Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,278
- 2,041
Kuuliza sio ujinga ni kutaka pia kujifunza.Hukumu ya Mahakama kuu iliyotolewa Desemba 2023 juu ya Kesi ya kupinga Kufukuzwa Uanachama wa Chadema ilitamka wazi kuwa Halima na Genge lake Walifukuzwa kihalali kwa mujibu wa taratibu za Chama.
Nilitarajia kwa hukumu hiyo Spika wa Bunge ambaye ni Daktari wa Sheria angekuwa wa kwanza kuielewa hukumu hiyo tofauti na mimi kwamba Katiba ya Nchi inatamka wazi Mbunge unapoteza Sifa za kuendelea na Ubunge pindi Uanachama wako ukikoma kama ulivyokoma kwa Halima na Genge Lake.
Tumewashuhudia Wanachama 8 wa CUF Spika alipopokea tu barua toka CUF aliwaondoa Bungeni na Rufaa wakakata wakiwa sio Wabunge, tulimshuhudia Sophia Simba wa Ccm alipofukuzwa ccm na Bungeni alifukuzwa lakini imekuwa Kinyume kwa HALIMA na wenzake.
Je, ni kufungu kipi cha KATIBA kinawalinda mpaka leo?