Mpasuko mkubwa kwenye Baraza la Mawaziri kisa kuuzwa kwa Bandari

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
Kuna viashiria si shwari tena Baraza la Mawaziri;

1) Waziri Mkuu kumwakilisha Rais nchini Urusi taifa tajiri kuliko yote duniani kwa maliasili ni dhahiri Makamu wa Rais ananyanyapaliwa. Wakati wa Magufuli Makamu wa Rais ndiye aliyekuwa ana mwakilisha Rais nje ya nchi na wala siyo Waziri Mkuu.

2) Makamu wa Rais na wengi wa Mawaziri Watanganyika wamejizuia kuutetea wizi wa maliasili za nchi yao na kuonyesha kuna mifarakano na sintofahamu ndani ya Baraza la Mawaziri.

3) Agizo la Rais la kumwelekeza Waziri wa uchukuzi aingie mkataba wa kimataifa haukuonyesha ulitokana na vikao vya baraza la mawaziri. Hii ni ushahidi tosha uamuzi wa kuuza nchi haukuwa wa baraza la mawaziri.

4) Hakuna jitihada zozote zile zilizofanywa na serikali kuambatanisha muhtasari wa Baraza la Mawaziri kulithibitishia bunge uamuzi wa kuuza bandari zetu ulitokana na maamuzi ya vikao vya Baraza la Mawaziri kabla ya Rais kumwagiza Waziri wa Uchukuzi kusaini mkataba wa kuuza nchi yetu pendwa.

Tungependa kukumbusha tu hakuna uwajibikaji wa pamoja kwenye maamuzi yasiyo shirikishi.

5) Kwa vile mkataba wa kuuza nchi ulifanywa bila ya kuzingatia mpango wa miaka 5 ya uendelezaji wa bandari zetu hii ni ushahidi tosha msukumo wa kuuza bandari zetu haukutoka kwa Mamlaka ya bandari zetu. Na ndiyo maana Mtendaji Mkuu wa bandari zetu alitupiwa virago vyake kwa sababu alipinga huu wizi wa mali ya umma.

6) Kuna viashiria uamuzi wa kuuza bandari zetu ulikuwa wa kukurupuka kwa sababu ulifanyika baada ya kupokea mkopo wa benki ya dunia wa dola 420 milioni na hata hizo hela hatujajua kama zingetatua matatizo yetu ya ufanisi, uthibiti wa mapato nk, wao wakaamua kumtajirisha mwekezaji.

7) Wanaoupigia upatu huu wizi wa mali ya umma hawamo kwenye Baraza la Mawaziri ila wanaona huu ni mwanya wa kujenga hoja ya kufikiriwa kujaza nafasi ya mawaziri waliopo ambao wanaonekana hawaafiki nchi yao kuuzwa.

8) Ukimwondoa Waziri wa uchukuzi hakuna Mzanzibara hata mmoja ambaye aliandamana na genge la makada wa CCM ambao walikuwa wanapigia upatu wizi wa mali ya umma. Ni dhahiri hata Wazanzibara hawaafiki na hili.

9) Pamoja na Kikwete kujitokeza hadharani na kudai anamuunga mkono Rais lakini hajawahi kuuteteta huu wizi wa mali ya umma.

10) Makamu wa Rais hajawahi hata mara moja kutetea nchi kuuzwa na hii inaashiria mpasuko mkubwa ndani ya Baraza la Mawaziri na tunabashiri wakati wa Uchaguzi wa 2025 jina lake litakatwa na hatarudi kwenye nafasi yake ya Umakamu wa Urais. Tutafafanua zaidi kwenye hili.
 
subiri kidogo ndio tunaingia
 
Attachments

  • 20230727_091221.jpg
    20230727_091221.jpg
    83.5 KB · Views: 7
Kuna viashiria si shwari tena baraza la mawaziri.

1) Waziri Mkuu kumwakilisha Rais nchini Urusi taifa tajiri kuliko yote duniani kwa maliasili ni dhahiri Makamu wa Rais ananyanyapaliwa. Wakati wa JPM Makamu wa Rais ndiye aliyekuwa ana mwakilisha Rais nje ya nchi na wala siyo Waziri Mkuu.

2) Makamu wa Rais na wengi wa mawaziri watanganyika wamejizuia kuutetea wizi wa maliasili za nchi yao na kuonyesha kuna mifarakano na sintofahamu ndani ya baraza la mawaziri.

