Halima Mdee: Hatujaja Bungeni kuuza sura

Damn, wameshakula umeme wao.mpaka saa tano usiku si nitazimia mie bila mwanga.ngoja nitafute njuka mmoja akaniletee mafuta ya taa ya sh mia hivi na ushee!!
mwenzako huku bd hawajarudisha toka waukate ile asubuhi kweli twiga mnyonge kiboko
 
Mambo ya dowans kero tupu mpaka sasa ni giza tu itabidi niangalie marudio star tv kuanzia sa sita usiku.
 
dada halima hiyo mizee ya magamba ipe kubwa tuu tushaichoka sie haina tija kwa taifa letu. wao ndo wamesababisha umaskini wote huu wa tanganyika.
 
Oooo
kumbe kuna wabunge wanauza sura eeee....au wale wavaaaa vikuku na wanaojibinuaaaaaaa?
 
halima mdee umetutia aibu cdm kwakuwa hauna msimamo wewe muoga alwayyyyyyyyyyyyyyyyyyys
Hakuna aibu hapo labda kama hukumsikia wakati anaongea. Kuuza sura hajafuta amesema haiwahusu hao wanaolalamika ila Kambi ya upinzani huo ni msemo wao kwamba hawajaenda mjengoni kuuza sura bali kufanya kazi, kuhusu Njuka amelitolea ufafanuzi na alichofuta ni hyo 'terminology' na si alichomaanisha.
 
..............Haaaaaaaaaaaaaa!!! Kwanini Mdee kafuta jamani? kuna wabunge wa CCM ni njuka wa mawazo na wapo pale kusifia point uharo..kazi yao ni kupiga meza na kushangilia ujinga.......
 
kumbe mdee nawewe unajipostia huku jf kweli umezaliwa 83
..............Haaaaaaaaaaaaaa!!! Kwanini Mdee kafuta jamani? kuna wabunge wa CCM ni njuka wa mawazo na wapo pale kusifia point uharo..kazi yao ni kupiga meza na kushangilia ujinga.......
 
Damn, wameshakula umeme wao.
mpaka saa tano usiku si nitazimia mie bila mwanga.
ngoja nitafute njuka mmoja akaniletee mafuta ya taa ya sh mia hivi na ushee!!
Pole sana! hiyo imekula kwako......wenzio huku kwetu ndiyo wameurudisha mda si mrefu
 
Kiendacho kwa mganga hakirudi. ujumbe umefika. anayelalamika basi atakuwa njuka na muuza sura.
 
Back
Top Bottom