapo alitakiwa tu! atoe tathimini yake juu ya hizo hoja anazotetea! ina maana alikuwa anatetea kitu hasichokijua au ni kichaa huyu Jamani?Mty: Kama CCM inasubiri kutetewa na watu kama hawa ijiangalie mara dufu, kama ambavyo viongozi wengi wa CCM wameonyesha uwezo finyu katika kutambua na kutetea maslahi ya Taifa letu ndivyo hata mashabiki wa CCM kama huyu ritz amabavyo walivyo hawawezi lolote na wala si chochote.Nape hawa uliowatuma wameshindwa kazi kabisa Jaribu mbinu nyingine sasa, au kama kuna wengine lete hawa hakuna kitu vichwani mwao.
Naona unaangaika bure kuweka mabandiko yangu, nadhani watu wangekuelewa vizuri ungeweka yote ya wale nilikuwa najibishana nao, Naona unaropoka tu eti nilikuwa namtetea Nape, nakushauri tu acha unafiki na tabia za kike kuwawekea watu maneno unajijengea jina baya hapa JF, naomba uniwekee bandiko lolote kutoka kwangu ambalo nimemsifia Nape au kusupport chochote alichokisema Nape, kingine nakukumbusha mimi humu JF, nipo kabla Nape ajawa Mkuu wa Wilaya Masasi kwa hiyo unaposema maneno yako ya kike ungeangalia kwanza RITZ kajiunga lini Jf. ukiweka ilo bandiko mimi namsifia Nape najipiga BAN ya maisha humu Jf utamuona tena Ritz
 
Mbona kuna wanawake wengi sana wanaokuzi akili au hujijui!
 
Arafat,
Wengine atukuona hicho kipindi, si umesema ritz alikuwa anamsifia Nape weka basi hizo posts ulizosema ritz kasema ukiziweke atajipiga BAN ya maisha, weka mkuu tuone kama ni kweli
 
Ebu angalieni akili ya huyu Jamaa! inaweza kutupa picha CCM ina hali gani kwasasa: -

Hapa ni pale aliposikia kuwa Heche na nape leo wanapambana kwa hoja live TV show.

Hapa anajifanya hajaelewa muda uliosemwa na hivyo ana kebei hiyo taarifa!

Hapa JF member anajaribu kumpa ufafanuzi wa huo muda alioukebei kwa stahili ya mjibu kwa kadri ya uwezo wake! huyu member anamtambuwa kuwa yeye ni Ridhiwani!

Hapa mimi nashangaa kujuwa kuwa ndiye Ridhiwani mwenye akili robo kiasi hicho kutokana na majibu ya Member aliyetangulia 'Speaker'

Hapa ananijibu mimi kusema kuwa akili yangu ndio 'Disability' sijui hilo neno alilitumia akiwa na maana gani ila mimi naona halifit hapo, ingawa hoja kuu hapa ni kuwa yeye ni Ridhiwani lakini hakuipinga hata kidogo!

Hapa anachangia hoja na kwa muono wake yeye anaona Heche ni pumba tupu na kuwa alikuwa hajawai kumuona, Jamaani picha za Heche baada ya Uchaguzi wa BAVICHA ziliwekwa hapa JF na huyu jamaa pia alikuwa anatoa michango yake ila hapa akili za panzi anasema halikuwa hajawai kumuona eti leo ndio siku ya kwanza!

Hapa anasema kila anayesema Heche kamwaga Nondo ni Pro-CDM kwasababu yeye haoni kilichoongelewa na Heche!

Anauliza kama kuna mtu anamuelewa Heche maana yeye anajibambanuwa kutomuelewa kabisa!

Anaendelea kusisitiza kuwa Heche hana hoja!

Anajaribu ku-attach member mwingine kuwa ana mapenzi makubwa na Chadema hadi kawa kipofu!

Hapa anaulizwa na Albedo kama kuna kitu ambacho yeye anaona Nape amechangia cha maana ambacho siyo Pumba!

Hapa anaruka kwanini aulizwe hilo kuwa Pro-CDM hapa JF yeyote anayepingana na hoja zao ni CCM, anajifanya yeye siyo CCM, kuwa hilo swali aulizwe Nape!

