Haya endelea kujivunia kuwa na Mawaziri matajiri
View attachment 54625
Hivi hili ghorofa la Membe na lile la Ezekiel Maige lipi kubwa?
aliwah kumwita mtu kingwendu sijui wewe atakwitaje,,,,,sasa kazi yetu ni kufananisha tu????oh
Haya endelea kujivunia kuwa na Mawaziri matajiri
View attachment 54625
Hivi hili ghorofa la Membe na lile la Ezekiel Maige lipi kubwa?
Mhhhh! Vingwendu wote ndani ya magamba lazima wachunguzwe, lakini kutokana na nchii hii kutokuwa na utawala wa sheria ataendelea kupeta tu.
Pesa ya Ghadhafi maskini...
Akili zako ziko swa kweli???? Tathmini ya haraka unadhani thamani yake ni kiasi gani hapo?Mbona nyumba ya kawaida tu hiyo? Kwa miaka aliyofanya kazi nilikuwa nategemea liwe ni gorofa kweli na siyo hako kagorofa hapo.
Kumbukeni siku hizi kuna access ya loans na other financing facilities.
Mbona ni jengo la kawaida tu hilo kulingana na cheo chake. Mbona wajasiliamali wakawaida wanavyo vitu vikali zaidi.
Mbona nyumba ya kawaida tu hiyo? Kwa miaka aliyofanya kazi nilikuwa nategemea liwe ni gorofa kweli na siyo hako kagorofa hapo.
Kumbukeni siku hizi kuna access ya loans na other financing facilities.
Mfumo wa wafanyakazi Serikalini kutokuwa na biashara ulikufa zamani sana. Nyie bora mngezaliwa wakati wa Nyerere. Kwa sasa wala haina mshiko.
Hili ni ghorofa linalokamilika kwa spidi la Mh. Bernald Membe pale jirani na VETA Mtwara ambapo pia alitaka kukitwaa kiwanja cha VETA ili apate parking. Hapa anajenga hoteli na sitaki niseme ni ghorofa ngapi we hesabu mwenyewe. Kwa wale wasiojua fedha zetu walipa kodi zinakokwenda hadi watoto wa shule kukalia mawe darasani kwa kukosa madawati na wagonjwa kulala sakafuni kwa kukosa vitanda basi jioneeeni wenyewe. Wafanyakazi mnaokatwa kodi mlikuwa mnauliza zinakwenda wapi basi jioneeni wenyewe ndio hapa zimehifadhiwa kwenye hili ghorofa.
Mtu akibisha anieleze ana basis zipi kwani mi ninao ushahidi wa hii picha.
View attachment 54624
Ujenzi ukiendelea wa ghorofa la Bernald Membe: Waziri wa Mambo ya nchi za nje eneo la VETA Mtwara
Membe katafuna pesa iliyotolewa na libya kujenga kiwanda cha cement mtama lindi.ushahidi upo
Nitaamini vipi kuwa ghorofa hilo ni la Membe?
Tubandikie basi official search kutoka ardhi kuonyesha mmiliki wa kiwanja hicho