Fainali za Bongo Star Search (Season 8, 2015)

Alifanya makusudi kabisa kuanza kuinadi CCM kwa kusema Hapa kazi tu huku akiirudia kama mara tatu hivi, ila wahudhuriaji wamemshikisha adabu kwa kumjibu wazi wazi kwa kelele za MABADILIKO, MABADILIKO...

Tetesi kutoka kwa baadhi ya watu zinasema huenda January Makamba ndiye aliyemtuma kufanya hizo promotion kwa malipo, maana ndio tabia zake.
 
Kila kundi la watu zaidi ya watano bac ujue kuna mabadiliko ndani yake

Point of correction ndugu.
Ni kila ilipo nafsi moja ya mwanadamu kuna MABADIRIKO.
Anayebisha akamuulize mgombea wa HapaGizaTu akupe jibu.
 
Katika hali ambayo haikutarajiwa na wengi mtangazaji muongozaji wa Bongo Star Search Siza Daniel amekuja na Msemo wa #HapaKaziTu.

Hali imebadilika ghafla ukumbi ukalipuka mabadiliko, huku waudhuriaji wakionesha vidole viwili kuashilia alama ya chama cha siasa na wengine wakizungusha mikono kuonesha Mabadilikoooooo..

Kazi kweli kweli!

Nimeona watu wanazungusha acha lowasa aitwe lowasa jamani.
 
Hivyo vyamoto band nikiviona nasikia kutapika ninavionaga ktk mikutano ya magamba vinatumika km à tpaper
 
nahtaji pini ya mwisho fonabo
please HIT ME WITH SAUTI SOL 😢😢😢😢😢
 
Duuuuuu fonabo na Jamal

Akiongeza bidii atamfikia Jamal ila kwa sasa naona Bado
kumbuka yupo kwenye stres na yupo vile

akiwa fre? na sauti ikichujwa?
please dont be rigid!
the guy is real,and doing the real music is just the matter of time na uwezo.
 
Yo right dada maasai, mwimbaji nasanii kitu ambacho wengi hawakijui
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom