Gazeti la Mawio lidhibitiwe mapema, Hii habari ya Wakiristo kuhamia CHADEMA 1 July 2013 sio kweli

Status
Not open for further replies.
Rais Dhaifu, muislamu ubwabwa hana hata udhu wa kujiita Muislamu huyu ni bora hata ya kafir, kawadanganya mahakama ya kadhi mkampa kura zenu za kidini na sasa amewaacha kwenye mataa mbululas.

umetoroka tena mirembe ee?
 
Ukweli ni ukweli na pia uongo ni uongo tu. Hauhitaji kupambwa kwa lugha yoyote ya ziada.
 
Chadema inalitumia kanisa kinyume kabisa...haifai namna hii

Je unao mfano ?
Huo ni utashi wa mpiga kampain na siyo chama fulani.
Mimi naona mara nyingi viongozi wa vyama mbalimbali hutembelea misikiti au makanisa kutegemea mialiko wanayopewa na tasisi hizo. Hii haimanishi kubase kwenye tasisi hizo.
Tuangalie sana siasa, isijekuwa JF kufanyika sehemu ya kupigiana kampain za kishabiki kisiasa na kidini.
 
Kinachotakiwa kabla hujachangia hoja hapa itafute nakala ya hilo gazeti pitia hicho kipengele tathmini kilichopo halafu utakuwa na jibu zuri la kuweka hapa kwenye jukwaa. nawakilisha
 
kama ndo gazeti la mawio limechapisha taarifa hizo, wakristo na chadema hawana sababu ya kuchukia. wanapaswa kutathmini ukweli wa kauli hiyo. kwa habari za uhakika ni kuwa gazeti la Mawio linachapishwa na kumilikiwa na kampuni ya SAED KUBENEA. KUBENEA huyu huyu ambaye kila siku chadema wanampigania ili apate haki ya kutoa habari. kutokana na hali hiyo, ni wazi kuwa kubenea anajua kinachoendelea na kwa hali hiyo taarifa hizo tuziamini kama vile vile tulivyoaminishwa kuwa dr ulimboka alitekwa na ramadhan ighondu. sote tunapaswa kushikamana na kulaani mpango huo mchafu kama vile vile tulivyoshikamana kuilaumu serikali juu ya tukio la dr ulimboka. kama hatuamini taarifa ya mawio ambayo imeandikwa na kampuni ya kubenea, basi ni busara pia tukaiondolea serikali kashfa zile za dr ulimboka maana ni kubenea huyo huyo ndiye aliyeandika na kuita taarifa za kiuchunguzi

Mimi na nyumba yangu na ukoo wangu wote wakristo. Mbona hatujatangaza kuhamia CHADEMA na wala siyo wanachama wa CHADEMA. Sisi ni wanachama wa UDP.
 
kama ndo gazeti la mawio limechapisha taarifa hizo, wakristo na chadema hawana sababu ya kuchukia. wanapaswa kutathmini ukweli wa kauli hiyo. kwa habari za uhakika ni kuwa gazeti la Mawio linachapishwa na kumilikiwa na kampuni ya SAED KUBENEA. KUBENEA huyu huyu ambaye kila siku chadema wanampigania ili apate haki ya kutoa habari. kutokana na hali hiyo, ni wazi kuwa kubenea anajua kinachoendelea na kwa hali hiyo taarifa hizo tuziamini kama vile vile tulivyoaminishwa kuwa dr ulimboka alitekwa na ramadhan ighondu. sote tunapaswa kushikamana na kulaani mpango huo mchafu kama vile vile tulivyoshikamana kuilaumu serikali juu ya tukio la dr ulimboka. kama hatuamini taarifa ya mawio ambayo imeandikwa na kampuni ya kubenea, basi ni busara pia tukaiondolea serikali kashfa zile za dr ulimboka maana ni kubenea huyo huyo ndiye aliyeandika na kuita taarifa za kiuchunguzi

Mimi na nyumba yangu na ukoo wangu wote wakristo wa Word ALIVE. Mbona hatujatangaza kuhamia CHADEMA na wala siyo wanachama wa CHADEMA. Sisi ni wanachama wa UDP. Hizo habari kazisema nani. Wakristo wa Dhehebu gani haoo? Au mnaposikia wakristo mnafikiri wote tunaabudu pamoja? Kuna wa MZee wa Upako, wa Kakobe, wa Efata, wa GWAJIMA, WA SLOAM, WA NGURUMO YA UPAKO, WA HAKUNA LISILOWEZEKANA, WA MITO YA BARAKA, WA Mlima wa Moto, wa Sabato Masalia wa ATN na kadhalika. Pse taja ni Wa dhehebu gani kama kweli unawajua Wakristo!
 
Jana nilisoma gazeti la mawio na kuona habari inayodai kwamba wakiristo tz kupitia Majukwaa yao wanatarajia kurudisha kadi za CCM na kujiunga na chadema.

Hoja kubwa ni kwamba Chadema kinaambiwa ni chama cha wakiristo jambo ambalo vuongozi wa kikiristo hawapendi.
Mimi naona hoja ile sio ya ukweli na hakuna Mpango huo.

HEBU tujiulize:
Mbona CUF waliwahi na wanaambiwa kwamba ni chama cha waislam na hatujasikia BAKWATA kuwataka waislam wahame CCM?
Mbona viongozi wetu wa wakiristo wanatwambia tusichanganye dini na siasa. sasa haya yametokea wapi tena?
Mbona hawa hawa maaskofu waliwataka watz wasiichague Cuf Kwa kuwa ni chama cha kidini. mbona leo wamegeuka hivi?
Je, Jk aliposema Uchaguzi 2010 ulikuwa umeingia maswala ya DIni ndio haya?
Je, kama ni kweli hili si kulipeleka taifa katika machafuko ya KIDINI ?

Mimi nasema huu ni uzushi wa gazeti hili kwani viongozi hawa hawa walionukuliwa katika MAWIO ndio waliokuwa wakiunga mkono wakati wa Rais wa awamu ya 3 kuhusu ya Mwembechai. HUU NI UZUSHI WA GAZETI HILI

Umerejea mpwa? Karibu sana jukwaani, pacha wako mshumbusi anakusubiri kwa hamu!
 
Last edited by a moderator:
Jana nilisoma gazeti la mawio na kuona habari inayodai kwamba wakiristo tz kupitia Majukwaa yao wanatarajia kurudisha kadi za CCM na kujiunga na chadema.

Hoja kubwa ni kwamba Chadema kinaambiwa ni chama cha wakiristo jambo ambalo vuongozi wa kikiristo hawapendi.
Mimi naona hoja ile sio ya ukweli na hakuna Mpango huo.

HEBU tujiulize:
Mbona CUF waliwahi na wanaambiwa kwamba ni chama cha waislam na hatujasikia BAKWATA kuwataka waislam wahame CCM?
Mbona viongozi wetu wa wakiristo wanatwambia tusichanganye dini na siasa. sasa haya yametokea wapi tena?
Mbona hawa hawa maaskofu waliwataka watz wasiichague Cuf Kwa kuwa ni chama cha kidini. mbona leo wamegeuka hivi?
Je, Jk aliposema Uchaguzi 2010 ulikuwa umeingia maswala ya DIni ndio haya?
Je, kama ni kweli hili si kulipeleka taifa katika machafuko ya KIDINI ?

Mimi nasema huu ni uzushi wa gazeti hili kwani viongozi hawa hawa walionukuliwa katika MAWIO ndio waliokuwa wakiunga mkono wakati wa Rais wa awamu ya 3 kuhusu ya Mwembechai. HUU NI UZUSHI WA GAZETI HILI
mambo ya udini yapo ila wana siasa wamezoea kutafuta hoja ipi watapata wananchi wengi
 
mleta mada naona anakurupuka hana lolote, kwa taarifa yako nina udhibitisho wa askofu aliehudhuria kikao hicho na taarifa zilizopo kwenye gazeti ndio hizo hizo. walihudhuria maaskofu 173 ss unachobisha ni nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom