Gazeti la Mawio lidhibitiwe mapema, Hii habari ya Wakiristo kuhamia CHADEMA 1 July 2013 sio kweli

Status
Not open for further replies.
kama ndo gazeti la mawio limechapisha taarifa hizo, wakristo na chadema hawana sababu ya kuchukia. wanapaswa kutathmini ukweli wa kauli hiyo. kwa habari za uhakika ni kuwa gazeti la Mawio linachapishwa na kumilikiwa na kampuni ya SAED KUBENEA. KUBENEA huyu huyu ambaye kila siku chadema wanampigania ili apate haki ya kutoa habari. kutokana na hali hiyo, ni wazi kuwa kubenea anajua kinachoendelea na kwa hali hiyo taarifa hizo tuziamini kama vile vile tulivyoaminishwa kuwa dr ulimboka alitekwa na ramadhan ighondu. sote tunapaswa kushikamana na kulaani mpango huo mchafu kama vile vile tulivyoshikamana kuilaumu serikali juu ya tukio la dr ulimboka. kama hatuamini taarifa ya mawio ambayo imeandikwa na kampuni ya kubenea, basi ni busara pia tukaiondolea serikali kashfa zile za dr ulimboka maana ni kubenea huyo huyo ndiye aliyeandika na kuita taarifa za kiuchunguzi

Nakuunga mkono asilimia mia moja.Sielewi mkuu sisi Watanganyika kwanini hatutumii muda kidogo angalau kufikiri na kujaribu kuangalia historia ambayo tunaambiwa ni mwalimu mzuri.Wepesi sana wa kusahau.Na watawala wanatujua.Ole wetu tusipobadilika.
 
Kwa hiyo kila alie against na chadema ni mliberali?

Vipi nasikia babu kaenda kuomba hela kwa waliberali wa kijerumani
Mliberali wa Lumumba, inakuuma eh, ya nani ya Mwigulu ama Nape? na bado watazidi kukuharibu mdogo wangu!
Muulize Le Mutuz!
 
Gazeti linasema wakristo watahamasishwa kurudisha kadi za CCM kwa sababu serikali ya ccm imewamilikisha wakristo uchadema. ccm na serikali yake wanasema chadema ni chama cha wakristo, sasa kama ni kweli hiyo basi wakristo hawana budi kurudisha kadi za ccm ili umilikishwaji wao kwa chadema unaofanywa na ccm na serikali yake wapate ujumbe kuwa kumbe si wakristo wote ni wa chadema bali hata ccm wapo wakristo.
Kimsingi mantiki yake yake ni kupeleka ujumbe kwa viongozi wa ccm kwamba si kweli chadema ni chama cha wakristo kama wanavyodai bali ni chama cha watu wote kama ilivyo ccm
 
Kama CDM haijatajwa kuwa ndo watahamia iweje mleta mada aseme CDM wakati tuna vyama vingi vya siasa.

acheni longolongo.
 
Mliberali wa Lumumba, inakuuma eh, ya nani ya Mwigulu ama Nape? na bado watazidi kukuharibu mdogo wangu!
Muulize Le Mutuz!
Nani mdogo wee chizi,

Wewe unaonekana mzee kwa sababu ya kunywa viroba bila kula

anyway soma hapa chini
Senior members of Merkel's Christian Democratic Union want to address equal rights for homosexuals. They are looking into taxing same-sex partnerships like married couples

hicho ndio chama alichoenda watembelea babu
 
Kwa hiyo kila alie against na chadema ni mliberali?

Vipi nasikia babu kaenda kuomba hela kwa waliberali wa kijerumani

basi dk slaa nae ni mliberali kwani anachukua hela kwa sebodo tena anampa na mkono wa kushoto anasama Dugu shuku pana day veve ikoso sikutanipa fadhila
 
acha uzushi hiyo habari na mimi nimeisoma . Hakuna palipo andikwa wakristo watajiunga na chadema ila watahamasishwa kurudisha kadi za ccm.

safi sana mdau huyu kijana alitaka kupotosha wananchi kwa kuleta mambo ya uchochezi wa udini.... Hakuna mwandishi wa gazeti atayeandika habari kizembe kiasi hicho....
 
