Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
- Thread starter
- #101
Of course tunajua kama humu ndani wako ma underage kibao
Of course tunajua kama humu ndani wako ma underage kibao
Machizi mpo eeh?
Nani anamkumbuka Rabia yule bibi wa kihindi pale Upanga? Bibi alikuwa anatema mate kaa nyoka halafu ukimwuzi zaidi anakufunulia uchi wake....
Nani anamkumbuka Rabia yule bibi wa kihindi pale Upanga? Bibi alikuwa anatema mate kaa nyoka halafu ukimwuzi zaidi anakufunulia uchi wake....
Nyani, hivi ni kweli kuwa kuna baadhi ya macheck bob wa ShaabanRoberts walikuwa wanamtokea na kumhonga fegi?!!!!!!!! kufuru tupu!
SteveD ulikuwa group One or two? Nakumbuka ubwabwa wa Mwinyi mijiwe kibaaaaaoooo.
Sisi wa Mikoani vipi? tukumbushane mitikasi ya kipindi kile