Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
- Thread starter
- #21
brazameni, wengi tu hapa wanafahamiana, na wengi tu ni watoto wa DAR, ila kama jinsi tulivyo binadamu, wengine wakimya wengine waongeaji sana... hivyo kuna wengine wanayajua haya yote unayo ongelea humu na wanafahamiana na wale unaowataja, ila ndiyo hivyo tena, hayo ni yao na ndugu, jamaa au rafiki zao... siyo ya ku share na kila mmoja hapa ukumbini!
Baadae,
SteveD.
sawa lakini naamini asiliamia kuwa REV KISHOKA ataona tunaongea madudu maaana si unajua wale watu wa MELI na walidominate sana humu last two weeks sasa leo zamu yetu. Hiyo haiondoi ukwlei kuwa JF haijaaatract ma bitoz wengi bali imeattarct hawa waliokwenda jeshini na unajua tena bado wanayo ile haufu ya patriotism ambayo sie wengine tuliamka zamani kuwa hakuna cha patriotism wala nini ishu hapa ni pesa tuuu. In short watu wengi wanaopenda siasa wengi wao wanaharufu ya UD, na wachahce wa MZUMBE lakini sie wengine ni ma street wise dio maana wanakoma na sisi