Hawana cha kusema, wameishiwa, wamebakiwa na jazba tu kwa kuwa wameshikwa pabaya, hata siku ya mdahalo wa Ndugai na Lissu tuliona jinsi Ndugai alivyokuwa anapanic, magamba kwishney!Tatizo la viongozi wengi wa Ccm hawajui kujibu hoja wanaanza kupaniki,wanakuwa na hasira za kijinga! Mfano huyu Mh.wasira alikuwa kapaniki,anajibu kwa jazba yani ovyo kabisa hawa jamaa!
hakika mbowe ni kiboko kama chadema ilivyo kiboko.Sikuwahi kuona waziri mwenye jazba kivile.Hoja hujibiwa kwa hoja.Tatizo kubwa la serikali yetu hasa viongozi ni kushindwa kwenda na upepo wa mabadiliko,hasa kwenye suala la kujibu issue muhimu kwa kutumia hoja.
kuropoka kwa hasira hakusaidii.kufanya vile ni kujizalilisha,kukupunguzia credibility kwa umma,kukufanya uzaraulike hasa kwa vijana kama akina mbowe,kuonekana kama katuni kwenye media....This is hope less.
Kwa nini serikali nyingi za afrika huwa hazijfunzi kwa makosa.,,kwa nn hawana mtazamo wa nn wanaowaongoza wanahitaji????....hii no fedheha.
Sikutegemea wasira aoneshe UDHAIFU mbele ya kijana MBOWE kwa kiasi kile...SHAME UPON HIM...!!!!!!!!
USHAURI...Jamani viongozi wetu jifunzeni sana kujibu kwa hoja....Msijidharau mtadharauliwa..na mnapokuja kwenye media mjiandaye ,msikurupuke tu kutoka usingizini...
VIVA MBOWE........KWELI UNAZIDI KUKUWA KIBUSARA...I LIKE THAT WAY YOU WAS ACTING AGAINST Mr.MINISTER.S.W
Baada ya waziri Wasira kuikashifu kambi rasmi ya upinzani na baraza kivuli la Mbowe, kumezuka mabishano makubwa na kutupiana vijembe kwa ukali na kwenda mbele zaidi kutumia maneno yasiyo na busara.
Mh. Mbowe kaonesha ukomavu mkubwa wa kisiasa kwa kuvumilia matusi ya waziri.
Zogo lilianza pale Mh. Mbowe aliposema serikali iliyopo madarakani ni DHAIFU.