chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 12,003
- 20,681
Mbombo ngafu, hii imekaaje?
CHADEMA hawawatambui Halima Mdee na wenzake, lakini wanaenda kwenye kamati ya Bunge la akina Mdee kutoa maoni yao kuhusu sheria za uchaguzi, na wanatarajia hao hao wawapitishie sheria tamu na nzuri ambazo zitawafanya waanze kula, na wanaokula sasa wakubali kwa hiyari kuanza kushinda njaa.
Kama wanaona akina Mdee si halali, kwanini wanapotezea hoja hiyo wakiwa wanasaka maslahi yao?
Hawapendi kinyesi, lakini wanapenda kula funza wanaotokea baada ya kinyesi kuoza.