Haya yanayotokea st Joseph College sio uvunjaji wa haki za wanafunzi?

Sioni cha kulalamika, nivema uchukulie kama changamoto, kutoa mafunzo ya sayansi ni garama huwezi linganisha na fani nyingine, swala la hampumziki badala ya kufurahia unalalamika? Kwa taifa changa kama Tanganyika vijana mnatakiwa mjitahidi, kulalamika kumepitwa na wakati.Naamini kwa hiyo hali ukiweza kumaliza utaweza kufanya kazi sehemu yeyote duniani,,,,,,,nikijaribu kulinganisha shule tulizopitia sisi na unachokilalamikia naona kama unafanya mchezo kabisa,, shukuru Mungu hao walimu wapo na wanajituma kufundisha, nivema ukakaa bila simu hakiksiha unanunua vitabu, laptop hizo ni kama jembe kwa mwanafunzi,,

wakati unalalamika ni vema ungejiuliza India ilipata Uhuru 1940 wamewezaje au walifanya nini mpaka wakaweza kufikia maendelea waliyonayo sasa mpaka wakaweza kuja kuwajengea chuo, Waliwekeza katika elimu, na watu wanajituma wanawajibika,,kijana its better to think big badala ya kulalamika

Safi sana kijana.
 
Uvivu na ulegelege ni kitu mbaya sana.

Nafundisha shule ya sekondari na moja kati ya nidhamu nayojitahidi kuihimiza ni namna wanafunzi wangu watakavyoweza ku-control calls of nature. Miili yetu, unless imesababishwa na ugonjwa, ina uwezo wa kudhibiti frequency ya calls of nature. Huwezi ukawa mtu wa kwenda chooni kila dakika kumi.
 
Nafikiri baada ya kupoteza muda kuja lalamika JF soma mkuu, tatizo letu waswahili tunataka porojo kwa wingi badala ya kusoma. Tubadilike jamani, kungekuwa hamna walimu mge itisha mgomo ohooo hamna walimu sasa walimu bandika bandua ohoooo hatupumziki. Sisi viumbe hatuna jema. Wahindi ni binadamu kama sisi. Mimi ninachokushauri soma kwa bidii na manufaa yake utayaona baadae but ukibaki kulalamika, mwisho wa mwaka watakuvuta mwaka au kukupa supu kama sio kuku disco. JF utasoma sana na raha utaponda tu maliza masomo mkuu. Huku uraiani ni maisha ni mchakamchaka haswa ukiwa na elimu duni ndo kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Poleni vijana hii ndo bongo!Naamin mkiamua kudai haki zenu mtapata!msiogo hao wahindi!they hav nothng 2do wth xul govt.!!nyie ndo mnahaki kuchagua viongozi wenu!!komaeni ndugu huku mkisali sana si chuo cha dini hicho!!?GOD wil help u!
...Juzi kati niliwahi kuweka thread moja hapa kuhusiana na nilichokiona hapo kwa mzee Madiba. Wanafunzi wa high learning institutions wana chama chao kinachotetea maslahi yao huwezi kuamini kule kina nguvu ya ajabu kabisa. Huu ujinga sijui wa bodi ya mikopo kuchelewesha mikopo mara sijui mikopo kupunguzwa bila maelezo ya maana hakuna kabisa. Vijana wetu wanahitaji chombo makini cha kuwatetea vinginevyo tutaendeleza story zile zile. Naona Mods waliamu kuipotezea sijui kwa nini??
 
Inasikitisha sana kuona watu wanaotaka elimu wanaikosa. Huyu alieleta hii thread namwonea huruma sana, pole kwa mzazi wake! Kweli wazazi tuna matatizo na kama hawa ndo watoto wetu, basi tuna kazi kubwa mbele. Siku moja watoto fulani walikuwa wanalalamika kuwa hawapati nafasi ya kuongea na rafiki zao kwa simu, lakini taarifa iliyotolewa na shule ilionyesha kuwa kati ya watoto 3 waliokamatwa na simu shuleni hakuna hata mmoja aliekuwa amempigia mzazi au mlezi wake. Ninachotaka kusema kuwa elimu ya juu ni hiari, na kama mtu anachukia kusoma basi aachie nafasi hizo wengine ambao wanalilia hizo nafasi usiku na mchana. Bandika bandua wengine hatukuipata, wewe shukuru; ama kweli binadamu hana shukrani, tenda wema uende zako. Fedha za statinery unataka uzipeleke wapi?
 
Mkubwa, soma acha kulalamika, hiyo ndio discipline ya chuo
Kaza buti ukipumzika useme duuh nimeenda shule kweli,
Nawashukuru wanaJF kwa kutoa mawazo ya kumuelimisha huyu ndugu
 
Sioni cha kulalamika, nivema uchukulie kama changamoto, kutoa mafunzo ya sayansi ni garama huwezi linganisha na fani nyingine, swala la hampumziki badala ya kufurahia unalalamika? Kwa taifa changa kama Tanganyika vijana mnatakiwa mjitahidi, kulalamika kumepitwa na wakati.Naamini kwa hiyo hali ukiweza kumaliza utaweza kufanya kazi sehemu yeyote duniani,,,,,,,nikijaribu kulinganisha shule tulizopitia sisi na unachokilalamikia naona kama unafanya mchezo kabisa,, shukuru Mungu hao walimu wapo na wanajituma kufundisha, nivema ukakaa bila simu hakiksiha unanunua vitabu, laptop hizo ni kama jembe kwa mwanafunzi,,

wakati unalalamika ni vema ungejiuliza India ilipata Uhuru 1940 wamewezaje au walifanya nini mpaka wakaweza kufikia maendelea waliyonayo sasa mpaka wakaweza kuja kuwajengea chuo, Waliwekeza katika elimu, na watu wanajituma wanawajibika,,kijana its better to think big badala ya kulalamika

