Double G is one of the best radio and Tv presenter in town, hebu mfananishe na mwingine tangu akiwa radio free africa alikuwa best in lake zone na mpaka akaja radio one alikuwa bora sana. Lakini unatakiwa kutenganisha kati ya presenter na mtu wa kufanya interview yawezekana kidogo anakosa interview techniks ndo maana unasema kuwa akiwa kwenye interview he4 dominates the session and then follow-up questions zinakuwa hazijasimama sana. Lakini this can be solved huwezi chukua kigezo hiki na ukasema jamaa analazimisha fani, MNYONGE MNYONGENI LKN HAKI YAKE MPENI. Ukweli pia wawezekana kuwa anatengeneza sauti ukiongea naye live na baadae ukamsikiliza kwenye radio au tv unahisi sauti imebadilika. Lakini hiyo sauti anayoiigiza ndo brand yake
Uk
Uk