Godwin Gondwe wa ITV asilazimishe fani

Double G is one of the best radio and Tv presenter in town, hebu mfananishe na mwingine tangu akiwa radio free africa alikuwa best in lake zone na mpaka akaja radio one alikuwa bora sana. Lakini unatakiwa kutenganisha kati ya presenter na mtu wa kufanya interview yawezekana kidogo anakosa interview techniks ndo maana unasema kuwa akiwa kwenye interview he4 dominates the session and then follow-up questions zinakuwa hazijasimama sana. Lakini this can be solved huwezi chukua kigezo hiki na ukasema jamaa analazimisha fani, MNYONGE MNYONGENI LKN HAKI YAKE MPENI. Ukweli pia wawezekana kuwa anatengeneza sauti ukiongea naye live na baadae ukamsikiliza kwenye radio au tv unahisi sauti imebadilika. Lakini hiyo sauti anayoiigiza ndo brand yake

Uk
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Sio jibu hili Suzie.
majibu yenu ni ya kitoto wote nyie

Nakubaliana nawe Lukansola. Tatizo ni kuwa wanaomtetea Godwin hawachambui yale mleta mada anayodai juu ya Gondwe kama kicheko artificial, kutaifisha mjadala etc wao wanatazama mambo ya wivu etc. Godwin Gondwe ni mtu mpole, handsome na mcha Mungu. Nimeanza kumsikia Gondwe enzi zile yuko RFA Mwanza. Hii is huge on radio I swear, anajipenda na anapenda kazi yake lakini hii haimaanishi anaweza sana kazi yake ya sasa (sijasema hawezi na kama nitaamua kusema anaweza nitaeleza sababu, ila sababu haitakuwa "wivu wa mleta mada" as long as mletra mada katoa hoja kadhaa ambazo zinapimika (zinachambulika na zinatafitika)). Suala la utangazaji iwe radio au TV ni la kitaaluma mbali na uwepo wa vipaji, kupendeza na upole.

Kwa mfano, mimi ni shabiki sana wa Makwaia wa Kuhenga na namheshimu sana ila najua wazi ukifanya mahojiano naye usipokuwa na subira mnaweza hata "kupigana" hasa ikiwa unawaza tofauti na misimamo yake. Viva St Makwaia but vipaji vinaendane na weledi (professionalism) na si hisia tu.

Hii inanikumbusha mjadala "Mimi ni Atheist" katika jukwaa la Jamii Intelligence... badala ya watu kujibu hoja moja moja wanakuja na "We shetani, ushindwe na ulegee" etc. Ila wapo wanaojibu hoja kwa hoja.
 
Umenisemea yoote. Hapa si swala la usomi, kiukweli hana 'talking and listening skills'. Kwa hakika mimi huzima TV au kubadilisha channel kila ninapomsikia. Kinachoniudhi ni yeye kujihisi yuko sahihi na 'bora kabisa' pale anapotangaza. Anayebisha hebu ajaribu kumfuatilia ...

Umekalia uongo tu we tapeli
 
jamani katika vipindi vya mahojiano vya tv za tz hakuna mtangazaji wa hovyo kupata kutokea kama gabriel zakaria, hiki ni kimeo hasa, kama gondwe hafai hujui hapaswi hata kusogelea kamera ama kipaza sauti ya chumba cha habari, ni mbumbumbu, ni mbabaishaji, mtu mwepesi , anaehoji kwa kutanguliza majibu, hahhaaaah tbc wamemtoa wapi huyu mjamaa

rfa/star tv - redio one/itv - rfa/star tv - tbc-1
 
semeni yote lakini nawakubali sana hawa watangazaji wa ITV kuliko wa clouds fm/tv....sababu ni moja tu they are real....they dont pretend. keep up gg and your team.
 
Mkubwa ni wazi kabisa una chuki binafsi na G.G na hii topic haikupaswa kuletwa hapa ungemtumia mwenyewe huo ushauri ingependeza zaidi
 
Mtoa hoja ana pointi ingawa labda katumia maneno makali kidogo................GG ni mtangazaji mzuri wa vipindi fulani fulani, nadhani mahojiano kama ilivyo kwa waandishi/watangazaji wa kibongo ni tatizo. Swali linakuwa para mbili.

