LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,352
- 3,222
Heko Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Hakika ninawatakia kila la KHERI pale mnapoanza na hata mtakapomaliza!
Wao wana pesa Sisi tuna MUNGU aliyehai!
Hakika ninawatakia kila la KHERI pale mnapoanza na hata mtakapomaliza!
Wao wana pesa Sisi tuna MUNGU aliyehai!
Wanasiasa wawili wanaotikisa katika siasa za Tanzania Mkiti wa Chadema Freeman Mbowe na Katibu mkuu wake Dr Wilbroad Slaa wanatarajia kuiteka Dodoma siku ya Jumamosi.
Viongozi hao watakuwa katika uzinduzi wa Kanda ya Kati ya Chama hicho uzinduzi utakaoshirikisha pia wabunge wote wa Chadema walioko Dodoma kwenye vikao vya bunge.
Uzinduzi huo utafanyika katika viwanja vya wajenzi maili mbili Manispaa ya Dodoma.Tangu Chadema ianzishe utaratibu wa Kanda umekuwa mwiba mchungu kwa CCM.