Hakuna 'Baraza Kivuli la Mawaziri' - Wassira

Tatizo la viongozi wengi wa Ccm hawajui kujibu hoja wanaanza kupaniki,wanakuwa na hasira za kijinga! Mfano huyu Mh.wasira alikuwa kapaniki,anajibu kwa jazba yani ovyo kabisa hawa jamaa!
 
Sasa naanza kuziona busara za Makamba za kuzuia magamba yasishiriki kwenye midahalo na mijadala kwenye television, kumbe anajua uwezo wao wa kufikiri na kujenga hoja, aibu tupu.

Lakini watapata wapi cha kusema na madudu haya wanayofanya?
 
Tatizo la viongozi wengi wa Ccm hawajui kujibu hoja wanaanza kupaniki,wanakuwa na hasira za kijinga! Mfano huyu Mh.wasira alikuwa kapaniki,anajibu kwa jazba yani ovyo kabisa hawa jamaa!
Hawana cha kusema, wameishiwa, wamebakiwa na jazba tu kwa kuwa wameshikwa pabaya, hata siku ya mdahalo wa Ndugai na Lissu tuliona jinsi Ndugai alivyokuwa anapanic, magamba kwishney!
 
hakika mbowe ni kiboko kama chadema ilivyo kiboko.Sikuwahi kuona waziri mwenye jazba kivile.Hoja hujibiwa kwa hoja.Tatizo kubwa la serikali yetu hasa viongozi ni kushindwa kwenda na upepo wa mabadiliko,hasa kwenye suala la kujibu issue muhimu kwa kutumia hoja.

kuropoka kwa hasira hakusaidii.kufanya vile ni kujizalilisha,kukupunguzia credibility kwa umma,kukufanya uzaraulike hasa kwa vijana kama akina mbowe,kuonekana kama katuni kwenye media....This is hope less.

Kwa nini serikali nyingi za afrika huwa hazijfunzi kwa makosa.,,kwa nn hawana mtazamo wa nn wanaowaongoza wanahitaji????....hii no fedheha.

Sikutegemea wasira aoneshe UDHAIFU mbele ya kijana MBOWE kwa kiasi kile...SHAME UPON HIM...!!!!!!!!

USHAURI...Jamani viongozi wetu jifunzeni sana kujibu kwa hoja....Msijidharau mtadharauliwa..na mnapokuja kwenye media mjiandaye ,msikurupuke tu kutoka usingizini...
VIVA MBOWE........KWELI UNAZIDI KUKUWA KIBUSARA...I LIKE THAT WAY YOU WAS ACTING AGAINST Mr.MINISTER.S.W
 
Hujui kwa 7bu gani? Wasira si jamii ya wanadamu 100% nahisi ni variety iliyotokana na mchanganyiko wa bnadamu na wanyama wakari porini faru au nyati
 
Nimemsikia Wassira akisema aliingia bungeni akiwa na miaka 25, na akamuuliza Mh Mbowe kama anao vijana wa umri huo. Mbowe kwa hekima ya hali ya juu akamjibu:

"Hilo la umri sijui nikupongeze au nikuache hivyo hivyo, ila wananchi wanajua" Hapa Wasira anataka kutuambia nini. Maana wote tunakubali kabisa kwamba uwezo aliokuwa nao wakati huo (wa chama kimoja) sio alio nao sasa hivyo kipindi cha Dot com.

Kwa kifupi Wasira ana hasira za ajabu sana. Nadhani Kamanda Mbowe asingetumia hekima na ukomavu wa kisiasa, leo pale TBC pangechimbika. Nadhani wasira anajidanhanya kuwa bado anaweza ngumi "Tyson". Wapi, umeshaisha.

Ushauri wa bure kwa mzee wetu Wasira: Kupumzika siasa ni maamuzi ya busara mno. Ingawa najua CCM hawana huo utamaduni, lakini kwa alipofikia huyu mzee ningemshauri ang'atuke, kabla hajaaibika zaidi. Hawezi kupingana na wakati.
 
Leo hajanywa piritoni alale kidogo?

106dlxt.jpg
 
Nimemsikia Wassira akisema aliingia bungeni akiwa na miaka 25, na akamuuliza Mh Mbowe kama anao vijana wa umri huo. Mbowe kwa hekima ya hali ya juu akamjibu:

"Hilo la umri sijui nikupongeze au nikuache hivyo hivyo, ila wananchi wanajua"

Hapa Wasira anataka kutuambia nini. Maana wote tunakubali kabisa kwamba uwezo aliokuwa nao wakati huo (wa chama kimoja) sio alio nao sasa hivyo kipindi cha Dot com.

Kwa kifupi Wasira ana hasira za ajabu sana. Nadhani Kamanda Mbowe asingetumia hekima na ukomavu wa kisiasa, leo pale TBC pangechimbika. Nadhani wasira anajidanhanya kuwa bado anaweza ngumi "Tyson". Wapi, umeshaisha.

Ushauri wa bure kwa mzee wetu Wasira: Kupumzika siasa ni maamuzi ya busara mno. Ingawa najua CCM hawana huo utamaduni, lakini kwa alipofikia huyu mzee ningemshauri ang'atuke, kabla hajaaibika zaidi. Hawezi kupingana na wakati.
 
Jamani mbona mnamshambulia huyu mzee wa watu? Mna uhakika hakuwa usingizini wakati anahojiwa? Maana mwaweza kumlaumu wakati mtu labda alikua ndotoni bhana,so we need to confirm kwamba hakuwa usingizini baada ya hapo inabidi tukampime kisukari (wagonjwa wa kisukari na kale kaugonjwa ketu kale wanakuaga wakali sana) baada ya hapo tuangalie umri wake na baada ya hapo tuangalie uwezo wa aliyemtuma na kumchagua....hahahaaaa

Igunga Vipi? Wamekosa mafuta ya kwendea??
 
Tangu nimfahamu WASIRA leo ndo nimemdelete kwenye mind yangu completely....Pumba,pumba x100.....HOPW LESS.Kwann mtu mzima uongee vile kwenye media?

Ukiona huna amani na mwenzako baba usijitokeze tena kwenye media kivile nakuomba kwani hata mm heshima yangu kwako ilikuwa juu sana ila ..............Kuna mahali unateleza hasa pale unapowekwa mstari wa mbele wakati hujui kujibu kwa hoja.Pole sana mzee wangu.

ONCE AGAIN, UJIANDAYE, UJENGE HOJA, UOMBE BARAKA KWA MKEO, UHAKIKISHE HUNA HATA TONE LA USINGIZI,KUWA FLEXIBLE,USIWAOGOPE WANAO KAMA,...MBOWE. USIJIPENDEKEZE KWA MKUU WAKATI UNAJISHUSHIA HESHIMA...

Ahsante sana baba.
 
Namlaumu aliyeandaa kpnd ilhal anaujua ubovu wa Wasira. Alikosea!
Msimlaumu kajibu maswal akiwa usingzn, hajashrksha ubongo.
 
hakika mbowe ni kiboko kama chadema ilivyo kiboko.Sikuwahi kuona waziri mwenye jazba kivile.Hoja hujibiwa kwa hoja.Tatizo kubwa la serikali yetu hasa viongozi ni kushindwa kwenda na upepo wa mabadiliko,hasa kwenye suala la kujibu issue muhimu kwa kutumia hoja.

kuropoka kwa hasira hakusaidii.kufanya vile ni kujizalilisha,kukupunguzia credibility kwa umma,kukufanya uzaraulike hasa kwa vijana kama akina mbowe,kuonekana kama katuni kwenye media....This is hope less.

Kwa nini serikali nyingi za afrika huwa hazijfunzi kwa makosa.,,kwa nn hawana mtazamo wa nn wanaowaongoza wanahitaji????....hii no fedheha.

Sikutegemea wasira aoneshe UDHAIFU mbele ya kijana MBOWE kwa kiasi kile...SHAME UPON HIM...!!!!!!!!

USHAURI...Jamani viongozi wetu jifunzeni sana kujibu kwa hoja....Msijidharau mtadharauliwa..na mnapokuja kwenye media mjiandaye ,msikurupuke tu kutoka usingizini...
VIVA MBOWE........KWELI UNAZIDI KUKUWA KIBUSARA...I LIKE THAT WAY YOU WAS ACTING AGAINST Mr.MINISTER.S.W

Pengine kama ninampata vizuri wassira hasira alizozionyesha hazitokani tu na kukosa hoja kwa sababu ya tatizo la usingizi alilo nalo ila zitakuwa pia zimechangiwa na serikali yao ilivyochanganya mambo katika siku mbili hizi. kwa hiyo inaelekea ana hasira na mkubwa wake na serikali yake kwa jumla.i
 
jamani sio kosa lake, ana hasira ya kukurupushwa asubuhi awahi hicho kipindi, w muangalie leo atakavyolala huko mjengoni.
 
Niseme tu kwamba leo Tyson kaniharibia siku yangu. Nimechelewa kazini ili nifuatilie mjadala ule mwanzo, mwisho. Hakuna kitu cha maana alichoongea huyu Babu zaidi ya kuleta siasa za visasi, panic na fitna na uchovu.

Nilidhani vijana kama Ngeleja wana cha kujifunza kumbe hamna kitu, ni ushuzi tu. Baada ya Jambo Tanzania nikahamia Star Tv alikuwepo Mkosamali na Ester Bulaya. Hakika Ester ameongea vitu vizuri sana kuliko huyu Mzee anayejivunia kukaa Bungeni miaka nenda rudi. Watu kama Tyson ni janga kwa Taifa na ninafikiri kabla ya kufikiri kumwondoa Kikwete tuyaondoe kwanza haya Mababu yanayosinziasinzia bungeni.

Na kwa aina ya arguments za yule Mzee dhidi ya Chadema, hata Elisha Elia yule Mtangazaji wa TBC1 kama sio mwana Chadema leo atakuwa amevutiwa sana na busara za Mbowe katika kuepusha rabsha maana angekuwa Tundu Lissu, Godbless Lema, Wenje, Msigwa au Machali leo pasingetosha pale lakini Mbowe kwa dhamana yake ya kiongozi mkuu wa Chama kamstahi yule Mzee

Na kama huyu ndio mjumbe wa Kamati Kuu na Mwakilishi wa CCM basi serikali hii itaanguka kabla ya 2015, believe me
 
eti wasira anasema yeye anauzoefu na uongozi mbalimbali hata mbali ya Tanzania, anasema
ameanza kuwa mbunge akiwa na umri wa miaka 25 ambayo hakuna mbunge wa sasa,
akawa anatoa mfano wa serikali ya marekani kuwa huwa serikari tawala wanakuwa
na figure yao na wapinzani wanakuwa na figure yao mwisho wanakubaliana kwa figure
moja.
 
Baada ya waziri Wasira kuikashifu kambi rasmi ya upinzani na baraza kivuli la Mbowe, kumezuka mabishano makubwa na kutupiana vijembe kwa ukali na kwenda mbele zaidi kutumia maneno yasiyo na busara.

Mh. Mbowe kaonesha ukomavu mkubwa wa kisiasa kwa kuvumilia matusi ya waziri.

Zogo lilianza pale Mh. Mbowe aliposema serikali iliyopo madarakani ni DHAIFU.

Mh Mbowe should have said - serikali iliyopo madarakani ni WAIZI and not DHAIFU. We should call a spade a spade and not a hoe.
 
Nimemsikia Wasira vizuri sana. Alijisifia kwamba aliingia bungeni kwa mara ya kwanza akiwa na mika 25. Akamuuliza Mh Mbowe kama anao vijana wa umri huo.

Mbowe (Mh) kwa heshima na ukomavu wa hali ya juu akamjibu: "Hilo la umri sijui nikupongeze au nikuache tu hivyo hivyo?! Lakini wananchi wanajuahili"

Wassira ana hasira za ajabu kabisa na jazba kupita kiasi anaona kama ccm ndo mzazi wake. Nampongeza sana Mh Mbowe kwa ukomavu wa kisiasa alouonyesha. Naamini bila hivyo, yaani kama Mh Mbowe naye angekosa hekima kama mwenzake, pale tbc pangechimbika.

Mimi naona kama wasira bado anajiona anaweza ngumi kama enzi zake. Mzee wasira nimshauri tu bure aachane na siasa umri umemtupa mkono, ang'atuke, halafu siasa hazitaki hasira.

Mbowe ameonyesha ukomavu wa hali ya juu, kuliko huyo wasira anayejiita veterani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom