Epiq Bongo Star Search - LIVE

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
1,449
574
Imeshaanza. tayari
Washiriki ni hawa hapa
1. Walter
2. Nsami
3. Salma
4. Nshoma
5. Wababa

Mshindi katika shindano hili atajinyakulia kitita cha Tshs 50,000,000/=

Update
Time: 22:35
Washiriki waloingia top ten wanaimba nyimbo ya Pamoja


Update
time: 22:45
Waliopo jukwaani ni Nsami na Barnaba

Update:
Nsami na Barnaba wamemaliza Walioingia hivi sasa ni
Nshoma na Leila Rashid

Update
Nshoma na Leila Rashid wamemaliza Walioingia
hivi sasa ni
Salma na Linex

Update
Salma na Linex wamemaliza Walioingia
hivi sasa ni
Wababa na Mwasiti

Update
Mwasiti na Wababa wamemaliza Walioingia
hivi sasa ni
Walter na Dito
 
Washiriki ni hawa hapa
1. Walter
2. Nsami
3. Salma
4. Nshoma
5. Wababa
 
Mshindi katika shindano hili atajinyakulia kitita cha Tshs 50,000,000/=
 
Ushaur kwa mshind, 50Mil ni nyingi. Zitumie vzr Nyumba=30Mil, kijigar=7Mil, First Albam=8Mil. Manake ni kwamba tumia hiyo pesa kujenga nyumba nzr, hvyo v2 vingne vitakuja tu, mana nyumba unaweza kupatia mkopo na ukafanya mambo mengni zikiwemo busnez
 
wananoboa, hadi sasa sijaona kinachofanyika

afu why lean on me?

Mshindi wangu Salma
 
Halafu sijui ni kwa kuwa nimekaa siti za kati kwa upande? Kwangu mie nikisoma pale chini ya jukwaa nasoma Erickb52 KUMBE NILIPOSIMAMA ndio nimesoma EPIC 2012. NGOJA NIHAME HAPA, 70,000 siyo kidogo pamoja na kunipa chips vipisi 7, sambusa na biya
 
Last edited by a moderator:
Nsami na Barnaba wamemaliza Walioingia hivi sasa ni
Nshoma na Leila Rashid
 
Back
Top Bottom