Sijajuwa kwanini yeyote anayeunga mkono hoja za CCM hasiwe CCM? akili ya ajabu sana! yeye hapo juu anasema kila anayeona Heche kapiga Nondo ni CDM hii logic ya ajabu sana maana anataka iwe biased kwa CDM tu! maana kulingana na hii logic yake basi kila anayeona Nape ndiye kapiga Nondo na awe CCM!

Hapa Albedo anamuuliza kwanini anakimbilia vyama wakati hakuna alipoambiwa kuwa yeye ni CCM na wala hakuna Albedo alipojitambulisha kuwa yeye ni Chadema!

Hapa anangaka kwanini aulizwe habari za Nape?

Amesahau kuwa alikuwa anatetea hoja za Nape tokea mwanzo wa mjadala na hapo alitakiwa tu! atoe tathimini yake juu ya hizo hoja anazotetea! ina maana alikuwa anatetea kitu hasichokijua au ni kichaa huyu Jamani?

Mty: Kama CCM inasubiri kutetewa na watu kama hawa ijiangalie mara dufu, kama ambavyo viongozi wengi wa CCM wameonyesha uwezo finyu katika kutambua na kutetea maslahi ya Taifa letu ndivyo hata mashabiki wa CCM kama huyu ritz amabavyo walivyo hawawezi lolote na wala si chochote.

Nape hawa uliowatuma wameshindwa kazi kabisa Jaribu mbinu nyingine sasa, au kama kuna wengine lete hawa hakuna kitu vichwani mwao.

Mkuu umenifurahisha sana jinsi ulivyomfuatilia kwa karibu huyu kada wa CCM. Hana flow inayoeleweka na ni rahisi sana kushindwa kesi mahakamani.

Unajua hawa wanaohangaika kuwatetea CCM naona kama wanaexpose sana uwezo mdogo walionao. Hebu angalia hoja za viongozi wao kama Pinda kuhusu posho eti zinatumika kwa omba omba mara tu wanapotoka mlangoni, sasa huyo ndio kwa CCM ni kichwa mpaka amepewa uongozi. Sasa hawa ambao hawajapewa uongozi watakuwaje, i mean akina ritz.
 
Mkuu umenifurahisha sana jinsi ulivyomfuatilia kwa karibu huyu kada wa CCM. Hana flow inayoeleweka na ni rahisi sana kushindwa kesi mahakamani.Unajua hawa wanaohangaika kuwatetea CCM naona kama wanaexpose sana uwezo mdogo walionao. Hebu angalia hoja za viongozi wao kama Pinda kuhusu posho eti zinatumika kwa omba omba mara tu wanapotoka mlangoni, sasa huyo ndio kwa CCM ni kichwa mpaka amepewa uongozi. Sasa hawa ambao hawajapewa uongozi watakuwaje, i mean akina ritz.
Huyu ni Chadema-kata, naona amekurupuka nimemwambia Shogaa yako Arafat aweke bandiko langu lolote nililomsifia Nape mimi najiondoa humu Jf najipa Ban ya maisha ata member mwenzangu Chatu Dume kamwambia aweke kakimbia, ata wewe msaidie kuweka bandiko langu lolote namsifia Nape au CCM, kwa kukusadia unaweza kuangalia posts zangu na Thread zangu kama utapata nimeisifia CCM iweke mimi nijipige BAN
 
Ebu angalieni akili ya huyu Jamaa! inaweza kutupa picha CCM ina hali gani kwasasa: -

Hapa ni pale aliposikia kuwa Heche na nape leo wanapambana kwa hoja live TV show.

Hapa anajifanya hajaelewa muda uliosemwa na hivyo ana kebei hiyo taarifa!

Hapa JF member anajaribu kumpa ufafanuzi wa huo muda alioukebei kwa stahili ya mjibu kwa kadri ya uwezo wake! huyu member anamtambuwa kuwa yeye ni Ridhiwani!

Hapa mimi nashangaa kujuwa kuwa ndiye Ridhiwani mwenye akili robo kiasi hicho kutokana na majibu ya Member aliyetangulia 'Speaker'

Hapa ananijibu mimi kusema kuwa akili yangu ndio 'Disability' sijui hilo neno alilitumia akiwa na maana gani ila mimi naona halifit hapo, ingawa hoja kuu hapa ni kuwa yeye ni Ridhiwani lakini hakuipinga hata kidogo!

Hapa anachangia hoja na kwa muono wake yeye anaona Heche ni pumba tupu na kuwa alikuwa hajawai kumuona, Jamaani picha za Heche baada ya Uchaguzi wa BAVICHA ziliwekwa hapa JF na huyu jamaa pia alikuwa anatoa michango yake ila hapa akili za panzi anasema halikuwa hajawai kumuona eti leo ndio siku ya kwanza!

Hapa anasema kila anayesema Heche kamwaga Nondo ni Pro-CDM kwasababu yeye haoni kilichoongelewa na Heche!

Anauliza kama kuna mtu anamuelewa Heche maana yeye anajibambanuwa kutomuelewa kabisa!

Anaendelea kusisitiza kuwa Heche hana hoja!

Anajaribu ku-attach member mwingine kuwa ana mapenzi makubwa na Chadema hadi kawa kipofu!

Hapa anaulizwa na Albedo kama kuna kitu ambacho yeye anaona Nape amechangia cha maana ambacho siyo Pumba!

Hapa anaruka kwanini aulizwe hilo kuwa Pro-CDM hapa JF yeyote anayepingana na hoja zao ni CCM, anajifanya yeye siyo CCM, kuwa hilo swali aulizwe Nape!

Sijajuwa kwanini yeyote anayeunga mkono hoja za CCM hasiwe CCM? akili ya ajabu sana! yeye hapo juu anasema kila anayeona Heche kapiga Nondo ni CDM hii logic ya ajabu sana maana anataka iwe biased kwa CDM tu! maana kulingana na hii logic yake basi kila anayeona Nape ndiye kapiga Nondo na awe CCM!

Hapa Albedo anamuuliza kwanini anakimbilia vyama wakati hakuna alipoambiwa kuwa yeye ni CCM na wala hakuna Albedo alipojitambulisha kuwa yeye ni Chadema!

Hapa anangaka kwanini aulizwe habari za Nape?

Amesahau kuwa alikuwa anatetea hoja za Nape tokea mwanzo wa mjadala na hapo alitakiwa tu! atoe tathimini yake juu ya hizo hoja anazotetea! ina maana alikuwa anatetea kitu hasichokijua au ni kichaa huyu Jamani?

Mty: Kama CCM inasubiri kutetewa na watu kama hawa ijiangalie mara dufu, kama ambavyo viongozi wengi wa CCM wameonyesha uwezo finyu katika kutambua na kutetea maslahi ya Taifa letu ndivyo hata mashabiki wa CCM kama huyu ritz amabavyo walivyo hawawezi lolote na wala si chochote.

Nape hawa uliowatuma wameshindwa kazi kabisa Jaribu mbinu nyingine sasa, au kama kuna wengine lete hawa hakuna kitu vichwani mwao.

usijali sana hayo yote yanazungumzika punguzeni hasura.
 
Waache hasira mkuu, Mkuu TheOne. Pengine watu wako kazini, kama jibu ni ndiyo basi wapingane kwa hoja tuliokuwa tunafuatilia huu mjadala tumekuja kujikuta hatuna flow ya maana.
 
Nasikia Nape kesho asb saa kumi na mbili na nusu atakuwa Channel ten live akizungumzia mambo ya mjadala wa posho.
 
kwa wale ambao hawana kazi za kufanya tangazo hili linawafaa zaidi. kesho ni jumatatu, saa kumi na mbili na nusu ndio muda mwanamme unaingia bafuni kuoga then unachapa mwendo kutafuta riziki, sasa badala yake yaani nimsikilize mwehu kama Nape? not me.
 
Mpango wa maendeleo wa miaka 5 uliozinduliwa Rais unaonesha kuwa posho zinatakiwa ziondolewe, Waziri mkuu yeye anasema posho zinabaki! Nape yuko upande upi? - upande wa Rais kupitia mpango wa maendeleo? au yuko upande wa Waziri mkuu? Tusubiri kesho.
 
Safi sana NAPE kawape wananchi elimu habari za posho zimedeswa kutoka CCM, waeleze wananchi kiasi cha posho za Dr Slaa, waambie chama serious kingepunguza posho hizo nono za maboss wake.
 
Back
Top Bottom