FarLeftist
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 363
- 20
tangu lini bungeni pakawa ni sehemu ya biashara?Inatakiwa auze nini?
tangu lini bungeni pakawa ni sehemu ya biashara?Inatakiwa auze nini?
NJUKA kwa mimi najua ni FORM ONEEti hata NJUKA ni neno la Mtaani...???
usagajiinatakiwa auze nini?
adai wataandamana hadi kieleweke na wataendelea kutoa elimu kwa raia hadi kila mtu atende wajibu wake.
wengine walilegeza bikini zao mkuu...aaaahWanakalia kulalamikia vitu vya kijinga,ila hawataki kuongea points za maana pumbavu kabisa, sijui hata walipitishwa vipi kuingia mjengoni. Mdee wape ukweli tu hawa njuka haha
Mdee, ni Model ya kizazi hiki na anaeleweka!Wamagamba, bado wako zama za mapeko, laison, shikbo, okapi, wao kama gari ni moris mini! daah. Aluta continua mamaa! tunakuelewa!adai wataandamana hadi kieleweke na wataendelea kutoa elimu kwa raia hadi kila mtu atende wajibu wake.
cdm hatuna mtu kama wwhalima mdee umetutia aibu cdm kwakuwa hauna msimamo wewe muoga alwayyyyyyyyyyyyyyyyyyys
NJUKA kwa sasa sio form one tena, ni wabunge wa CCM. Jina hilo tumelipitsha rasmi kutokana na tabia zaoNJUKA kwa mimi najua ni FORM ONE
kwani alikuwa anamaanisha nini?navyojuwa njuka manake ni form one kipindi kile tulikuwa tukiitwa,then na sisi tukajapata njuka wetu mwaka uliofuata!
kwani bunge ni duka!!