Umesema kweli kabisa mkuu...hatutaki tena changamoto. Tunasahau changamoto ndio zinazotufanya tuwe na uwezo wa kukabili masiha kwa mafanikio. Na hii tabia ya kulalamika tunaiendeleza mpaka huku makazini. Tunaona tunaonewa katika kila kitu
 
mkuu umelalamika sana. Nakushauri usome. Suara la kupata viongozi kaeni na viongozi wenu ili muambie wahindi wenu jinsi mnavyotaka kuwapata viongozi.
 
Erata: ni chuo cha Roman Catholic na si cha India.
Sioni cha kulalamika, nivema uchukulie kama changamoto, kutoa mafunzo ya sayansi ni garama huwezi linganisha na fani nyingine, swala la hampumziki badala ya kufurahia unalalamika? Kwa taifa changa kama Tanganyika vijana mnatakiwa mjitahidi, kulalamika kumepitwa na wakati.Naamini kwa hiyo hali ukiweza kumaliza utaweza kufanya kazi sehemu yeyote duniani,,,,,,,nikijaribu kulinganisha shule tulizopitia sisi na unachokilalamikia naona kama unafanya mchezo kabisa,, shukuru Mungu hao walimu wapo na wanajituma kufundisha, nivema ukakaa bila simu hakiksiha unanunua vitabu, laptop hizo ni kama jembe kwa mwanafunzi,,

wakati unalalamika ni vema ungejiuliza India ilipata Uhuru 1940 wamewezaje au walifanya nini mpaka wakaweza kufikia maendelea waliyonayo sasa mpaka wakaweza kuja kuwajengea chuo, Waliwekeza katika elimu, na watu wanajituma wanawajibika,,kijana its better to think big badala ya kulalamika
 
Swala ni ubora wa Elimu hakuna lingine, hata kama viongozi mnachaguliwa na waalimu wenu, hata kama hampati muda wa kupumzika. Yote yatakuwa na maana kama Elimu itakuwa bora.
 
Acheni uvivu vijana,st joseph ni moja ya vyuo vinavyoibukia sana kwa sasa kwenye engineering field,haikuja kwa kuchapa usingizi piga shule. Mzee wako kalipa karo au serikali imekulipia sio kwenda kuchart kwenye facebook,utapumzika sana ukimaliza chuo ukiwa nyumbani kwako!!!!!!!
 
Hichi chuo kilichopo Mbezi, st joseph

1)Uchaguzi wa wanafunzi kuchagua rais wao, mawakala, wenyeviti wa tume ya uchaguzi walikuwa walimu wa chuo (wahindi) na sio wanafunzi.
2) Huruhusiwi kwenda Kujisaidia ukiwa ktk Chumba cha EXAM, japo ukotoke hapa hapo.
3) Ada kubwa sana kupita kiasi inawalazimu wanafunzi kutoa pesa mifukoni kukamilisha ada baada ya 100% ya bodi ya mikopo kutokamilisha ada
4)Pesa ya Stationary uitumie Chuoni, vitabu na madafatari gali sana vyenginevyo utakuwa umekiuka Sheria
5)Hamna mapumziko, akitoka lecture kaingia mwengine. kama hayupo basi anaingia Lecture mwengine kusimamia eti pasitokee zogo. hadi saa za kula.

St Joseph ni kati ya vyuo vichache vizuri vya sayansi Tanzania, So kama elimu wanayoitoa inaridhisha hizo nyingine ni mbwembwe tu watanzania tunapenda starehe na kubweteka waache wanaojua kazi wapige kazi.
 
Hichi chuo kilichopo Mbezi, st joseph

1)Uchaguzi wa wanafunzi kuchagua rais wao, mawakala, wenyeviti wa tume ya uchaguzi walikuwa walimu wa chuo (wahindi) na sio wanafunzi.
2) Huruhusiwi kwenda Kujisaidia ukiwa ktk Chumba cha EXAM, japo ukotoke hapa hapo.
3) Ada kubwa sana kupita kiasi inawalazimu wanafunzi kutoa pesa mifukoni kukamilisha ada baada ya 100% ya bodi ya mikopo kutokamilisha ada

4)Pesa ya Stationary uitumie Chuoni, vitabu na madafatari gali sana vyenginevyo utakuwa umekiuka Sheria
5)Hamna mapumziko, akitoka lecture kaingia mwengine. kama hayupo basi anaingia Lecture mwengine kusimamia eti pasitokee zogo. hadi saa za kula.

ada kama mtu amepata 100% anaongezea shilingi ngapi kutoka m fukoni mwake?

Kwani 100% ni shilingi ngapi?
 
jamani nafikilia kwemda kusoma kule mwakani,mbona mnanitisha mimi napenda uhuru sana na demokrasi.napenda uhuru wa kichuo na si wa kisekondari
kwani wengine sisi watu wazima!na si lipiwi karo na mtu ni mimi mwenyewe je itakuaje?
 
sijui!
 
Attachments

  • 391126_315733651777908_232560903428517_1250705_2113575717_n.jpg
    391126_315733651777908_232560903428517_1250705_2113575717_n.jpg
    19.2 KB · Views: 44
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom