Freeman Mbowe na Dr Slaa kutikisa Dodoma Jumamosi

Nitakuwepo mimi mwenyewe nitahakikisha hampati update za uongo kama walivyozoea kutudanganya, Utasikia mkutano una watu zaidi mia tano kumbe hata mia hawafiki.
 
labda angekuweko Zitto ndio wakazi wa Dodoma tungeshtuka kwani yeye sio msema hovyo anakwenda kwa data lakini hawa wengine ni sawa na msemo wa Mbunge wa Magomeni mahammud Chomboh
"ILI SINDANO ISHONE NI LAZIMA IINGIZIWE UZI KWA NYUMA NA TENA TARAAAAATIBU"
Kumbe akili yako inadaka matusi kuliko mam o ya maana. Unashabikia watu wanaopenda mambo ya Sodoma na Gomora? Mtu mstaarabu anatakiwa ayakemee kwa nguvu zote.


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
sawa taarabu kutoka kwa halima mdee na kamanda lisu itakuwepo ila kama ilivyo ada kiingilio chetu ni kile kile buku tano hadi kumi

Ni vyema hata ikiwa hivyo kwani hata BABA WA TAIFA enzi zile za TANU akipambania ukombozi wa kwanza wa TAIFA 1959 & 1960 alikuwa akichangiwa thumni thumni.
 


...."Education is an important element in the struggle for human rights. It is the means to help our children and our people rediscover their identity and thereby increase their self respect. Education is our passport to the future, for tomorrow belongs only to the people who prepare for it today."......

...SIKU ZOTE..IN CHADEMA I TRUST....not for the Jangilis a k a Magamba.....

 
Mkuu Molemo asante kwa taarifa pia shukurani kwa kuzingatia itifaki! Najua unajua nasema nini!

Siku hizi naona unatoa taarifa za chama vipi Mnyika na Tumaini Makene mbona kimya hawaenezi? Mkuu Molemo nawe ni mwandamizi au uko karibu na mwandamizi manake unapata taarifa muhimu.
 
Last edited by a moderator:
labda angekuweko Zitto ndio wakazi wa Dodoma tungeshtuka kwani yeye sio msema hovyo anakwenda kwa data lakini hawa wengine ni sawa na msemo wa Mbunge wa Magomeni mahammud Chomboh
"ILI SINDANO ISHONE NI LAZIMA IINGIZIWE UZI KWA NYUMA NA TENA TARAAAAATIBU"

Mkuu huyo mzanziberi mbona alichafua hali ya hewa! Mkuu kwa kusema kweli Zitto ni mtu anayepanga hoja zake zikapangika na hana papara wala matusi. Nadhani tofauti ya Zitto na wabunge wengine vijana utaiona tu. Kwa mfano Zitto amekuwa akialikwa sana na wasomi pale Nkrumah Hall UDSM katika midahalo mbalimbali. Nadhani wasomi hao humualika kwa kujua kwamba atajenga hoja na si matusi. Sijui vijana gani wengine wamewahi kualikwa kwenye midahalo ya Nkrumah. Hao vijana wengine wanajenga hoja lakini ukiwatwist kidogo tu wanapotea na kuanza kushambulia kwa matusi lakini ZZK hata ukimpinga kwa nguvu namna gani atakuja na hoja shawishi na utakubaliana naye. Juzi nilimsikia kwenye Mdahalo pale UDSM akiwaasa Watanzania hasa vijana kujisomea vitabu ili waweze kujenga hoja badala ya kukufupuka.
 
Wanajua tushawapa dole la kati

Mkuu Mzito Kabwela wewe si wa level hii. wewe ni wa level ya juu ambaye tunategemea utaibeba JF kwa hoja badala ya haya unayoyaandika ambayo hafanani na wewe hata chembe. Toka huko kwenye vioja rudi kwenye hoja najua una hoja.
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyu chilisosi ndo ile spice wanayoweka wanafunzi vyuoni hasa wa kike kwenye chips zege?I can imagine his price
 
Ni vyema hata ikiwa hivyo kwani hata BABA WA TAIFA enzi zile za TANU akipambania ukombozi wa kwanza wa TAIFA 1959 & 1960 alikuwa akichangiwa thumni thumni.

kwani bado ni mwaka 1959.ruzuku mnafanyia biashara tu
 
Back
Top Bottom