Ghorofa la Bernald Membe - Wizi Mtupu

HV mkuu mbona unafanya wana JF ndondocha? HV ni nani asiyejua mshahara wa mawaziri? wengine hawaJui mshahara wa waziri,nnavyojua mimi mshahara wa waziri kabla ya makato ni 2,700,000/=,

Miaka mingapi yupo kwenye uwaziri? hesabu na posho zote. Ukimaliza leta jibu. Miaka mingapi kaanza kuwekeza? kabla ya uwaziri au baada ya uwaziri?

Wacheni usongo.
 
Nachokupendea unabisha kila kitu kuhusu ccm/wanaccm hata kama tuhuma zinaushaidi.!

Hiyo tuhuma yenye ushahidi iko wapi? umeshaambiwa hilo ni jengo la kijana aitwae Shaby (Shaaban au Shabir) na Membe halimuhusu ndee wala sikio.

Weka ushahidi kama ulivyowekwa wa Maige, halafu uone tutabisha kwa hoja ipi.

Nyie basi kwa kuwa wachagga mnajulikana kwa ile tabia yenu basi mnadhani kila mmoja mwenye fedha na yeye ndio kama nyinyi?
 
Mbona nyumba ya kawaida tu hiyo? Kwa miaka aliyofanya kazi nilikuwa nategemea liwe ni gorofa kweli na siyo hako kagorofa hapo.

Kumbukeni siku hizi kuna access ya loans na other financing facilities.

Mbona kama umeguswa nyuma ukiwa hujategemea?

Kwamba amefanya kazi miaka mingi.... Kwamba kajumba.... 3 storey building ni kanyumba.... Kwa mshahara wa TGS?!! Au upi.
Halafu kuna mikopo?? ..... Thats why wanakimbilia huko? Wapate mikopo wajenge mahekalu?
 
Hahahahahaaa!!!
Five munites before you!!

Hivi liyumba, yona, jairo, nao wachaga??!

Hivi wale wakinga wanaonyanyua maghorofa pale kariakoo nao ni madrasul au wametokea Kuwa pumbaf??
 
Mbona kama umeguswa nyuma ukiwa hujategemea?

Kwamba amefanya kazi miaka mingi.... Kwamba kajumba.... 3 storey building ni kanyumba.... Kwa mshahara wa TGS?!! Au upi.
Halafu kuna mikopo?? ..... Thats why wanakimbilia huko? Wapate mikopo wajenge mahekalu?
Kumbukaa yeye ni waziri na mbunge pia, na siyo afisa wa kawaida serikalini.
 
Miaka mingapi yupo kwenye uwaziri? hesabu na posho zote. Ukimaliza leta jibu. Miaka mingapi kaanza kuwekeza? kabla ya uwaziri au baada ya uwaziri?

Wacheni usongo.

Membe ni mwizi hakuna ajira ya serikali yenye kulipa kiasi hicho hata kama alianza kazi akiwa na miaka 18!!!

Mbona tuna waona watumishi wengine walianza kazi kabla ya membe na bado wako serikarini tena ni watu wakubwa tuuu....lakini hawana migorofa???

Fisadi sana huyu mropokaji!!

Nenda boko National Housing amejimilikisha nyumba mbili zilizokuwa zimejengwa kwa ajili ya wananchi wa kipato cha chini................yeye kawapangisha watumishi wa Vodacom!!!

Nini hiki! kama sio ufisadi?
 
Nitazidi kuongea ukweli daima. Hata mjaribu kufanya nini. Lazima CDM mkubali kuwa chama chenu hakiwezi kuleta madiliko yoyote. Mabadiliko yatafanywa na sisi wenyewe na siyo chama kituletee.

I can read your mind.

Just playing with words, while protecting the status quo
 
Membe ni mwizi hakuna ajira ya serikali yenye kulipa kiasi hicho hata kama alianza kazi akiwa na miaka 18!!!

Mbona tuna waona watumishi wengine walianza kazi kabla ya membe na bado wako serikarini tena ni watu wakubwa tuuu....lakini hawana migorofa???

Fisadi sana huyu mropokaji!!

Nenda boko National Housing amejimilikisha nyumba mbili zilizokuwa zimejengwa kwa ajili ya wananchi wa kipato cha chini................yeye kawapangisha watumishi wa Vodacom!!!

Nini hiki! kama sio ufisadi?

This is not enough.
I am not supporting Membe in nay way and I have never admired him as a Minister.
However, we need more evidence instead of sweeping statements.
 
Mbona nyumba ya kawaida tu hiyo? Kwa miaka aliyofanya kazi nilikuwa nategemea liwe ni gorofa kweli na siyo hako kagorofa hapo.

Kumbukeni siku hizi kuna access ya loans na other financing facilities.

ni nani mwenye access ya na hizo access?
 
Nitaamini vipi kuwa ghorofa hilo ni la Membe?
Tubandikie basi official search kutoka ardhi kuonyesha mmiliki wa kiwanja hicho[/QUOi TE]
mheshimiwa ni kweli unalotaka kujua,lakini Membe anamtumia jamaa mmoja anaitwa Sheby Matetephone,mfanyabiashara,hivyo tayari anayo sababu ya kukataa kwani jina lake haliko ardhi,,ila kama mimi ni mkazi wa Mtwara ukweli ni kwamba,ghorofa ile ni ya Bernard Membe watu wengi wanajua hivyo,sheby matelephone Ni Mithical owner,mwenyewe ni Membe.
nawasilisha.UKANA SHILUNGO.
 
Sasaivi Membe yuko kwapani kwa JK wanaogopa kumchunguza sasa mwacheni ale kwa nafasi, akishamtoa kwapani ndio mtamchunguza Kama Mkulo, mkijakukumbuka shuka kushakuchaaaa!!!!!
 
weka huo ushaidi mvumbuzi kwani hapa jf pia ni public na pia ni chombo cha habari hakuna haja ya kwenda habari maelezo. tupia mzigo huo hapa wanahabari watachukua kutoka jf
 
Mbona nyumba ya kawaida tu hiyo? Kwa miaka aliyofanya kazi nilikuwa nategemea liwe ni gorofa kweli na siyo hako kagorofa hapo.Kumbukeni siku hizi kuna access ya loans na other financing facilities.
Aaaaaaaaaah, kumbe rejao?!!! ningeshangaa sana usingesema hivyo.
 
Mkuu ulieleta hii thread,nadhan ingekuwa vyema ukatuwekea vielelezo vya ushahidi wa umiliki wa ghorofa.
Kama great thinker ni vyema kufanya hivyo ili kuondokana na hisia kwamba hii ni siasa ya kuchafuana bila kuwa na ushahidi wowote,leo hii mtu anaweza piga picha gorofa moja arusha na kusema la fulani ili tu kupanda mbegu ya chuki kwa wananchi.
Otis
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom