THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,365
- 12,823
Friends and Our Enemies,
Niliposikia kauli ya Shangazi Fatma Karume aliposema ya kwamba Chadema waache chuki dhidi ya waislam na uislam nikatanabahi kuwa kumbe siyo Mimi pekeyangu ambae nimeliona jambo Hilo.
Siyo mara ya kwanza Kwa chadema kama Taasisi au kama viongozi wake kuingia kwenye mtego wa kujiingiza kwenye Taharuki na uislam na waislam.
Kauli ya Lema kwenye mkutano wake wa hadhara alivyosema kwamba eti sisi waislam tusiingie kwenye mtego wa kumchagua MTU au chama eti kisa tuh kiongozi alieopo madarakani ni muislam ni kauli ya hovyo zaidi kuwahi kutolewa na kiongozi huyo wa chama.
Chadema kama chama kinapaswa kutuomba Radhi,na hususan huyo Lema kupitia hadhara hizo hizo anazozifanya anapaswa kuomba radhi umma wa waislam Kwa kauli zake za fedheha na dhihaka kwetu.
Tunafahamu ni kweli kuwa wapo viongozi wa dini ambao case Zao zilikua na mrengo wa kisiasa,lakini haiwezi kujustify Kwa chadema eti Kwa wao kuzipigia kelele kesi hizo na baadhi ya wale masheikh kuachiliwa basi igeuke kuwa ni nongwa au masemango ya kusema wao walitusaidia basi na sisi tugeuke kuwa watumwa Kwa msaada wao ule,Hilo haliwezekani.
No matter how long wamekaa au wangekaa jela wale masheikh haiondoi facts kwamba kama hawana au hawakuwa na hatia it was just a matter of time tuh kuwa wangeachiwa.
So chadema waangalie kauli zao kama chama na viongozi wao,waislam hatutaki watutaje taje kiholela kwenye mikutano Yao pasipo na sababu za msingi,wasisahau pia chadema chuki ambayo waliipanda Kwa waislam kipindi kile wanaanza choko choko juu ya suala la DP World,wajikite kwenye hoja za msingi ambazo wao kama chama Cha kisiasa wanaweza kutufanyia sisi wananchi endapo watapewa hatamu za kushika Dola na kuongoza Taifa hili,na siyo kuingia kwenye homa ya Islamophobia.