Mwakilishi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 483
- 32
Tambaza ya Kalumuna mpo humu ndani?
Nyani, hivi ni kweli kuwa kuna baadhi ya macheck bob wa ShaabanRoberts walikuwa wanamtokea na kumhonga fegi?!!!!!!!! kufuru tupu!
ha ha ha ha ha ha ha ha!!!!
eeeeebwana weeee,,, noma.. halafu saa nyingine alikuwa anatembea mpaka kule train station akiwa anaomba omba shilingi 5!!
duuh, weee chizi umenikumbusha mbali kichizi.... ukimwona tu mtu lazima ukatishe barabara..
Gwamaka mwaikambo je?
au
Lugano Mwasakafyuka je?
hao nakua ES atakuwa anawajua tuuu
Again, watu wasikuzuge kuongelea siasa hapa ukawaona siyo watu wa mjini.... ni progression tu watu wanafanya katika maisha yao, hivyo unaweza kukuta Mkjj ni mtoto wa mjini kupita... wewe mchokoze akutolee data zako.... he he.
SteveD.
jamaa wameibukia online
noma tupu yaani
Pichani ni Wasanii wa Kikundi cha Kwanza Unit wakiwa katika picha ya pamoja,wasanii hawa ni wale wa mwanzo kabisa katika anga ya uasisi wa muziki wa kizazi kipya bongo yanii bongofleva. kutoka kushoto ni KBC -Kibacha,Babyii,Saigoni pamoja na Chief Ramson.
huyu saigoni yuko dunia gani jamani?
jamaa wameibukia online
noma tupu yaani Pichani ni Wasanii wa Kikundi cha Kwanza Unit wakiwa katika picha ya pamoja,wasanii hawa ni wale wa mwanzo kabisa katika anga ya uasisi wa muziki wa kizazi kipya bongo yanii bongofleva. kutoka kushoto ni KBC -Kibacha,Babyii,Saigoni pamoja na Chief Ramson.
huyu saigoni yuko dunia gani jamani?
Saigoni kapata shavu kitambo anarusha mawimbi EATVjamaa wameibukia online
noma tupu yaani
Pichani ni Wasanii wa Kikundi cha Kwanza Unit wakiwa katika picha ya pamoja,wasanii hawa ni wale wa mwanzo kabisa katika anga ya uasisi wa muziki wa kizazi kipya bongo yanii bongofleva. kutoka kushoto ni KBC -Kibacha,Babyii,Saigoni pamoja na Chief Ramson.
huyu saigoni yuko dunia gani jamani?
Aisee Lugano yupo Qatar anapiga job Standard Chartered
watoto wa Mjini utawajua tuu...thread imetazamwa na watu kibwena lakini wote wameingia mitini for simple reason walikuwa bado wako countryside wanawinda ndezi au walikuwa wako UD wanaandamana...na ni bora maana waatu tutajuana na tunaweza tukacheza santuri moja wale joni visomo wakija noma wataaanza na mamabo ohhh tunabaguliwa ohhh tulipanda meli ohh sijui nini yaani tabu tupu
Ebwana Rhymson nakumbuka alipata demu wa kijamaica ambaye ni mcanada na aliondoka naye lakini mara ya mwisho nilionyeshwa picha yake sikuamini jamaa naona ana kwenda kama YAAA'DI BWOY...au kuliko maana kawa mzee wa ROOTS
Ebwana hivi kati yenu nani alikuwa nakwenda GHRORFA ya SABA?
Kabla ya Poolside, clouds disco lili hamia kwanza pahala fulani hivi opposite na Empire... kisha disco likawa lina hama hama na kati ya hapo na Twiga hotel (wakati huo), kabla hawajajigawa na kuanza kupiga Mayenu Tazara club...
SteveD.