Mbunge Saashisha Mafuwe akichangia Bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2024-2025

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,902
945
"Katika taarifa ya Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2024-2025, Matarajio yangu ni kuona sasa kuwa na Mipango ya Nchi yetu ambayo inatekelezeka kwa muda mfupi na muda mrefu. Mipango ambayo itajibu matarajio ya wananchi" - Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Ili kuhakikisha kuwa ukuaji wa uchumi unakuwa na athari chanya katika kuinua kiwango cha maisha ya watu wetu na kupunguza umasikini, Mipango ya muda mrefu na muda mfupi ijayo itajikita katika kuhakikisha kuwa ukuaji wa uchumi wetu unakuwa jumuishi, unapunguza umasikini, unazalisha ajira nyingi, unatengeneza utajiri, unachochea mauzo ya bidhaa zilizoongezewa thamani nje ya nchi" - Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Tunaenda kwenye uwekezaji wa Madini ya Liganga na Mchuchuma, Serikali imeshalipa fidia. Kiwanda cha Kilimanjaro Machines Tools kipo, kwanini tusifikiri kuanza kutengeneza Chuma pale? Tuboreshe ili tuzalishe bidhaa zetu ndani" - Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Mkoa wa Kilimanjaro kimkakati ni wa kibiashara pamoja kwamba tuna Ardhi ndogo. KIA kulikuwa na Reli inaingiza mizigo ndani, sasa hivi Reli imekufa. Niombe Serikali ione namna ya kurejesha mizigo iwe inaenda maana kuna Cold Room nzuri" - Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

 

MBUNGE SAASHISHA MAFUWE AKICHANGIA BUNGENI MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO YA TAIFA 2024-2025

"Katika taarifa ya Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2024-2025, Matarajio yangu ni kuona sasa kuwa na Mipango ya Nchi yetu ambayo inatekelezeka kwa muda mfupi na muda mrefu. Mipango ambayo itajibu matarajio ya wananchi" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Ili kuhakikisha kuwa ukuaji wa uchumi unakuwa na athari chanya katika kuinua kiwango cha maisha ya watu wetu na kupunguza umasikini, Mipango ya muda mrefu na muda mfupi ijayo itajikita katika kuhakikisha kuwa ukuaji wa uchumi wetu unakuwa jumuishi, unapunguza umasikini, unazalisha ajira nyingi, unatengeneza utajiri, unachochea mauzo ya bidhaa zilizoongezewa thamani nje ya nchi" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Tunaenda kwenye uwekezaji wa Madini ya Liganga na Mchuchuma, Serikali imeshalipa fidia. Kiwanda cha Kilimanjaro Machines Tools kipo, kwanini tusifikiri kuanza kutengeneza Chuma pale? Tuboreshe ili tuzalishe bidhaa zetu ndani" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Mkoa wa Kilimanjaro kimkakati ni wa kibiashara pamoja kwamba tuna Ardhi ndogo. KIA kulikuwa na Reli inaingiza mizigo ndani, sasa hivi Reli imekufa. Niombe Serikali ione namna ya kurejesha mizigo iwe inaenda maana kuna Cold Room nzuri" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai
Huyu ni Shujaa wa Taifa alitutolea nuksi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom