muhogomchungu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2011
- 375
- 3
- Thread starter
- #21
hata uchaguzi wa rais husimamiwa na walimu?
Sioni cha kulalamika, nivema uchukulie kama changamoto, kutoa mafunzo ya sayansi ni garama huwezi linganisha na fani nyingine, swala la hampumziki badala ya kufurahia unalalamika? Kwa taifa changa kama Tanganyika vijana mnatakiwa mjitahidi, kulalamika kumepitwa na wakati.Naamini kwa hiyo hali ukiweza kumaliza utaweza kufanya kazi sehemu yeyote duniani,,,,,,,nikijaribu kulinganisha shule tulizopitia sisi na unachokilalamikia naona kama unafanya mchezo kabisa,, shukuru Mungu hao walimu wapo na wanajituma kufundisha, nivema ukakaa bila simu hakiksiha unanunua vitabu, laptop hizo ni kama jembe kwa mwanafunzi,,
wakati unalalamika ni vema ungejiuliza India ilipata Uhuru 1940 wamewezaje au walifanya nini mpaka wakaweza kufikia maendelea waliyonayo sasa mpaka wakaweza kuja kuwajengea chuo, Waliwekeza katika elimu, na watu wanajituma wanawajibika,,kijana its better to think big badala ya kulalamika
Waulize wenzio wa YU-DOMU............... walijifanya wana CCM sasa wanakoma........... ni bora hao wanaowaonyesheni njia mapema............
...Juzi kati niliwahi kuweka thread moja hapa kuhusiana na nilichokiona hapo kwa mzee Madiba. Wanafunzi wa high learning institutions wana chama chao kinachotetea maslahi yao huwezi kuamini kule kina nguvu ya ajabu kabisa. Huu ujinga sijui wa bodi ya mikopo kuchelewesha mikopo mara sijui mikopo kupunguzwa bila maelezo ya maana hakuna kabisa. Vijana wetu wanahitaji chombo makini cha kuwatetea vinginevyo tutaendeleza story zile zile. Naona Mods waliamu kuipotezea sijui kwa nini??Poleni vijana hii ndo bongo!Naamin mkiamua kudai haki zenu mtapata!msiogo hao wahindi!they hav nothng 2do wth xul govt.!!nyie ndo mnahaki kuchagua viongozi wenu!!komaeni ndugu huku mkisali sana si chuo cha dini hicho!!?GOD wil help u!
Sioni cha kulalamika, nivema uchukulie kama changamoto, kutoa mafunzo ya sayansi ni garama huwezi linganisha na fani nyingine, swala la hampumziki badala ya kufurahia unalalamika? Kwa taifa changa kama Tanganyika vijana mnatakiwa mjitahidi, kulalamika kumepitwa na wakati.Naamini kwa hiyo hali ukiweza kumaliza utaweza kufanya kazi sehemu yeyote duniani,,,,,,,nikijaribu kulinganisha shule tulizopitia sisi na unachokilalamikia naona kama unafanya mchezo kabisa,, shukuru Mungu hao walimu wapo na wanajituma kufundisha, nivema ukakaa bila simu hakiksiha unanunua vitabu, laptop hizo ni kama jembe kwa mwanafunzi,,
wakati unalalamika ni vema ungejiuliza India ilipata Uhuru 1940 wamewezaje au walifanya nini mpaka wakaweza kufikia maendelea waliyonayo sasa mpaka wakaweza kuja kuwajengea chuo, Waliwekeza katika elimu, na watu wanajituma wanawajibika,,kijana its better to think big badala ya kulalamika
Sioni cha kulalamika, nivema uchukulie kama changamoto, kutoa mafunzo ya sayansi ni garama huwezi linganisha na fani nyingine, swala la hampumziki badala ya kufurahia unalalamika? Kwa taifa changa kama Tanganyika vijana mnatakiwa mjitahidi, kulalamika kumepitwa na wakati.Naamini kwa hiyo hali ukiweza kumaliza utaweza kufanya kazi sehemu yeyote duniani,,,,,,,nikijaribu kulinganisha shule tulizopitia sisi na unachokilalamikia naona kama unafanya mchezo kabisa,, shukuru Mungu hao walimu wapo na wanajituma kufundisha, nivema ukakaa bila simu hakiksiha unanunua vitabu, laptop hizo ni kama jembe kwa mwanafunzi,,
wakati unalalamika ni vema ungejiuliza India ilipata Uhuru 1940 wamewezaje au walifanya nini mpaka wakaweza kufikia maendelea waliyonayo sasa mpaka wakaweza kuja kuwajengea chuo, Waliwekeza katika elimu, na watu wanajituma wanawajibika,,kijana its better to think big badala ya kulalamika
Erata: ni chuo cha Roman Catholic na si cha India.
Hichi chuo kilichopo Mbezi, st joseph
1)Uchaguzi wa wanafunzi kuchagua rais wao, mawakala, wenyeviti wa tume ya uchaguzi walikuwa walimu wa chuo (wahindi) na sio wanafunzi.
2) Huruhusiwi kwenda Kujisaidia ukiwa ktk Chumba cha EXAM, japo ukotoke hapa hapo.
3) Ada kubwa sana kupita kiasi inawalazimu wanafunzi kutoa pesa mifukoni kukamilisha ada baada ya 100% ya bodi ya mikopo kutokamilisha ada
4)Pesa ya Stationary uitumie Chuoni, vitabu na madafatari gali sana vyenginevyo utakuwa umekiuka Sheria
5)Hamna mapumziko, akitoka lecture kaingia mwengine. kama hayupo basi anaingia Lecture mwengine kusimamia eti pasitokee zogo. hadi saa za kula.

jamani nafikilia kwemda kusoma kule mwakani,mbona mnanitisha mimi napenda uhuru sana na demokrasi.napenda uhuru wa kichuo na si wa kisekondari
kwani wengine sisi watu wazima!na si lipiwi karo na mtu ni mimi mwenyewe je itakuaje?