Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,140
- 14,678
lakini wale washkaji wa Gombe wanaakili sana unajua!
Duh...
lakini wale washkaji wa Gombe wanaakili sana unajua!
<br />Na mimi nimeangalia kipindi kizima wasira ameidhalilisha serikali kwamba ni kweli serikali yao ni legelege kabisa hakuweza kujibu hoja ila alikurupuja jk tunakushauri toa hawa mawaziri wanakuangamiza kabla ya 2015
Basi sema wewe ni nini maana ya kivuli. Ninavyojua hata mimi kivuli ni kitu kisichokuwa halisi. Tena huwa hakiwezi kutokea mpaka kuwe na jua. Kwahiyo hapo CCM ndiyo jua halafu inamulika vivuli kama CHADEMA navyo vinatokea.
Asante sana great thinker....kweli ccm ni jua maana linachoma hadi mifukoni,..CDM ni kivuli cha watu kupumzika baada ya kuchoshwa sana na jua...you are a genius..props!!!
Mwita sio hivyo bali kivuli kinasababishwa na kitu kilicho kati ya jua na 'ground', kwa maana hiyo CCM sio jua bali ni kitu kinachozuia mwanga wa jua kufikia ground. Kwa maana ya mtazamo wako, CCM inazuia mwanga halisi wa jua (mwanga=maendeleo, ukweli nk) kufikia 'ground' (wananchi)!
kweli makamba babu aliona mbaliSasa naanza kuziona busara za Makamba za kuzuia magamba yasishiriki kwenye midahalo na mijadala kwenye television, kumbe anajua uwezo wao wa kufikiri na kujenga hoja, aibu tupu.
Lakini watapata wapi cha kusema na madudu haya wanayofanya?
WASIRA=Binadamu zamadamu= mawazo ya CCM = ZAMADAMUBasi sema wewe ni nini maana ya kivuli. Ninavyojua hata mimi kivuli ni kitu kisichokuwa halisi. Tena huwa hakiwezi kutokea mpaka kuwe na jua. Kwahiyo hapo CCM ndiyo jua halafu inamulika vivuli kama CHADEMA navyo vinatokea.
Basi sema wewe ni nini maana ya kivuli. Ninavyojua hata mimi kivuli ni kitu kisichokuwa halisi. Tena huwa hakiwezi kutokea mpaka kuwe na jua. Kwahiyo hapo CCM ndiyo jua halafu inamulika vivuli kama CHADEMA navyo vinatokea.
the shadow cabinet (also called the shadow front bench or shadow ministry) is a senior group of opposition spokespeople in the westminster system of government who together under the leadership of the leader of the opposition form an alternative cabinet to the government's, whose members shadow or mark each individual member of the government. Members of a shadow cabinet are often but not always appointed to a cabinet post if and when their party gets into government. It is the shadow cabinet's responsibility to pass criticism on the current government and its respective legislation, as well as offering alternative policies.
In the united kingdom and canada the major opposition party and specifically its shadow cabinet is often called his or her majesty's loyal opposition.[sup][1][/sup] the adjective "loyal" is used because, while the role of the opposition is to oppose her majesty's government, it does not dispute the sovereign's right to the throne and therefore the legitimacy of the government. However in other countries that use the westminster system (for example, new zealand), the opposition is known simply as the parliamentary opposition instead of shadow.
Some parliamentary parties, notably the british labour party and the australian labor party, elect all the members of their shadow cabinets in a partyroom ballot, with the leader of the opposition then allocating portfolios to the shadow ministers. In other parliamentary parties, the membership and composition of the shadow cabinet is generally determined solely by the leader of the opposition.
In most countries, a member of the shadow cabinet is referred to as a shadow minister. In canada, however, the term opposition critic is more usual.
Huyu Wassira mzee wa kusinzia, mbona sijaona sehemu yoyote aliyotukana?