Formula 1: 2010

RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
51,719
107,812
Wandungu hivi humu hakuna wapenzi wa F1?Naona RED BULL(Mark Webber na Seb Vettel) wanadominate sana,nafikiri mwaka huu wanaweza kushinda DRIVER'S na CONSTRUCTOR'S CHAMPIONSHIP.
 
mark webber once again takes pole position for 2mrw turkish grand prix....hamilton 2nd.....vettel 3rd...button 4th...schumacher 5th
 
Itategemea sana sababu wachambuzi wanasema RED BULL RENAULT wana matatizo ya RELIABILITY issue kwenye magari yao. na kwenye Track ambao ina HIGH SPEED corners na LONG STRAIGHT nadhani Marcedes( Maclaren au Brawn) wataibuka kidedea. Lets wait and see.
 
yeah jamaa wana reliability issue lakini few races sasa wako poa na turkish track ina slow corner ambazo mclaren wanastruggle,lets wait and see.
 
I put my bet on Marcedes kuchukua nafasi mbili kati ya tatu za juu. . Kati ya hamiliton ,Button , Mtengeneza Kiatu( Shchumaker) na Roseberg.
Hii ni race ya ya Marcedes kama Sio Maclaren Marcedes basi Brawn marcedes.
Napenda sana Kijana hamilton achukue ushindi wake wa kwanza analeta msisimko sana kwenye huu mchezo. na kwa tracak ya leo huyo webba asishangae anakuwa overtaken.

Magari matano ya kwanza yalivyjipanga kutakuwa kuna show nzuri na ushindani mkubwa sana leo. tuombe kusitokee safety car kuharibu uhondo.
 
tatizo la hamilton he is too aggressive.aangalie sana turn 8 hasa kukiwa na mvua kama weather itabadilika.
 
I put my bet on Marcedes kuchukua nafasi mbili kati ya tatu za juu. . Kati ya hamiliton ,Button , Mtengeneza Kiatu( Shchumaker) na Roseberg.
Hii ni race ya ya Marcedes kama Sio Maclaren Marcedes basi Brawn marcedes.
Napenda sana Kijana hamilton achukue ushindi wake wa kwanza analeta msisimko sana kwenye huu mchezo. na kwa tracak ya leo huyo webba asishangae anakuwa overtaken.

Magari matano ya kwanza yalivyjipanga kutakuwa kuna show nzuri na ushindani mkubwa sana leo. tuombe kusitokee safety car kuharibu uhondo.

RED BULL threw it away
 
spot on mkuu,but not without suicide move by vettel
 
Kweli kabisa lakini umemuona hamilton mwenzake J button alivyompita . i like the guy jinsi alivyofight na kurudi nafasi ya kwanza. Wale madereva wa Red bull watakuwa maadui sasa.
 
Ngoja turudi kwenye teniss sasa ya french open tukutane hapa after two weeks canada hope MacLren watazidi kufanya vitu
 
tutoe mawazo kidogo away from fooball,leo ni qualifier za CANADIAN GRAND PRIX,as usual nahisi RED BULL wataibuka na 1-2 again with WEBBER on pole and VETTELL 2nd.................
 
LEWIS HAMILTON takes pole,WEBBER 2nd................
 
LEWIS HAMILTON WINS CANADIAN GP,BUTTON 2nd,ALONSO 3rd...........
 
MCLAREN stil dominates 1 and 2, ahead of Red Bull... Ths is gona a fabolous season for Formula 1 lovers..
I cant wait for the next race...Europe (Valencia)...in two weeks time
am fired up guys.. utadhani mie ndo naendesha haya magari...:roll:
 
HAMILTON anatisha.....hadi wanamlazimisha ku-slow down.............
 
BBC SPORT | Motorsport | Formula 1
_48064860_009529124-1.jpg

Dogo na timu yake ya Mc Larens wapo juu ..nilipenda juzi alipoonesha uwezo wake kwenye hii circuit ya canada
 
Back
Top Bottom