FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

Hii mechi tungekua na quality player wawili tu kwenye nafasi alioanza Boko na kibu tungezungumza mengine leo. Simba tukafanye usajili wa maana tuache siasa.
Kabisa..
Huwezi michuano miikubwa una strikers aina ya KIBU , ONANA...

Timu inakosa quality ya kumiliki mpira.

Dar na Cairo kote timu ikikosa control na kupiga pasi kadhaa ..

Pamoja ya kwamba AHLY ni timu kubwa lakini kuna madhaifu mengi SIMBA inahitaji analytical REPORT kubainisha..

Mwanzo - mwisho pasi 2 au 3 mpinzani kashapora kwa nguvu...
 
Back
Top Bottom