Wandungu hivi humu hakuna wapenzi wa F1?
Thread hiyo imepooza tu, hata hivyo unaweza kuiendeleza kwa kuunganisha na thread hii.jukwaa limekufa kiaina....last update march 2010......
Fernando Alonso controversially led a Ferrari one-two at the German Grand Prix after Felipe Massa appeared to be given orders to let his team-mate past.Huyo F. Alonso kashinda kwa sababu ya Team Orders. Hizi Team orders zinaondoa msisimso wa mchezo wangeacha washindane labda tungeona kituo am cha Webber na Vettel kilichotoea Uturuki.
Huyo F. Alonso kashinda kwa sababu ya Team Orders. Hizi Team orders zinaondoa msisimso wa mchezo wangeacha washindane labda tungeona kituo am cha Webber na Vettel kilichotoea Uturuki.
hawa F1A hawana msimamo....wana sheria inasema team order haziruhusiwi kuamua race,waache driver wa-compete,wanatunyima raha mashabiki......ingekuwa MCLAREN wangewashughulikia lkn FERRARI hawawezi kuwagusa,i hope they prove me wrong...........
Pamoja na ushidni madereva wote wa Ferari hawakuwa na raha wakati wa kunyunyiziana mvinyo. Alosno mwenyewe sura yake anaoeneka hana tabasabu hasa la kuchukua Ushindi kiushindani. Massa naye amekosa raha anahisi kaporwa ushindi. Ni utata mtupu.
Lakini itakuwa ngumu kuwa[a penalty Ferari sababu jamaa walimpa Massa ujumbe kisanii. wao wanasema coded message. "Fillipe Alonso is fatser than you confirm if u understand the message" Baada ya mzunguko 1ja massa kamuacha jamaa apite.
Kwa iyo hata wakihojiwa watasema walikuwa wanampa status kuwa aliyeko nyuma ana kasi zaidi hawakumaanisha amuachie. japo wote tunajua hiyo ilikuwa ni order ampishe jamaa.
Duh kumbe wamelimwa fine . Safi sana .ila ngoja tuone hiyo hukumu kama itasimama hivyo hivyo. Nina wasi wasi hao World Motor Sport Council wakaja kivingine. Au ndo imetoka?