FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

Lomalisa atasaidiwa na Mwamnyeto ama Bacca kwenye huu upande wa kushoto, af kwa watakaotaka kupita pale kati atakuwepo "The Tank" Aucho na Mudathir maana huwa wanashuka sana chini kurudi wkt timu haina mpira.
Kwakuwa tutaanzia home tunaweza kuanza nae Lomalisa, ila Cairo hapana. Lomalisa ni mzuri kuipa timu matokeo sio kuzuia.
Huwa ana makosa mengi ktk marking kwakuwa anapanda sana.
 
Kabisa..
Huwezi michuano miikubwa una strikers aina ya KIBU , ONANA...

Timu inakosa quality ya kumiliki mpira.

Dar na Cairo kote timu ikikosa control na kupiga pasi kadhaa ..

Pamoja ya kwamba AHLY ni timu kubwa lakini kuna madhaifu mengi SIMBA inahitaji analytical REPORT kubainisha..

Mwanzo - mwisho pasi 2 au 3 mpinzani kashapora kwa nguvu...
Very weak ktk hili
 
Nyie kama mmezoea kutishiwa kutopewa moyo ni nyie na litimu lenu la VILAZA FC....Ahmed Ally endelea hapo hapo ulipoishia unatupa nguvu mashabiki hauko kinyonge...una ari na nguvu...safi sana..
 
Kwakuwa tutaanzia home tunaweza kuanza nae Lomalisa, ila Cairo hapana. Lomalisa ni mzuri kuipa timu matokeo sio kuzuia.
Huwa ana makosa mengi ktk marking kwakuwa anapanda sana.
Ni kweli kwenye kukaba sio mzuri kwa kiwango kikubwa, yani anahitaji kucheza na winga kama moloko upande ule wa kushoto maana moloko huwa na nidhamu nzuri sana kwenye kukaba huwa anrud kusaidia kukaba sema shida ya moloko kwenye kushambulia anacheza mpira wa kizamani sana kwenye kushambulia....au ndo asaidiwe kukaba na akina mwamnyeto na Bacca.
 
Back
Top Bottom