  • Ushauri GG acha hiyo ''synthetic voice'' kutaka kujitumumua sana, hata kama wewe una umbile dogo huna haja ya kujitumumua sana, maana watu wanapokusikia kwa radio au TV halafu wakikuona live wanashangaa jinsi ulivyo mdogo kulinganisha na unavyojitumumua studio
  • Soma sana court proceedings ujifunza kuuliza maswali kwa ufupi na ufasaha
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Mtoa hoja ana pointi ingawa labda katumia maneno makali kidogo................GG ni mtangazaji mzuri wa vipindi fulani fulani, nadhani mahojiano kama ilivyo kwa waandishi/watangazaji wa kibongo ni tatizo. Swali linakuwa para mbili.

  • Ushauri GG acha hiyo ''synthetic voice'' kutaka kujitumumua sana, hata kama wewe una umbile dogo huna haja ya kujitumumua sana, maana watu wanapokusikia kwa radio au TV halafu wakikuona live wanashangaa jinsi ulivyo mdogo kulinganisha na unavyojitumumua studio
  • Soma sana court proceedings ujifunza kuuliza maswali kwa ufupi na ufasaha

Mia.

umeona uso wa huzuni sauti ya kicheko wapi na wapi jamani? kicheko shurti kitanguliwe na smile bwana anaboa

Acheni majungu. Just kidding!!
 
ndugu yangu vp ulimpania nn
Jamani tuwe wa kweli, huyu kijana ana juhudi ya kazi na nasikia ni msomi wa hivi vyuo vyetu vya kata, lakini hana kipaji cha utangazaji jamani.

Anajaribu kuiga ma cow boy wa movie za kimarekani, kicheko chake ni very artficial he is a bad actor, hata kwenye lile tangazo la promotion alilovalishwa suti mpya, lakini bado kicheko kinachafua, halafu naomba Joyce japo husikilizagi la mtu, msimpange kwenye mahojiano hana technique mtu huyu, anaongea zaidi ya mgeni, hana uvumulivu hayuko organized maana anauliza kila kitu wakati mmoja na maswali yake sio maswali ni maelezo ya anachokijua yeye juu ya hilo swala, anaingilia mszungumzaji anauliza maswali mengi wakati mmoja na hajui kufuatilia kama lipi limejibiwa lipi halijajibiwa. Anawezakana ni mwanahabari mzuri lakini sio mtangazaji mzuri especially kwenye TV.

Kwa nini msimuache aka concentrate kwenye u MC wa BSS na taarifa ya habari? hata ninapoongea sasa yuko kwenye kipindi ch akumekucha anazoza yeye hata mzungumzaji hatujui kamuitia nini studio maana angeongea yeye tu
 
Yani huyo gamba anamuigiza maulid kitenge...

Ila honestly wanapaswa kuchange na ku specialize sio kubangaiza tu wajifunze kwa wenzao.... Mfano Richard quest means business na Dr farid Zakaria ni coverage ya kitaalamu na unaenjoy.....sasa Kama Mtu Ana masters then you cannot tell the difference on what he deliver....you don see creativity and changes unategemea nini....

Nadhani tujiulize ni kwanini Mtu mmoja anafanya coverage kwenye Sheria , biashara , uchumi na vinginevyo hili ndilo linalosababisha dharau....

Unajua ukiwa kwenye field uko sawa nadhani no one will concentrate on sauti,kicheko na vinginevyo...ni challenge kwa wote Kama Angekua anakua objective kwenye Topic hakuna ambae ange concentrate on his voice and kicheko chake... Sasa Hawa watangazaji wetu wanajikita kwenye facial , scrub na Mavazi lakini delivery Zero...

Wabadilike ndio Maana wengi wanawadharau na kuona kua they just fake

Ukweli ndiyo huu
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Mimi sipendi staili ya utangazaji na uulizaji maswali ya yule wa dakika 45. Sijui ni jinsi kipindi kilivyotengenezwa kipropagandapropaganda ama ndio kupwaya kwa mtangazaji mwenyewe.

Mkubwa, TOPIC: Godwin Gondwe wa ITV!
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
mkuu tatizo kubwa la ITV hawaangalii VIPAJI wanaangalia VYETI na VI MEMO katika kupata watngazaji, vile vile ITV hamna ubunifu kwa kweli inabidi wajipange maaana kuna wenzao wanakuja kasi na vizuri sana. EATV wanafanya vizuri.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom