Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 17,255
- 37,813
Nyuzi zake nyingi ni Uharo mtupu.Sikujua kama we jamaa ni Mjinga namna hii , siku zote nilikuwa najiuliza kwanini nyuzi zako hapa jf hazipati hata wachangiaji watano ? leo nimepata jibu
Sasa hata namba yako ya simu umesahau kuiweka hapa,mafuwe(manyani kwa kimachame) atakutupiaje hivyo vingawira kama posho ya kumpamba kiuongo uongo?Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa miaka 20 tangu mwaka 2000 akiwakilisha Jimbo la Hai amekimbiwa na wananchi kutohudhuria Mkutano wake wa hadhara na kupelekea Mkutano huo kuhudhuriwa na takribani watu wachache mno hali iliyolazimu CHADEMA kusafirisha watu kutoka Arusha.
MBOWE ADHARIRIKA HAI, WANANCHI WAMKIMBIA UWANJANI
Freeman Mbowe amekosa kabisa uungwaji mkono kwa wananchi wa Hai kutokana na kukaa kwake kwenye ubunge kwa Miaka 20 bila kuwasemea wananchi wapate Maendeleo na badala yake Wananchi wamegeukia kwa Mbunge wao wa sasa, Mhe. Saashisha Mafuwe ambaye ameonekana kuwapa kipaumbele sana Wananchi.
Katika hali ya kusikitisha na kutia huruma sana, Mwenyekiti wa CHADEMA kwa kuishiwa hoja, Freeman Mbowe anadai kuwa Kanda ya Kaskazini yote imetengwa kimaendeleo, Inaonekana wazi hajui chochote kuhusu Hai kama ambavyo alikuwa Mbunge na hakuwa na muda wa kuwajali wananchi wa Hai. Je, ni kweli Mbowe hana macho ya kuona na kutazama hatua nzuri za maendeleo jimboni Hai? Mbowe kuwa mkweli.
Swali la kujiuliza, Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa takribani miaka 20 na bado alishindwa kutatua changamoto zinazotatulika, Je, ridhaa ya miaka mitano anayoomba ataweza? Ni wazi, Mbowe hataweza. Changamoto zilizodumu miaka 20 ya Ubunge wake ambazo zilikuwa ndani ya uwezo wa Mbunge hakuzitatua na badala yake zimetatualiwa na Mhe. Saashisha Mafuwe ndani ya miaka mitatu na miezi mitatu.
Wananchi wa Jimbo la Hai walikuwa na Changamoto ya mgogoro wa Ardhi (KIA), Miradi ya Elimu, miradi ya afya, Viwanda vya Vyuma kufufuliwa, Barabara, madaraja, wakulima na wafanyabiashara. Haya yote ni kazi ya Mbunge kuyasemea Bungeni lakini kwa Freeman Mbowe hili tu lilimshinda kwa miaka 20. Saashisha Mafuwe ameweza ndani ya Miaka mitatu tu.
Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai, Mbunge kijana ambaye ametokea kuikonga mioyo ya Wana Hai kwa kuwasemea kwa bidii Bungeni hali iliyopelekea miradi ya maendeleo lukuki kutekelezwa na Serikali na kuleta suluhisho la kutatua changamoto jimboni Hai ambaye anatumia muda wake mwingi kukaa na wananchi na siyo kumzungumzia Freeman Mbowe
Itakumbukwa kuwa, Saashisha Mafuwe ndiye Mbunge pekee mpaka sasa ameuliza maswali mengi Bungeni kuliko Mbunge yeyote katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hii ni kutokana na kiu ya mafanikio anayotaka kuyaona ndani ya Jimbo la Hai kwani amedhamiria hasa kutatua changamoto za wananchi wa Hai.
Wananchi wa Jimbo la Hai wamesema wao wanataka vitu vya maendeleo kama ambavyo anafanya Mbunge wa Jimbo la Hai, Mhe. Saashisha Mafuwe na wananchi wanamuunga mkono kwa asilimia kubwa sana.
View attachment 2944972
View attachment 2944974View attachment 2945179
Kabisa yaaniNyuzi zake nyingi ni Uharo mtupu.
Usihangaike na maccm yanajijua akili zao🚮🚮Muda mwingine jaribu kidogo kuficha upumbavu wako, sio lazima kila mtu azijue tabia zako.
Umejitahidi Sana kutengeneza hizo shs.20000/= za mafue a.k.a manyani.Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa miaka 20 tangu mwaka 2000 akiwakilisha Jimbo la Hai amekimbiwa na wananchi kutohudhuria Mkutano wake wa hadhara na kupelekea Mkutano huo kuhudhuriwa na takribani watu wachache mno hali iliyolazimu CHADEMA kusafirisha watu kutoka Arusha.
MBOWE ADHARIRIKA HAI, WANANCHI WAMKIMBIA UWANJANI
Freeman Mbowe amekosa kabisa uungwaji mkono kwa wananchi wa Hai kutokana na kukaa kwake kwenye ubunge kwa Miaka 20 bila kuwasemea wananchi wapate Maendeleo na badala yake Wananchi wamegeukia kwa Mbunge wao wa sasa, Mhe. Saashisha Mafuwe ambaye ameonekana kuwapa kipaumbele sana Wananchi.
Katika hali ya kusikitisha na kutia huruma sana, Mwenyekiti wa CHADEMA kwa kuishiwa hoja, Freeman Mbowe anadai kuwa Kanda ya Kaskazini yote imetengwa kimaendeleo, Inaonekana wazi hajui chochote kuhusu Hai kama ambavyo alikuwa Mbunge na hakuwa na muda wa kuwajali wananchi wa Hai. Je, ni kweli Mbowe hana macho ya kuona na kutazama hatua nzuri za maendeleo jimboni Hai? Mbowe kuwa mkweli.
Swali la kujiuliza, Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa takribani miaka 20 na bado alishindwa kutatua changamoto zinazotatulika, Je, ridhaa ya miaka mitano anayoomba ataweza? Ni wazi, Mbowe hataweza. Changamoto zilizodumu miaka 20 ya Ubunge wake ambazo zilikuwa ndani ya uwezo wa Mbunge hakuzitatua na badala yake zimetatualiwa na Mhe. Saashisha Mafuwe ndani ya miaka mitatu na miezi mitatu.
Wananchi wa Jimbo la Hai walikuwa na Changamoto ya mgogoro wa Ardhi (KIA), Miradi ya Elimu, miradi ya afya, Viwanda vya Vyuma kufufuliwa, Barabara, madaraja, wakulima na wafanyabiashara. Haya yote ni kazi ya Mbunge kuyasemea Bungeni lakini kwa Freeman Mbowe hili tu lilimshinda kwa miaka 20. Saashisha Mafuwe ameweza ndani ya Miaka mitatu tu.
Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai, Mbunge kijana ambaye ametokea kuikonga mioyo ya Wana Hai kwa kuwasemea kwa bidii Bungeni hali iliyopelekea miradi ya maendeleo lukuki kutekelezwa na Serikali na kuleta suluhisho la kutatua changamoto jimboni Hai ambaye anatumia muda wake mwingi kukaa na wananchi na siyo kumzungumzia Freeman Mbowe
Itakumbukwa kuwa, Saashisha Mafuwe ndiye Mbunge pekee mpaka sasa ameuliza maswali mengi Bungeni kuliko Mbunge yeyote katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hii ni kutokana na kiu ya mafanikio anayotaka kuyaona ndani ya Jimbo la Hai kwani amedhamiria hasa kutatua changamoto za wananchi wa Hai.
Wananchi wa Jimbo la Hai wamesema wao wanataka vitu vya maendeleo kama ambavyo anafanya Mbunge wa Jimbo la Hai, Mhe. Saashisha Mafuwe na wananchi wanamuunga mkono kwa asilimia kubwa sana.
View attachment 2944972
View attachment 2944974View attachment 2945179
Andika kitu kinachoeleweka, yaani watu walipoanza kuukimbia mkutano wake Chadema ikapeleka magari Arusha yakalete watu wajaze uwanja! Hebu eleza vizuri ueleweke.Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa miaka 20 tangu mwaka 2000 akiwakilisha Jimbo la Hai amekimbiwa na wananchi kutohudhuria Mkutano wake wa hadhara na kupelekea Mkutano huo kuhudhuriwa na takribani watu wachache mno hali iliyolazimu CHADEMA kusafirisha watu kutoka Arusha.
MBOWE ADHARIRIKA HAI, WANANCHI WAMKIMBIA UWANJANI
Freeman Mbowe amekosa kabisa uungwaji mkono kwa wananchi wa Hai kutokana na kukaa kwake kwenye ubunge kwa Miaka 20 bila kuwasemea wananchi wapate Maendeleo na badala yake Wananchi wamegeukia kwa Mbunge wao wa sasa, Mhe. Saashisha Mafuwe ambaye ameonekana kuwapa kipaumbele sana Wananchi.
Katika hali ya kusikitisha na kutia huruma sana, Mwenyekiti wa CHADEMA kwa kuishiwa hoja, Freeman Mbowe anadai kuwa Kanda ya Kaskazini yote imetengwa kimaendeleo, Inaonekana wazi hajui chochote kuhusu Hai kama ambavyo alikuwa Mbunge na hakuwa na muda wa kuwajali wananchi wa Hai. Je, ni kweli Mbowe hana macho ya kuona na kutazama hatua nzuri za maendeleo jimboni Hai? Mbowe kuwa mkweli.
Swali la kujiuliza, Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa takribani miaka 20 na bado alishindwa kutatua changamoto zinazotatulika, Je, ridhaa ya miaka mitano anayoomba ataweza? Ni wazi, Mbowe hataweza. Changamoto zilizodumu miaka 20 ya Ubunge wake ambazo zilikuwa ndani ya uwezo wa Mbunge hakuzitatua na badala yake zimetatualiwa na Mhe. Saashisha Mafuwe ndani ya miaka mitatu na miezi mitatu.
Wananchi wa Jimbo la Hai walikuwa na Changamoto ya mgogoro wa Ardhi (KIA), Miradi ya Elimu, miradi ya afya, Viwanda vya Vyuma kufufuliwa, Barabara, madaraja, wakulima na wafanyabiashara. Haya yote ni kazi ya Mbunge kuyasemea Bungeni lakini kwa Freeman Mbowe hili tu lilimshinda kwa miaka 20. Saashisha Mafuwe ameweza ndani ya Miaka mitatu tu.
Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai, Mbunge kijana ambaye ametokea kuikonga mioyo ya Wana Hai kwa kuwasemea kwa bidii Bungeni hali iliyopelekea miradi ya maendeleo lukuki kutekelezwa na Serikali na kuleta suluhisho la kutatua changamoto jimboni Hai ambaye anatumia muda wake mwingi kukaa na wananchi na siyo kumzungumzia Freeman Mbowe
Itakumbukwa kuwa, Saashisha Mafuwe ndiye Mbunge pekee mpaka sasa ameuliza maswali mengi Bungeni kuliko Mbunge yeyote katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hii ni kutokana na kiu ya mafanikio anayotaka kuyaona ndani ya Jimbo la Hai kwani amedhamiria hasa kutatua changamoto za wananchi wa Hai.
Wananchi wa Jimbo la Hai wamesema wao wanataka vitu vya maendeleo kama ambavyo anafanya Mbunge wa Jimbo la Hai, Mhe. Saashisha Mafuwe na wananchi wanamuunga mkono kwa asilimia kubwa sana.
View attachment 2944972
View attachment 2944974View attachment 2945179
Bado kwenye Dunia hii ya technology mnategemea huo upotoshaji wa kizamani?!Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa miaka 20 tangu mwaka 2000 akiwakilisha Jimbo la Hai amekimbiwa na wananchi kutohudhuria Mkutano wake wa hadhara na kupelekea Mkutano huo kuhudhuriwa na takribani watu wachache mno hali iliyolazimu CHADEMA kusafirisha watu kutoka Arusha.
MBOWE ADHARIRIKA HAI, WANANCHI WAMKIMBIA UWANJANI
Freeman Mbowe amekosa kabisa uungwaji mkono kwa wananchi wa Hai kutokana na kukaa kwake kwenye ubunge kwa Miaka 20 bila kuwasemea wananchi wapate Maendeleo na badala yake Wananchi wamegeukia kwa Mbunge wao wa sasa, Mhe. Saashisha Mafuwe ambaye ameonekana kuwapa kipaumbele sana Wananchi.
Katika hali ya kusikitisha na kutia huruma sana, Mwenyekiti wa CHADEMA kwa kuishiwa hoja, Freeman Mbowe anadai kuwa Kanda ya Kaskazini yote imetengwa kimaendeleo, Inaonekana wazi hajui chochote kuhusu Hai kama ambavyo alikuwa Mbunge na hakuwa na muda wa kuwajali wananchi wa Hai. Je, ni kweli Mbowe hana macho ya kuona na kutazama hatua nzuri za maendeleo jimboni Hai? Mbowe kuwa mkweli.
Swali la kujiuliza, Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa takribani miaka 20 na bado alishindwa kutatua changamoto zinazotatulika, Je, ridhaa ya miaka mitano anayoomba ataweza? Ni wazi, Mbowe hataweza. Changamoto zilizodumu miaka 20 ya Ubunge wake ambazo zilikuwa ndani ya uwezo wa Mbunge hakuzitatua na badala yake zimetatualiwa na Mhe. Saashisha Mafuwe ndani ya miaka mitatu na miezi mitatu.
Wananchi wa Jimbo la Hai walikuwa na Changamoto ya mgogoro wa Ardhi (KIA), Miradi ya Elimu, miradi ya afya, Viwanda vya Vyuma kufufuliwa, Barabara, madaraja, wakulima na wafanyabiashara. Haya yote ni kazi ya Mbunge kuyasemea Bungeni lakini kwa Freeman Mbowe hili tu lilimshinda kwa miaka 20. Saashisha Mafuwe ameweza ndani ya Miaka mitatu tu.
Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai, Mbunge kijana ambaye ametokea kuikonga mioyo ya Wana Hai kwa kuwasemea kwa bidii Bungeni hali iliyopelekea miradi ya maendeleo lukuki kutekelezwa na Serikali na kuleta suluhisho la kutatua changamoto jimboni Hai ambaye anatumia muda wake mwingi kukaa na wananchi na siyo kumzungumzia Freeman Mbowe
Itakumbukwa kuwa, Saashisha Mafuwe ndiye Mbunge pekee mpaka sasa ameuliza maswali mengi Bungeni kuliko Mbunge yeyote katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hii ni kutokana na kiu ya mafanikio anayotaka kuyaona ndani ya Jimbo la Hai kwani amedhamiria hasa kutatua changamoto za wananchi wa Hai.
Wananchi wa Jimbo la Hai wamesema wao wanataka vitu vya maendeleo kama ambavyo anafanya Mbunge wa Jimbo la Hai, Mhe. Saashisha Mafuwe na wananchi wanamuunga mkono kwa asilimia kubwa sana.
View attachment 2944972
View attachment 2944974View attachment 2945179
Misukule ya mzee Mbowe itabishaMwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa miaka 20 tangu mwaka 2000 akiwakilisha Jimbo la Hai amekimbiwa na wananchi kutohudhuria Mkutano wake wa hadhara na kupelekea Mkutano huo kuhudhuriwa na takribani watu wachache mno hali iliyolazimu CHADEMA kusafirisha watu kutoka Arusha.
MBOWE ADHARIRIKA HAI, WANANCHI WAMKIMBIA UWANJANI
Freeman Mbowe amekosa kabisa uungwaji mkono kwa wananchi wa Hai kutokana na kukaa kwake kwenye ubunge kwa Miaka 20 bila kuwasemea wananchi wapate Maendeleo na badala yake Wananchi wamegeukia kwa Mbunge wao wa sasa, Mhe. Saashisha Mafuwe ambaye ameonekana kuwapa kipaumbele sana Wananchi.
Katika hali ya kusikitisha na kutia huruma sana, Mwenyekiti wa CHADEMA kwa kuishiwa hoja, Freeman Mbowe anadai kuwa Kanda ya Kaskazini yote imetengwa kimaendeleo, Inaonekana wazi hajui chochote kuhusu Hai kama ambavyo alikuwa Mbunge na hakuwa na muda wa kuwajali wananchi wa Hai. Je, ni kweli Mbowe hana macho ya kuona na kutazama hatua nzuri za maendeleo jimboni Hai? Mbowe kuwa mkweli.
Swali la kujiuliza, Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa takribani miaka 20 na bado alishindwa kutatua changamoto zinazotatulika, Je, ridhaa ya miaka mitano anayoomba ataweza? Ni wazi, Mbowe hataweza. Changamoto zilizodumu miaka 20 ya Ubunge wake ambazo zilikuwa ndani ya uwezo wa Mbunge hakuzitatua na badala yake zimetatualiwa na Mhe. Saashisha Mafuwe ndani ya miaka mitatu na miezi mitatu.
Wananchi wa Jimbo la Hai walikuwa na Changamoto ya mgogoro wa Ardhi (KIA), Miradi ya Elimu, miradi ya afya, Viwanda vya Vyuma kufufuliwa, Barabara, madaraja, wakulima na wafanyabiashara. Haya yote ni kazi ya Mbunge kuyasemea Bungeni lakini kwa Freeman Mbowe hili tu lilimshinda kwa miaka 20. Saashisha Mafuwe ameweza ndani ya Miaka mitatu tu.
Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai, Mbunge kijana ambaye ametokea kuikonga mioyo ya Wana Hai kwa kuwasemea kwa bidii Bungeni hali iliyopelekea miradi ya maendeleo lukuki kutekelezwa na Serikali na kuleta suluhisho la kutatua changamoto jimboni Hai ambaye anatumia muda wake mwingi kukaa na wananchi na siyo kumzungumzia Freeman Mbowe
Itakumbukwa kuwa, Saashisha Mafuwe ndiye Mbunge pekee mpaka sasa ameuliza maswali mengi Bungeni kuliko Mbunge yeyote katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hii ni kutokana na kiu ya mafanikio anayotaka kuyaona ndani ya Jimbo la Hai kwani amedhamiria hasa kutatua changamoto za wananchi wa Hai.
Wananchi wa Jimbo la Hai wamesema wao wanataka vitu vya maendeleo kama ambavyo anafanya Mbunge wa Jimbo la Hai, Mhe. Saashisha Mafuwe na wananchi wanamuunga mkono kwa asilimia kubwa sana.
View attachment 2944972
View attachment 2944974View attachment 2945179
Unatamani iwe hivyo ila haijakua Sasa tumbo linakuvuruga people's people's people's people's people's people'sMwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa miaka 20 tangu mwaka 2000 akiwakilisha Jimbo la Hai amekimbiwa na wananchi kutohudhuria Mkutano wake wa hadhara na kupelekea Mkutano huo kuhudhuriwa na takribani watu wachache mno hali iliyolazimu CHADEMA kusafirisha watu kutoka Arusha.
MBOWE ADHARIRIKA HAI, WANANCHI WAMKIMBIA UWANJANI
Freeman Mbowe amekosa kabisa uungwaji mkono kwa wananchi wa Hai kutokana na kukaa kwake kwenye ubunge kwa Miaka 20 bila kuwasemea wananchi wapate Maendeleo na badala yake Wananchi wamegeukia kwa Mbunge wao wa sasa, Mhe. Saashisha Mafuwe ambaye ameonekana kuwapa kipaumbele sana Wananchi.
Katika hali ya kusikitisha na kutia huruma sana, Mwenyekiti wa CHADEMA kwa kuishiwa hoja, Freeman Mbowe anadai kuwa Kanda ya Kaskazini yote imetengwa kimaendeleo, Inaonekana wazi hajui chochote kuhusu Hai kama ambavyo alikuwa Mbunge na hakuwa na muda wa kuwajali wananchi wa Hai. Je, ni kweli Mbowe hana macho ya kuona na kutazama hatua nzuri za maendeleo jimboni Hai? Mbowe kuwa mkweli.
Swali la kujiuliza, Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa takribani miaka 20 na bado alishindwa kutatua changamoto zinazotatulika, Je, ridhaa ya miaka mitano anayoomba ataweza? Ni wazi, Mbowe hataweza. Changamoto zilizodumu miaka 20 ya Ubunge wake ambazo zilikuwa ndani ya uwezo wa Mbunge hakuzitatua na badala yake zimetatualiwa na Mhe. Saashisha Mafuwe ndani ya miaka mitatu na miezi mitatu.
Wananchi wa Jimbo la Hai walikuwa na Changamoto ya mgogoro wa Ardhi (KIA), Miradi ya Elimu, miradi ya afya, Viwanda vya Vyuma kufufuliwa, Barabara, madaraja, wakulima na wafanyabiashara. Haya yote ni kazi ya Mbunge kuyasemea Bungeni lakini kwa Freeman Mbowe hili tu lilimshinda kwa miaka 20. Saashisha Mafuwe ameweza ndani ya Miaka mitatu tu.
Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai, Mbunge kijana ambaye ametokea kuikonga mioyo ya Wana Hai kwa kuwasemea kwa bidii Bungeni hali iliyopelekea miradi ya maendeleo lukuki kutekelezwa na Serikali na kuleta suluhisho la kutatua changamoto jimboni Hai ambaye anatumia muda wake mwingi kukaa na wananchi na siyo kumzungumzia Freeman Mbowe
Itakumbukwa kuwa, Saashisha Mafuwe ndiye Mbunge pekee mpaka sasa ameuliza maswali mengi Bungeni kuliko Mbunge yeyote katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hii ni kutokana na kiu ya mafanikio anayotaka kuyaona ndani ya Jimbo la Hai kwani amedhamiria hasa kutatua changamoto za wananchi wa Hai.
Wananchi wa Jimbo la Hai wamesema wao wanataka vitu vya maendeleo kama ambavyo anafanya Mbunge wa Jimbo la Hai, Mhe. Saashisha Mafuwe na wananchi wanamuunga mkono kwa asilimia kubwa sana.
View attachment 2944972
View attachment 2944974View attachment 2945179
Mkuu, weka basi pics na video za mkutano ili tulinganishe na kuamua km jamaa katupiga fix au lah!Pole sana , kwa uzushi kama huu utaendelea kupuuzwa kila mara
Hatuhangaiki na wajingaMkuu, weka basi pics na video za mkutano ili tulinganishe na kuamua km jamaa katupiga fix au lah!
Pinga hoja kwa hoja na evidence. Ukiweka ushahidi itaonyesha wazi ujinga wake ulipoHatuhangaiki na wajinga
Haturejei mambo , tafuta uzi wangu wa Mbowe kurejea Jimboni Hai , halafu fananisha na huu upuuziPinga hoja kwa hoja na evidence. Ukiweka ushahidi itaonyesha wazi ujinga wake ulipo
Hivi kwa nchi iliko fikia Kuna haja gani kuangaika na upinzaniMwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa miaka 20 tangu mwaka 2000 akiwakilisha Jimbo la Hai amekimbiwa na wananchi kutohudhuria Mkutano wake wa hadhara na kupelekea Mkutano huo kuhudhuriwa na takribani watu wachache mno hali iliyolazimu CHADEMA kusafirisha watu kutoka Arusha.
MBOWE ADHARIRIKA HAI, WANANCHI WAMKIMBIA UWANJANI
Freeman Mbowe amekosa kabisa uungwaji mkono kwa wananchi wa Hai kutokana na kukaa kwake kwenye ubunge kwa Miaka 20 bila kuwasemea wananchi wapate Maendeleo na badala yake Wananchi wamegeukia kwa Mbunge wao wa sasa, Mhe. Saashisha Mafuwe ambaye ameonekana kuwapa kipaumbele sana Wananchi.
Katika hali ya kusikitisha na kutia huruma sana, Mwenyekiti wa CHADEMA kwa kuishiwa hoja, Freeman Mbowe anadai kuwa Kanda ya Kaskazini yote imetengwa kimaendeleo, Inaonekana wazi hajui chochote kuhusu Hai kama ambavyo alikuwa Mbunge na hakuwa na muda wa kuwajali wananchi wa Hai. Je, ni kweli Mbowe hana macho ya kuona na kutazama hatua nzuri za maendeleo jimboni Hai? Mbowe kuwa mkweli.
Swali la kujiuliza, Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa takribani miaka 20 na bado alishindwa kutatua changamoto zinazotatulika, Je, ridhaa ya miaka mitano anayoomba ataweza? Ni wazi, Mbowe hataweza. Changamoto zilizodumu miaka 20 ya Ubunge wake ambazo zilikuwa ndani ya uwezo wa Mbunge hakuzitatua na badala yake zimetatualiwa na Mhe. Saashisha Mafuwe ndani ya miaka mitatu na miezi mitatu.
Wananchi wa Jimbo la Hai walikuwa na Changamoto ya mgogoro wa Ardhi (KIA), Miradi ya Elimu, miradi ya afya, Viwanda vya Vyuma kufufuliwa, Barabara, madaraja, wakulima na wafanyabiashara. Haya yote ni kazi ya Mbunge kuyasemea Bungeni lakini kwa Freeman Mbowe hili tu lilimshinda kwa miaka 20. Saashisha Mafuwe ameweza ndani ya Miaka mitatu tu.
Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai, Mbunge kijana ambaye ametokea kuikonga mioyo ya Wana Hai kwa kuwasemea kwa bidii Bungeni hali iliyopelekea miradi ya maendeleo lukuki kutekelezwa na Serikali na kuleta suluhisho la kutatua changamoto jimboni Hai ambaye anatumia muda wake mwingi kukaa na wananchi na siyo kumzungumzia Freeman Mbowe
Itakumbukwa kuwa, Saashisha Mafuwe ndiye Mbunge pekee mpaka sasa ameuliza maswali mengi Bungeni kuliko Mbunge yeyote katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hii ni kutokana na kiu ya mafanikio anayotaka kuyaona ndani ya Jimbo la Hai kwani amedhamiria hasa kutatua changamoto za wananchi wa Hai.
Wananchi wa Jimbo la Hai wamesema wao wanataka vitu vya maendeleo kama ambavyo anafanya Mbunge wa Jimbo la Hai, Mhe. Saashisha Mafuwe na wananchi wanamuunga mkono kwa asilimia kubwa sana.
View attachment 2944972
View attachment 2944974View attachment 2945179
Ndo kukimbia kwenyewe huko......kiutu uzima tunaweza kusema hivyo!Sijaona watu wakikimbia mkutano,naona watu wachache,
Uzi wako ilikuwa kabla hajaenda (Mbowe kurejea), huu uzi ni baada ya kwenda na yaliyotokea; huoni kuna utofauti hapo?Haturejei mambo , tafuta uzi wangu wa Mbowe kurejea Jimboni Hai , halafu fananisha na huu upuuzi
Kama unavyopuuzwa wewe kimbisi Cha mbowePole sana , kwa uzushi kama huu utaendelea kupuuzwa kila mara