Freeman Mbowe na Dr Slaa kutikisa Dodoma Jumamosi

Mkuu Molemo asante kwa taarifa pia shukurani kwa kuzingatia itifaki! Najua unajua nasema nini!

Siku hizi naona unatoa taarifa za chama vipi Mnyika na Tumaini Makene mbona kimya hawaenezi? Mkuu Molemo nawe ni mwandamizi au uko karibu na mwandamizi manake unapata taarifa muhimu.

Mkuu Kimbunga Asante kwa shukrani.Naona unanipachika cheo kisicho changu na labda nisichostahili kabisa.

Siku zote ninaamini JF ni source of information.Kwahiyo katika pitapita zangu nikikuta habari ninayoamini ni muhimu kwa wanajamvi ninatoa pasinashaka....
 
Last edited by a moderator:
kwani bado ni mwaka 1959.ruzuku mnafanyia biashara tu

Nisamehe c kawaida yangu kubishana na mburula dizain yako,huwa ninakusoma na kukubeza zaidi kukusikitikia.,Mwanzoni nilikutanabaisha 1959 & 1960 ilikuwa mapambano ukombozi wa kwanza wa TAIFA hili hivyo usingekuwa gizani ungetambua TAIFA liko ktk mapambano ya ukombozi kwa awamu nyingine ambapo sasa tupo kileleni ktk mapambano haya.KALAGHABAHO.,nyooooo,ruzukuu???Huto tusenti ndito unafikiri twaweza kugombanisha MAKAMANDA??Kuwa GT bana hata kama bado wanuka maziwa ya mamayo.
 
Unajua kama Mwenyekiti wa Chama na Mwenyekiti wanaelewana hivi huwa CCM wanapata maumivu mabaya sana.

Kaka umepata kidogo nini? Sasa umeandika nini hapa au umechanganyika baada ya Sumu ya kumuua zitto kudakwa.
Kuwa makini zito anatoka kigoma na kwao ameaga sijui kama umeaga kwenu?
 
Ni vyema hata ikiwa hivyo kwani hata BABA WA TAIFA enzi zile za TANU akipambania ukombozi wa kwanza wa TAIFA 1959 & 1960 alikuwa akichangiwa thumni thumni.

tangu nilipojua kuwa wewe ni house boy wa slaa ninamda na ww
 
Hili la majimbo linawatesa sana ccm.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Vipi unhamia lini Moshi manake nakuona unajitahidi kadri ya uwezo wako uonekane Chadema ndani ya CCM.
Mara oooh nimetishiwa mara sijui nini si uhame tuuuu!
 
Unajua kama Mwenyekiti wa Chama na Mwenyekiti wanaelewana hivi huwa CCM wanapata maumivu mabaya sana.
Yeah kwa sababu katibu kakubali masharti yote na mwenyekiti hana choice kwa sababu ukiacha Dr anayefuata ni Zitto hapo sasa...
 
Asante sana kwa taarifa mkuu Molemo, kesho nitakuwa safari kuelekea Dom bila shaka Jmamos itanikuta Dom nitakuwa na mda mzuri kuwasikiliza viongozi wangu toka moyoni mwangu...Chadema ni mgodi wa dhahabu unaotembea sema wanjanja na wenye akili wachache tumeutambua...kuicha chadema ni sawa na kutupa dhahabu kwenye choo....
 
Unadharau sana wanawake eeh?
Ulizaliwa na nani mwenzetu?

Hajasema unawadharau ila hiyo ID imemchanganya akadhani wewe una jinsia ya kike....akaona unawadhalilisha wanawake (yaani wewe unawafanya wadharaulike) sie yeye!
Tumia ile ID ya Chris Lukosi!
 
Yeah kwa sababu katibu kakubali masharti yote na mwenyekiti hana choice kwa sababu ukiacha Dr anayefuata ni Zitto hapo sasa...

Siku moja nakuomba uizungumzie CCM maana usikute hujui hata katiba yake inasemaje na historia muhimu ya chama....
 
Kaka umepata kidogo nini? Sasa umeandika nini hapa au umechanganyika baada ya Sumu ya kumuua zitto kudakwa.
Kuwa makini zito anatoka kigoma na kwao ameaga sijui kama umeaga kwenu?

Ulipopost mchana nikajua wewe ni mtu wa hoja na kujadili issues....kumbe a follower of gutter politics...hivi na wewe ni kijana?
 
Kudos Mwenyekiti na Katibu Mkuu kwa kuwahenyesha magamba.
Naliona gamba moja hapa gonjwa la Dr. Alex linazurura zurura tu na ma Id yake zaidi ya kumi hata halijielewi.
 
Si kuwa muwazi tu kuliko kudanganya watu vipi umekata tamaa kugombea ubunge au utajaribu tena.
Mkuu Kimbunga Asante kwa shukrani.Naona unanipachika cheo kisicho changu na labda nisichostahili kabisa.

Siku zote ninaamini JF ni source of information.Kwahiyo katika pitapita zangu nikikuta habari ninayoamini ni muhimu kwa wanajamvi ninatoa pasinashaka....
 
Last edited by a moderator:
Hajasema unawadharau ila hiyo ID imemchanganya akadhani wewe una jinsia ya kike....akaona unawadhalilisha wanawake (yaani wewe unawafanya wadharaulike) sie yeye!
Tumia ile ID ya Chris Lukosi!

Hiyo ID imebeba ujumbe mzito sana usidhani kwamba anayeitumia hajui kwamba inaleta utata. Anafahamu sana lakini kwakuwa anajijua mwenyewe shughuli zinazo muweka UK analazimika kuitumia.
 
Back
Top Bottom