3) Agizo la Rais la kumwelekeza Waziri wa uchukuzi aingie mkataba wa kimataifa haukuonyesha ulitokana na vikao vya baraza la mawaziri. Hii ni ushahidi tosha uamuzi wa kuuza nchi haukuwa wa baraza la mawaziri.

4) Hakuna jitihada zozote zile zilizofanywa na serikali kuambatanisha muhtasari wa baraza la mawaziri kulithibitishia bunge uamuzi wa kuuza bandari zetu ulitokana na maamuzi ya vikao vya baraza la mawaziri kabla ya Rais kumwagiza Waziri wa uchukuzi kusaini mkataba wa kuuza nchi yetu pendwa.

Tungependa kukumbusha tu hakuna uwajibikaji wa pamoja kwenye maamuzi yasiyo shirikishi

5) Kwa vile mkataba wa kuuza nchi ulifanywa bila ya kuzingatia mpango wa miaka 5 ya uendelezaji wa bandari zetu hii ni ushahidi tosha msukumo wa kuuza bandari zetu haukutoka kwa Mamlaka ya bandari zetu.

6) Kuna viashiria uamuzi wa kuuza bandari zetu ulikuwa wa kukurupuka kwa sababu ulifanyika baada ya kupokea mkopo wa benki ya dunia wa dola 420 milioni na hata hizo hela hatujajua kama zingetatua matatizo yetu ya ufanisi, uthibiti wa mapato n.k wao wakaamua kumtajirisha mwekezaji.

7) Wanaoupigia upatu huu wizi wa mali ya umma hawamo kwenye baraza la mawaziri ila wanaona huu ni mwanya wa kujenga khoja ya kufiriwa kujaza nafasi ya mawaziri waliopo ambao wanaonekana hawaafiki nchi yao kuuzwa.

8) Ukimwondoa Waziri wa uchukuzi hakuna Mzanzibara hata mmoja ambaye aliandamana na genge la makada wa CCM ambao walikuwa wanapigia upatu wizi wa mali ya umma. Ni dhahiri hata Wazanzibara hawaafiki na hili.

9) Pamoja na JK kujitokeza hadharani na kudai ana muunga mkono Rais lakini hajawahi kuuteteta huu wizi wa mali ya umma.

10) Makamu wa Rais hajawahi hata mara moja kutetea nchi kuuzwa na hii inaashiria mpasuko mkubwa ndani ya baraza la mawaziri na tunabashiri wakati wa uchaguzi wa 2025 jina lake litakatwa na hatarudi kwenye nafasi yake ya umakamu wa urais. Tutafafanua zaidi kwenye hili.
Rubbish.

Mnashusha hadhi ya jukwaa la siasa, Samia ndio Mwenyekiti wa Ccm na Amiri Jeshi mkuu.

Kama una akili ndogo si lazima kuanzisha thread.
 
Umeandika kama unajua kinachoendelea

Kumbe ni ndoto zako za mchana

Crap
 
Rubbish.

Mnashusha hadhi ya jukwaa la siasa, Samia ndio Mwenyekiti wa Ccm na Amiri Jeshi mkuu.

Kama una akili ndogo si lazima kuanzisha thread.
Kwa hiyo kama Samia akiwa mwenyekiti wa CCM, na Amiri Jeshi mkuu, ndio atoe bure bandari zetu watanganyika milele kwa waarabu?

Unakurupuka kama mtoto kujibu, wewe ndie unayeshusha hadhi ya hili jukwaa.
 
Wanaobisha hizi hoja wamehongwa na ndiyo maana hawana ubavu wa kuzipangua wanabakia mipasho tu
Ulichokiandika kinaonekana wazi kipo, hakuna asiyejua mpango wa kutoa bandari zetu zote Tanganyika milele kwa waarabu lilikuwa ni wazo binafsi la Samia, lililopewa ushirikiano na vibaraka kama wakina Spika Tulia.

Ndio maana Samia kwa kutambua hilo, ameamua kwa makusudi kuwalinda wote ambao angetakiwa kuwachukulia hatua kwa kupitisha ule ujinga, akiwemo Mbarawa, na Mwanasheria Mkuu wa serikali.
 
Back
Top Bottom