Freeman Mbowe na Dr Slaa kutikisa Dodoma Jumamosi

Haya bwana hongereni wazee waupako na parokia.kama CCM imetumaliza hivi sipati picha mkichukua Nchi nyinyi nadhani PAPA baada yakufungua ubalozi sasa ataweka makaomakuu Tanzania.kila lakher jamani sisi acha tuendelee nakufukuzana na mgambo wa majiji na manispaa,jela ndo home.

Kama vile Falme za kiarabu walivo hamia Loliondo siyo? Hadi wamasai wanafukuzwa kwenye ardhi yao kama paka shume? 'Kimtokacho mtu mdomoni ndicho kiujazao moyo wake', Ulidhani kwa vile sasa hivi kuna nchi huru ndani ya nchi nchi huru ya Tanzania, ambayo madege yanatua na kuondoka na kubeba nyara zetu watakavyo, na hata ukifika unatangaziwa na mtandao kwamba uko ndani ya himaya ya falme za... ..., pole sana mkuu.... siyo kwamba wote wanawaza hivyo. Ebu jitambue na ushiriki kulikomboa taifa lako, hizo ni fikra potofu tu za kutugawa ili tusijikomboe mkuu; zinduka
 
Back
Top Bottom