halafu eti huyu anatafuta awe rais, jizi tupu
bora BIGWA anae jenga Mtwara kuna wengine wamejenga South inakuwaje???mpw Big.up hoyo mwizi mpaka akamatwe lakini ukiona kimya ni MALIZAKE IZO zina muhusu
halafu eti huyu anatafuta awe rais, jizi tupu
Membe alishatangaza kuwa mwenye kudai hoteli ni yake au anamiliki hoteli ajitokeze hadharani amtaje kisha yeye ndio atajibu. Kitine hajajitokeza hadharani kujibu hadi sasa. Mimi anachonifurahisha chinga huyu ni kule kujiamini kwake tu.
Sasa changamoto kwako Bw, mvumbuzi nenda pale Maelezo kesho ututangazie kuwa hiteli hio ni ya Membe sisi humu JF tunaweza kukuchangia kwa Mpesa pesa ya kukodisha ukumbi. Usipojitokeza tutaamini nawe ni mmoja wa wale wale.......
HV mkuu mbona unafanya wana JF ndondocha? HV ni nani asiyejua mshahara wa mawaziri? unataka kusema ni perdiems anazopata kwenye hizo safari za nje ndo zimewezesha kujenga hili ghorofa?. Kuongozana na rais siyo hoja na hauhitaji kujua gharama ya kulijenga ndo mtu atoe comment naomba uelewe hili jumba ni kubwa na ni la kisasa na sas lipo kwenye finishing kwa kwa kiwango tunachoweza kukiita the state of art finishings.
Mbona nyumba ya kawaida tu hiyo? Kwa miaka aliyofanya kazi nilikuwa nategemea liwe ni gorofa kweli na siyo hako kagorofa hapo.
Kumbukeni siku hizi kuna access ya loans na other financing facilities.
Haya endelea kujivunia kuwa na Mawaziri matajiri
View attachment 54625
Hivi hili ghorofa la Membe na lile la Ezekiel Maige lipi kubwa?
Sioni ubaya wowote wa Membe kujenga Ghorofa Mtwara au mlitaka akazifiche pesa zake kwenye Benki za Switzeland? hapo kwa kujenga hivyo watu wamepata kazi za kujenga(mafundi),suppliers (sementi, nondo, bati/vigae,malori) ikifunguliwa Hoteli watu watapewa ajira. Mi naona Membe we endelea tu kula pesa taratiiiiibu hakuna wa kukugusa. tena ikiwezekana nenda kajenge lingine GETI KUU LA KUINGILIA SERENGETI