Hawa wako wapi sasa?

Nani anakumbuka kundi la Castro pale Muhimbili akina Makwaza, Mpeli, Eneli(Henry Galinoma) and co. au pale "Jombi ghetto"...
 
nyani ngabu,
made ipo pale kinondoni muslimu unaingila pale karibu na langata,je unaijua buibui guest house,alafu ipo nyingine sikumbuki jina ipo kwa ndani kidogo na kinodoni makaburini unaingia kushoto kama umetoka mjini,je na ikweta bar unaikumbuka ?

Buibui nasikia ni guest ya waziri mmoja wa awamu ya tatu, alafu kulikuwa na guest moja ambayo masista du wengi lazima ukutane nao ukienda..NAMNANI kule ulikuwa ukienda kichwa kichwa basi unaweza kukutana na baba yake mshikaji wako.
 
Nani anakumbuka kundi la Castro pale Muhimbili akina Makwaza, Mpeli, Eneli(Henry Galinoma) and co. au pale "Jombi ghetto"...

Mwakilishi unampata Henry na gitaa lake? Siku hizo Ile mtu inaweza kuwakusanya maskani nzima halafu kuanza kutoa story zake za Central Park NYC alivyokuwa anajifua and all that... enzi hizo tunaona kama dunia nyingine vile.

Bonge la msanii
 
Katibu

Tarafa ya kijiji chako chagundulika! Ikweta-mazagazaga yote, maini kaanga, chips mayai(yakujimwagia na ya kuganda), madoa doa... yaani b4 ugweno...ehe!
 
Ee bwana ee, Pundit si utani Henry yuko wapi siku hizi? Nakumbuka Mindu pale kwa kina Tasi na Bosi, jinsi Reggae na u-rasta tulivyokuwa tunau-mind na ndipo Justin Kalikawe(RIP) alipopata inspiration ya kuanza kuimba na kuwa dread... Mambo ya "Manhattan gym"... Chande naye yuko wapi? Marizanga aka Mario Kempes naye, Danny Mbotto, David Mswia aka Yellowman, Richard aka Ricardo, Maga Mix, Tony Ojjiki, Frankie Munuo, Gregory Msafiri, Chuche, Eliudi, duh! Sijui kama wengine tutakuja kuonana tena... Upande wa Seaview akina Tume, Job, the Luangisas from Peter, Samuel, Rose to Mao, Crispin(RIP), the Makotas, the Gundas, yaani the list goes on and on...
 
watoto wa ADA ESTATE utawajua tuuu

sasa tuanze kuzungumzia watoto wa Kishua kama akina Baraka shellukindo, Lulu Nyalali, etc etc
 
watoto wa ADA ESTATE utawajua tuuu

sasa tuanze kuzungumzia watoto wa Kishua kama akina Baraka shellukindo, Lulu Nyalali, etc etc

Baraka...Siaka Shekukindo....mabishoo tu...
Lulu Nyalali....thats whats up...one hot mama....ooooh boy...mmhh...mmmh....mmhh
 
Baraka...Siaka Shekukindo....mabishoo tu...
Lulu Nyalali....thats whats up...one hot mama....ooooh boy...mmhh...mmmh....mmhh

Unajua Lulu alikuwa ana nimaliza akivaa zile leggings bwan acha wee...nasikia kawa Lawyer sikuhisi

Baraka Shelukindo ngona nimgoogle nipe muda kiduchu...
 
Lulu alikuwa bonge la totoz....sijui siku hizi anafananaje kwani sijamtia machoni siku nyingi. Si unajua tena watu wanabadilika. Halafu kuna Maya...huyu alikuwa anakaa O-Bay. Sijui yuko wapi huyu. Kuna kipindi nilisikia alikuwa UK...aisee nilikuwa na-crush naye huyu we acha tu. Halafu kuna Brenda..mdogo wake Norah. Hawa walikuwa wanakaa Mikocheni...wako wapi hawa?
 
wacheni zenu hizo,basi siku hizi ukifika hapa bongo kuna totos za kila rangi mpaka za kijani,ila watu wamekuwa sasa,tumeacha haya mambo,ila kwa wale waliobado rukhusa ila lazima wakumbuke kuvaa jezi kabla ya kuingia kiwanjani.wazee wa jolly mupo
 
Ok Lulu Nyalali nimempata:

Maraya mwisho alienda ku apply kazi na jamaa wa FAIR COMPETITION TRIBUNAL (FCT) october mwaka jana lakini sina hakina kama alipata kazi yenyewe, so this means alimaliza ile LLM yake kule Leiceter University


evidence hii hapa:

www.psrctz.com/Advertised%20Opportunities/ADVERTISED-FCT-INTERVIEWS-SEPT06.doc

lakini at the same time yeye ni:

Legal Advisor at Nyalali, Warioba & Mahalu Law Associates

sasa nina wasi wasi kuwa huyu player ALUTA WARIOBA autakuwa keshaharibu ndio maana huyu sister kaamua kuanza

stay tuned natafuta latest pictures zake
 
brazameni, picha achana nazo ndugu yangu, labda u-provide links tu kwa wale wanaotaka kujua habari za huyo mtu... lasivyo hii thread itaanza kuwa kama ya 'personal attacks' sasa...

Naomba iendelee kama awali kwa watu kupeana whereabouts za wenzetu, lakini si kuchimbuana... wengi wetu tunafahamiana na wale tunao waongelea pia vivo hivyo.. tupeane michapo ya juu juu tu.. natumaini nimesomeka wakuu na sina nia ya kukatisha maongezi hata kidogo, la hasha.

SteveD.
 
Gwamaka mwaikambo je?

au

Lugano Mwasakafyuka je?

hao nakua ES atakuwa anawajua tuuu
 
Gwamaka mwaikambo je?

au

Lugano Mwasakafyuka je?

hao nakua ES atakuwa anawajua tuuu

Gwamaka nasikia yuko bongo..
Huyu alikuwa mshikaji wangu sana pale Shaaban Robert lakini baadae tukaja tukapoteza contact...

Nani anajua Neema (half sister wake) alipo? Pius naye yuko wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom