wizarani na tulioenda leo maana tumeandka na majina
Hilo nalo neno ngoja tuone hiyo ijumaa then tutawasilisha feedback
hata mm nlikuepo bt kitu kinacho nichanganya now ni kumuona yule jamaa toka wizara ya elimu anasema ameongea na sisi na kutuambia turudi tena heslb kwa kupata ufafanuzi zaidi,kwa maelezo zaidi angalia chanel ten habari saa nne usiku huu
Achaneni nao, kusoma sio lazima limeni hata manumbu mtatoka