Hiyo ya kinyama huyo mwanamke atakuwa haoshi hiyo K yake? Maana umesema siku kadhaa anakuwa amekihifadhi hicho kinyama. Ukitaka mwanaume usipewe limbwata kuwa na wanawake wengi tu nguvu zitagongana na kurepel
HaHahahah mkuu hapo kweny kipande cha vuzi nmekukubal sana asee!!
Jamani ndugu zanguni kuna ukweli wowote kuhusu limbwata coz kuna manjemba tunawashuhudia wababe kitaa ila wakifika kwa wake zao wanazechezea hadi vibao na hawasemi kitu
Ndio ukweli kuhusu hii kitu upo sana tu nowadays
Siku hizi MMU kumepoa duh.........
Siku hizi MMU kumepoa duh.........
watu wamehama afu heaven nakutafuta ujue
Hahahaaaaaaa
Jamani ni mahaba tu! Limbwata hakunaga!
ngoja na mie nihame..... tunatafutana
Jamani ndugu zanguni kuna ukweli wowote kuhusu limbwata coz kuna manjemba tunawashuhudia wababe kitaa ila wakifika kwa wake zao wanazechezea hadi vibao na hawasemi kitu