maranduhussein
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 268
- 131
kama ndo gazeti la mawio limechapisha taarifa hizo, wakristo na chadema hawana sababu ya kuchukia. wanapaswa kutathmini ukweli wa kauli hiyo. kwa habari za uhakika ni kuwa gazeti la Mawio linachapishwa na kumilikiwa na kampuni ya SAED KUBENEA. KUBENEA huyu huyu ambaye kila siku chadema wanampigania ili apate haki ya kutoa habari. kutokana na hali hiyo, ni wazi kuwa kubenea anajua kinachoendelea na kwa hali hiyo taarifa hizo tuziamini kama vile vile tulivyoaminishwa kuwa dr ulimboka alitekwa na ramadhan ighondu. sote tunapaswa kushikamana na kulaani mpango huo mchafu kama vile vile tulivyoshikamana kuilaumu serikali juu ya tukio la dr ulimboka. kama hatuamini taarifa ya mawio ambayo imeandikwa na kampuni ya kubenea, basi ni busara pia tukaiondolea serikali kashfa zile za dr ulimboka maana ni kubenea huyo huyo ndiye aliyeandika na kuita taarifa za kiuchunguzi
Nakuunga mkono asilimia mia moja.Sielewi mkuu sisi Watanganyika kwanini hatutumii muda kidogo angalau kufikiri na kujaribu kuangalia historia ambayo tunaambiwa ni mwalimu mzuri.Wepesi sana wa kusahau.Na watawala wanatujua.Ole wetu tusipobadilika.