Halima Mdee: Hatujaja Bungeni kuuza sura

Wanakalia kulalamikia vitu vya kijinga,ila hawataki kuongea points za maana pumbavu kabisa, sijui hata walipitishwa vipi kuingia mjengoni. Mdee wape ukweli tu hawa njuka haha
 
aliyekerwa na maneno ya halima mdee hakupitia elimu ya juu nini?labda anajigeuza kuwa mama wa familia bungeni!!
 
Haki haidaiwi kwa kuchekacheka na kutoa vijembe vya kitoto kama Nape! CDM kuna wawakilishi wa kweli - kubali msikubali.
 
Wanakalia kulalamikia vitu vya kijinga,ila hawataki kuongea points za maana pumbavu kabisa, sijui hata walipitishwa vipi kuingia mjengoni. Mdee wape ukweli tu hawa njuka haha
wengine walilegeza bikini zao mkuu...aaaah
 
Mdee normal magamba kamasi zilikuwa zinawatoka! Wabunge wa CDM mpaka raha kuwasikiliza They are truely Tanzanians.
Kama ndo hivi mgamba moto utawawakia mpaka 2015 nadhani wengi wao hawatakuwa na hamu na ubunge tena!

Hawa wazee wa magamba hawatauweza mchakamchaka huu 2015. Na ukizingatia ubunge unaenda kuwa purely kazi ya wito si kufaidi posho tena na mishahara minono!

Pasipo shaka cdm wanatupeleka kunakotakiwa sasa.
Big up wapiganaji kazeni buti mpka kieleweke!
 
Namkubali Mdee kaongea pointi zote, wale wa Magamba nafikili wanalitambua hili. very consistency and accurecy.
 
adai wataandamana hadi kieleweke na wataendelea kutoa elimu kwa raia hadi kila mtu atende wajibu wake.
Mdee, ni Model ya kizazi hiki na anaeleweka!Wamagamba, bado wako zama za mapeko, laison, shikbo, okapi, wao kama gari ni moris mini! daah. Aluta continua mamaa! tunakuelewa!
 
kwani alikuwa anamaanisha nini?navyojuwa njuka manake ni form one kipindi kile tulikuwa tukiitwa,then na sisi tukajapata njuka wetu mwaka uliofuata!

basi kwa maana yako kama mdee alimaanisha ivo basi alikuwa anawasema wabunge wapya wa cdm ambao walitegemewa kuonekana wakifanya mambo makubwa kama vile Mnyika, Sugu,Lisu,waenje,Lema na wengineo ambao ni njuka bungeni ni kama vile wanashangaa shangaa yaani sugu na wenzake wanauza sura.
 
Back
Top Bottom