MAWIO na Kubenea? Mbona sijaona jina lake? Mbona kampuni inayochapisha siyo yake - HALIHALISI PUBLISHERS LTD? MMekwenda BRELA kutafuta ukweli au mnaleta umbea tu hapa. Hii habari nimeisoma. Ninaijua. Ni ukweli mtupu. Nenda kaulize Jukwaa la Wakristo watakuambia ukweli. Acha kushambulia watu kama Jukwaa la Wahariri lilivyomshambulia LUDOVICK kwa mambo ya uwongo. Acha kumsakama Kubenea wa watu wakati ninyi ndiyo mmefunga gazeti lake. Acheni.
 
Watanzania tumefikia hapo, tuache kulalamika kwa sababu mambo haya tumeyataka na tunaendelea kuyataka wenyewe. Tusubirini ushahidi kamili. Kazi mbaya ukiwa nayo, ukitamani vita usiogope mabomu.
 
Pamoja na itikadi zetu za kidini na vyama tunapaswa kulinda amani na utulivu kwani hivi havina dini, cham, kabila, ukanda wala rangi kwani vikitoweka wote tutateseka. Uchochezi wa aina yoyote ile tusiukubali.
 
Jana nilisoma gazeti la mawio na kuona habari inayodai kwamba wakiristo tz kupitia Majukwaa yao wanatarajia kurudisha kadi za CCM na kujiunga na chadema.
hoja kubwa ni kwamba Chadema kinaambiwa ni chama cha wakiristo jambo ambalo vuongozi wa kikiristo hawapendi.
Mimi naona hoja ile sio ya ukweli na hakuna Mpango huo.
HEBU tujiulize.
mbona CUF waliwahi na wanaambiwa kwamba ni chama cha waislam na hatujasikia BAKWATA kuwataka waislam wahame CCM?
mbona viongozi wetu wa wakiristo wanatwambia tusichanganye dini na siasa. sasa haya yametokea wapi tena?
Mbona hawa hawa maaskofu waliwataka watz wasiichague Cuf Kwa kuwa ni chama cha kidini. mbona leo wamegeuka hivi?
Jee Jk aliposema Uchaguzi 2010 ulikuwa umeingia maswala ya DIni ndio haya?
Jee kama ni kweli hili si kulipeleka taifa katika machafuko ya KIDINI ?

mini nasema huu ni uzushi wa gazeti hili kwani viongozi hawa hawa walionukuliwa katika MAWIO ndio waliokuwa wakiunga mkono wakati wa Rais wa awamu ya 3 kuhusu ya Mwembechai. HUU NI UZUSHI WA GAZETI HILI

Kama si kweli tungojee maaskofu wakanushe, lakini zama za kudhibiti magazeti umepitwa na wakati.
 
Nani mdogo wee chizi,

Wewe unaonekana mzee kwa sababu ya kunywa viroba bila kula

anyway soma hapa chini
Senior members of Merkel's Christian Democratic Union want to address equal rights for homosexuals. They are looking into taxing same-sex partnerships like married couples

hicho ndio chama alichoenda watembelea babu
Unahangaika sana bwana mdogo, ukweli utabaki pale pale, muulize Le Mutuz atakuelezea madhara, utakayoyapata kutokana na huo Uliberali wako!
 
Mleta mada ameleta kiushabiki sana coz mawio wameandika kuwa maaskofu wawaambie waumini kurudisha kadi za CCM sababu ni serikali kushindwa kujibu zile hoja pia makada na viongozi wa ccm kuumiliksha ukristo kwa chadema hivyo wanavunja uhusiano wao na serikali kwa kutowaalika viongozi wala wao kuhudhuria mialiko yao hadi watoe majibu. Sijaongeza kitu
 
Swali kwanini iwe kwa mrais waislam ndio patokee mashindikizo kama haya tz kutoka taasisi za wakiristo?

Kwa nini Mwigulu aliposema bungeni kuwa Chadema ndio wadini maana Singida walipanga na maaskofu mambo ya uchaguzi hukusikia wewe?
 
Hoja ya udini ni ya CCM kuona haina pa kushika sasa heri imwage mboga, tukose wote. Ukweli ni kwamba mboga itamwagwa, ugali utaliwa-Watanzania waliamua kudai haki na manufaa yanayotokana na nchi yao hawawezi kuogopeshwa na fitna za kundi la watu au chama.
 
Malaria sugu ndio mleta mada, hongera kwa kuichukia taarifa ya ukweli dhidi ya kubenea na chadema na wakristo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom