Fainali za Bongo Star Search (Season 8, 2015)

dah

kayumba anaimba hit song

ila fonabo anaimba mziki,na anaandika nyimbo zake

kayumba akishnda atapotea

fonabo either ashnde au asishnde
ANA HAZINA KUBWA INAHTAJI MSIMAMIZI TU tangu arusha nimeona hli

all the best fonabo

Peace xana dada yangu masai nimekuelewa sana tena sana...
 
Siza kachafua hali ya hewa. Siku hizi hata kwenye harusi hatutamki maneno haya
 
Kayumba ni moto wa kuotea mbaliii
kayumba anatumia ujanja wa wengi walioshinda bongo star search
KUIMBA HIT SONG
zaidi ya hapo hana mziki niamini atapotea kuliko j4,unamkumbuka walter chlambo? maryam aliyeshnda kwa taarabu?

alikua anaimba hit song za jahaz baada ya hapo umemuona?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom