Freeman Mbowe adhalilika, Wananchi wamkimbia uwanjani

MBOWE ADHARIRIKA HAI, WANANCHI WAMKIMBIA UWANJANI
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa miaka 20 tangu mwaka 2000 akiwakilisha Jimbo la Hai amekimbiwa na wananchi kutohudhuria Mkutano wake wa hadhara na kupelekea Mkutano huo kuhudhuriwa na takribani watu wachache mno hali iliyolazimu CHADEMA kusafirisha watu kutoka Arusha.

Freeman Mbowe amekosa kabisa uungwaji mkono kwa wananchi wa Hai kutokana na kukaa kwake kwenye ubunge kwa Miaka 20 bila kuwasemea wananchi wapate Maendeleo na badala yake Wananchi wamegeukia kwa Mbunge wao wa sasa, Mhe. Saashisha Mafuwe ambaye ameonekana kuwapa kipaumbele sana Wananchi.

Katika hali ya kusikitisha na kutia huruma sana, Mwenyekiti wa CHADEMA kwa kuishiwa hoja, Freeman Mbowe anadai kuwa Kanda ya Kaskazini yote imetengwa kimaendeleo, Inaonekana wazi hajui chochote kuhusu Hai kama ambavyo alikuwa Mbunge na hakuwa na muda wa kuwajali wananchi wa Hai. Je, ni kweli Mbowe hana macho ya kuona na kutazama hatua nzuri za maendeleo jimboni Hai? Mbowe kuwa mkweli.

Swali la kujiuliza, Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa takribani miaka 20 na bado alishindwa kutatua changamoto zinazotatulika, Je, ridhaa ya miaka mitano anayoomba ataweza? Ni wazi, Mbowe hataweza. Changamoto zilizodumu miaka 20 ya Ubunge wake ambazo zilikuwa ndani ya uwezo wa Mbunge hakuzitatua na badala yake zimetatualiwa na Mhe. Saashisha Mafuwe ndani ya miaka mitatu na miezi mitatu.

Wananchi wa Jimbo la Hai walikuwa na Changamoto ya mgogoro wa Ardhi (KIA), Miradi ya Elimu, miradi ya afya, Viwanda vya Vyuma kufufuliwa, Barabara, madaraja, wakulima na wafanyabiashara. Haya yote ni kazi ya Mbunge kuyasemea Bungeni lakini kwa Freeman Mbowe hili tu lilimshinda kwa miaka 20. Saashisha Mafuwe ameweza ndani ya Miaka mitatu tu.

Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai, Mbunge kijana ambaye ametokea kuikonga mioyo ya Wana Hai kwa kuwasemea kwa bidii Bungeni hali iliyopelekea miradi ya maendeleo lukuki kutekelezwa na Serikali na kuleta suluhisho la kutatua changamoto jimboni Hai ambaye anatumia muda wake mwingi kukaa na wananchi na siyo kumzungumzia Freeman Mbowe

Itakumbukwa kuwa, Saashisha Mafuwe ndiye Mbunge pekee mpaka sasa ameuliza maswali mengi Bungeni kuliko Mbunge yeyote katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hii ni kutokana na kiu ya mafanikio anayotaka kuyaona ndani ya Jimbo la Hai kwani amedhamiria hasa kutatua changamoto za wananchi wa Hai.

Wananchi wa Jimbo la Hai wamesema wao wanataka vitu vya maendeleo kama ambavyo anafanya Mbunge wa Jimbo la Hai, Mhe. Saashisha Mafuwe na wananchi wanamuunga mkono kwa asilimia kubwa sana.

View attachment 2944972
View attachment 2944974View attachment 2945179
Sasa hata namba yako ya simu umesahau kuiweka hapa,mafuwe(manyani kwa kimachame) atakutupiaje hivyo vingawira kama posho ya kumpamba kiuongo uongo?
 
Umejitahidi Sana kutengeneza hizo shs.20000/= za mafue a.k.a manyani.
Huyo mbunge wa asante magu keshausoma mchezo na kauona mwisho wake. Ni mbunge wa muhula moja apende ama asipende, safari ya kurejea alikotoka imeiva. La maana ni yeye kupita kuwaaga wanahai na asilawalazimishe Wala kuwafokea! Akaungane na sabaya wake na yule ocd wajisikitie!
 
MBOWE ADHARIRIKA HAI, WANANCHI WAMKIMBIA UWANJANI
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa miaka 20 tangu mwaka 2000 akiwakilisha Jimbo la Hai amekimbiwa na wananchi kutohudhuria Mkutano wake wa hadhara na kupelekea Mkutano huo kuhudhuriwa na takribani watu wachache mno hali iliyolazimu CHADEMA kusafirisha watu kutoka Arusha.

Freeman Mbowe amekosa kabisa uungwaji mkono kwa wananchi wa Hai kutokana na kukaa kwake kwenye ubunge kwa Miaka 20 bila kuwasemea wananchi wapate Maendeleo na badala yake Wananchi wamegeukia kwa Mbunge wao wa sasa, Mhe. Saashisha Mafuwe ambaye ameonekana kuwapa kipaumbele sana Wananchi.

Katika hali ya kusikitisha na kutia huruma sana, Mwenyekiti wa CHADEMA kwa kuishiwa hoja, Freeman Mbowe anadai kuwa Kanda ya Kaskazini yote imetengwa kimaendeleo, Inaonekana wazi hajui chochote kuhusu Hai kama ambavyo alikuwa Mbunge na hakuwa na muda wa kuwajali wananchi wa Hai. Je, ni kweli Mbowe hana macho ya kuona na kutazama hatua nzuri za maendeleo jimboni Hai? Mbowe kuwa mkweli.

Swali la kujiuliza, Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa takribani miaka 20 na bado alishindwa kutatua changamoto zinazotatulika, Je, ridhaa ya miaka mitano anayoomba ataweza? Ni wazi, Mbowe hataweza. Changamoto zilizodumu miaka 20 ya Ubunge wake ambazo zilikuwa ndani ya uwezo wa Mbunge hakuzitatua na badala yake zimetatualiwa na Mhe. Saashisha Mafuwe ndani ya miaka mitatu na miezi mitatu.

Wananchi wa Jimbo la Hai walikuwa na Changamoto ya mgogoro wa Ardhi (KIA), Miradi ya Elimu, miradi ya afya, Viwanda vya Vyuma kufufuliwa, Barabara, madaraja, wakulima na wafanyabiashara. Haya yote ni kazi ya Mbunge kuyasemea Bungeni lakini kwa Freeman Mbowe hili tu lilimshinda kwa miaka 20. Saashisha Mafuwe ameweza ndani ya Miaka mitatu tu.

Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai, Mbunge kijana ambaye ametokea kuikonga mioyo ya Wana Hai kwa kuwasemea kwa bidii Bungeni hali iliyopelekea miradi ya maendeleo lukuki kutekelezwa na Serikali na kuleta suluhisho la kutatua changamoto jimboni Hai ambaye anatumia muda wake mwingi kukaa na wananchi na siyo kumzungumzia Freeman Mbowe

Itakumbukwa kuwa, Saashisha Mafuwe ndiye Mbunge pekee mpaka sasa ameuliza maswali mengi Bungeni kuliko Mbunge yeyote katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hii ni kutokana na kiu ya mafanikio anayotaka kuyaona ndani ya Jimbo la Hai kwani amedhamiria hasa kutatua changamoto za wananchi wa Hai.

Wananchi wa Jimbo la Hai wamesema wao wanataka vitu vya maendeleo kama ambavyo anafanya Mbunge wa Jimbo la Hai, Mhe. Saashisha Mafuwe na wananchi wanamuunga mkono kwa asilimia kubwa sana.

View attachment 2944972
View attachment 2944974View attachment 2945179
Andika kitu kinachoeleweka, yaani watu walipoanza kuukimbia mkutano wake Chadema ikapeleka magari Arusha yakalete watu wajaze uwanja! Hebu eleza vizuri ueleweke.
 
Bado kwenye Dunia hii ya technology mnategemea huo upotoshaji wa kizamani?!
 
Misukule ya mzee Mbowe itabisha
 
Unatamani iwe hivyo ila haijakua Sasa tumbo linakuvuruga people's people's people's people's people's people's
 
Hivi kwa nchi iliko fikia Kuna haja gani kuangaika na upinzani

Mbowe.ni mmoja tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom