From h.e.s.l.b to wizara ya elimu

Hilo nalo neno ngoja tuone hiyo ijumaa then tutawasilisha feedback

Mkuu musichoke haki inatafutwa na sio kukaa tu, unatakiwa uwe unaongea huku unatembea, mungu atasaidia tu, unajua lilejua unaloliona kule angani ipo siku litakuja kushuka chini
 
hata mm nlikuepo bt kitu kinacho nichanganya now ni kumuona yule jamaa toka wizara ya elimu anasema ameongea na sisi na kutuambia turudi tena heslb kwa kupata ufafanuzi zaidi,kwa maelezo zaidi angalia chanel ten habari saa nne usiku huu
 
S3373/0082/2010 ndio index yangu! Kitivo ni bachelor of science in educatio with mathematics mkopo not secured! Mzee wangu ni mkulima hana mbele wa nyuma! Serikali inasema inaupungufu wa walimu wa sayansi kwa hali hii nimekata tamaa kabisa!
 
hata mm nlikuepo bt kitu kinacho nichanganya now ni kumuona yule jamaa toka wizara ya elimu anasema ameongea na sisi na kutuambia turudi tena heslb kwa kupata ufafanuzi zaidi,kwa maelezo zaidi angalia chanel ten habari saa nne usiku huu

Young k kama ulikuwepo wizarani si umesikia tukichoambiwa so we ijuu ndo utaujua ukweli mkuu
 
Wakuu sie wa mikoani 2nafanyaje? Kama kuna uwezekano wa kuandika jina langu pia nitashukuru, my ful name is Joseph Kalonga, nimepata udsm aquatic envinromental science and conservation, S1049.0097.2006...tafadhali wakuu 2saidien wa mikoani
 
Back
Top Bottom